Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Kaoe malaika.
 
Hatari sana mkuu.
Naelewa kuwa kijana kuamua kuoa ni kajitoa kijasiri ili kutengeneza jamii ya kistaarabu.

Jamii ya Mume mke/wake na watoto chini ya mwavuli wa familia badala jamii kama ya mbwa na paka kila mtu anazaa na yeyote huko barabarani.

Sasa kama kwa bahati mbaya akaoa malaya, inabidi awe jasiri avunje hiyo ndoa sababu kumuacha malaya ndani ya ndoa ni hatari sana maana atainajisi hiyo taasisi na kuishusha thamani mbele ya macho ya vijana wengine wanaotani jamii iliyostaarabika.
 
Mkuu...ama kweli majuto ni mjukuu.
 
Chapa huyo dada wa kazi.Ikiwezekana mpandishe cheo huyo beki tatu.

Haibadilishi maana ila inapunguza maumivu.
 
Pole sana.

Ukimuacha itakuumiza ila baada ya muda utarudi sawa na kuwa na furaha, ukimsamehe ujue umetelekeza furaha yako. Ni wanaume wachache sana wanaoweza kuishi na mke ambaye amethibitisha kuwa ni mgawa uchi nje. Wapo ila wachache mno.
Kwakweli inataka uvumilivu wali ya juu kuweza kuendeleza.
 
Ikiwa Mungu alimpa vitu vyote duniani na akakatazwa kitu kimoja tu, mti mmoja ila hakusikia. Wewe ni nani akusikie
 
Mimi hawa viumbe huwa sitaki kuwafatilia sana akiniambia naenda mbezi beach kwa ma mdogo kumsalimia sawa tuu namwambia nenda hata simu sipigi kama anakazwa huko atajua mwenyewe
Ukifanya hivyo ujue maisha Yako unaweka rehani ni afadhali ufuatilie kwa usalama wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…