Nimeanza kuamini kwamba Bora Kununua tu…

Nimeanza kuamini kwamba Bora Kununua tu…

Hakuna hio kwani wanaoweka ndani hawafi? Wanakufa na wanaziacha wahuni wanaendelea kuzichakata, majuzi hapa yupo ambae kafiwa na mumewe imepita mwezi tu jana kaenda kuliwa hotel fulani watoto kamwachia jirani yake, wakati huo wewe ushaanza kuliwa na funza huko chini mwenzio kashakusahau watu wanaendelea kuimega tu tena wanaimega haswa kukuzidi wewe uliekwisha kufa
Hakuna unayemkomoa, unajiua mwenyewe
 
Hapo aliona na wewe ungemuomba, bora alivyokuwahi..!! 😹😹😹
 
Ni yeye sio mimi
Ndio hivyo basi ikawa Suleman mtoto wa Mfalme Daudi alikua na wanawake wa kuwaoa 700 na Malaya 300 ila Biblia inakwambia "Masuria" kuficha maana kwa hio jumla Sulemani alikua na Wanawake 1000
 
Mwanamke yeyote kama siyo bikra hana haki ya kukuendesha kivyovyote huyo ni malaya...

Aliinamishwa na mhuni ambaye usikute alikula bure tu halafu akusumbue kinazi - cutt her out.
 
Mbona wewe umefahamiana tu umeanza kumtongoza? Ungeacha awe Dada kwa mda, then ndo umtongoze, kama wewe umeamini anaweza kukupenda kwa kumuona tu, ndivyo na yeye anaamini unaweza mnunulia vocha
Tulishamalizana
 
Hakuna uzinzi hapo

Sulemani alikua na wake wa kuwaoa 700 na Malaya 300, nadhani mimi nitakua mjukuu wake wa mjukuu wake wa mjukuu wake kwa hio naendeleza alipoishia Babu Sule
Kwani wewe sulemani????
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂😂
Jamaaa alikunjwa shati, anajifanya mbabe, anashangaa kende zimeminywaa, "unatoa hutoi"
Mdada piga kelelee "mwiziiii huyuu" wapangaji wenzie walio vyumba vingine kujaa shazi pale mlangoni.

Mkaka wa watu, afu mtumishi wa serikali, alijawa na aibu, alijuta kabisaa. Lol
😂😂😂😂
Duh alikula alaf atak kulipa😃😃
 
Back
Top Bottom