Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Why can't you just sex when you're willing to reproduce than making it as a burudani??
 
Hapo kwenye sukari ya kiwandani- unaweza kutumia ASALI...

Punguza vyakula vya Wanga , kula zaidi protein..

Anza maisha ya mazoezi.. na utayazoea tu japo mwazo mgumu
Nitajihidi kutumia asali japo nayo ni ghali,nikishindwa nitaacha tu kutumia sukari kibabe maana mwili si unatengeneza sukari yake.

Mazoezi nafanya,ila kuacha wanga bado mtihani maana ndio chakula kikuu
 
Ng'ombe sawa naweza acha

ila mbuzii woii noop
Kuku choma no wayyy
Fish fillet/fingers tafadhali sn no way
 
Yote tisa kuacha mapenzi napo umekumbwa na nini.,?we ni zaidi ya Vegan tukuite Yesu masalia labda
 
Nitajihidi kutumia asali japo nayo ni ghali,nikishindwa nitaacha tu kutumia sukari kibabe maana mwili si unatengeneza sukari yake.

Mazoezi nafanya,ila kuacha wanga bado mtihani maana ndio chakula kikuu
Wanga kwani umekukosea nini hadi uuache?.
 
kupanga ni kuchagua...
all in all nimependa uandishi wako na jinsi unatoa majibu mujarab kbs.
ni uamuzi mzuri tuu nini ndugu yangu sasa miaka 20 hatumii hizo product baada ya kupata aleji flani..but anaishi na yupo buheri wa afya kbs.
 
Nitajihidi kutumia asali japo nayo ni ghali,nikishindwa nitaacha tu kutumia sukari kibabe maana mwili si unatengeneza sukari yake.

Mazoezi nafanya,ila kuacha wanga bado mtihani maana ndio chakula kikuu
Ni kweli mkuu unakuta milo yote mitatu ni wanga tu ndio umetawala, hii ni hatari kwa watu amabao hawafanyi kazi za kutumia nguvu..

Huchangia sana kuongeza uzito, ukila wanga mwingi huchangia insulini kuzalisha sukari kwa wingi katika mwili
 
Back
Top Bottom