Nimeanza kuamini kwamba Bora Kununua tu…

Wakuu haya mambo ya mapenz kiunganish ni hela tu..imagn jana kuna manz bikra kabisa kaniletea geto..nmepambana nayo almost 3hrs ila nmefail mission ila baada ya hapo ananiletea list ya matumiz yake na anakumbushia kila baada ya dk 15 ...hapa hadi kichwa kinaniwaka kwamba naenda tengeneza mdangaji ajae au ni future wife material wa mtu?
 
Nipatie namba yake niweze kuangalia hio list aliyokutumia niongee nae vizuri, hivi umesema ni bikra na umeshindwa kuifungua?
 
Yaan mkuu acha tu hawa watu wa ajabu kinoma mpaka nimeshangaa huyu mboni km anauza ila anasema hauzi mara yeye sio malaya ila mienendo yake ikafanya taa nyekundu iwake haraka sana
Now mademu wanauza Papa kama masihara jana nilienda Duka la Dawa Muhimu nikakutana na mrembo nikanunua dawa nikasepa ila nikaona no wacha nirudi.

Nimefika akaniuliza vipi ,nikamwambia nimeshindwa vumilia urembo wako nimerudi kuomba namba akasema sawa akanipa ,,,oya jioni nimakacheki kaboa sijatupia ndoano vizuri akaniwahi "BAO MBILI ELFI 30"
 
Nipatie namba yake niweze kuangalia hio list aliyokutumia niongee nae vizuri, hivi umesema ni bikra na umeshindwa kuifungua?
Aah..list nitaizingatia ila naona naenda kupeleka gold digger mpya sokon
 
😂😂😂😂😂
Jamaaa alikunjwa shati, anajifanya mbabe, anashangaa kende zimeminywaa, "unatoa hutoi"
Mdada piga kelelee "mwiziiii huyuu" wapangaji wenzie walio vyumba vingine kujaa shazi pale mlangoni.

Mkaka wa watu, afu mtumishi wa serikali, alijawa na aibu, alijuta kabisaa. Lol
😂😂😂😂
Una mastory cousin,ngoja nine inboksi kwanza
 
Sasa huyu umetoa wapi au umeomba namba kwenye daladala 😂
 
Wakuu haya mambo ya mapenz kiunganish ni hela tu..imagn jana kuna manz bikra kabisa kaniletea geto..nmepambana nayo almost 3hrs ila nmefail mission ila baada ya hapo ananiletea list ya matumiz yake na anakumbushia kila baada ya dk 15 ...hapa hadi kichwa kinaniwaka kwamba naenda tengeneza mdangaji ajae au ni future wife material wa mtu?
Mkuu nisaidie number yake huyo dada kwenye PM kama hautojali..
 
Now mademu wanauza Papa kama masihara jana nilienda Duka la Dawa Muhimu nikakutana na mrembo nikanunua dawa nikasepa ila nikaona no wacha nirudi.

Nimefika akaniuliza vipi ,nikamwambia nimeshindwa vumilia urembo wako nimerudi kuomba namba akasema sawa akanipa ,,,oya jioni nimakacheki kaboa sijatupia ndoano vizuri akaniwahi "BAO MBILI ELFI 30"
Huyo ndio mzuri, amekuwa wazi hataki mambo mengi, bao moja 15k ni uwezo wako tu.
 
Back
Top Bottom