Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

Wanaopenda tecno huwa wanapata shida wasizozijua. Mojawapo ni kamera zinachoka zinakosa ubora baada ya mda miezi kadhaa tangu ununue. Pili ukisev namba za simu ktk phone book zinapotea moja moja bila we kujua, unakuta umemsev jina la mtu, baadaye akikupigia inakuja namba tu unalazimika kumwuliza upya na kusev upya. Afu betri inakuwa imara kwa miezi ya mwanzo baadae unajikuta chaji inaisha fasta. Ram watakuambia ni GB 2 lakini zinajaa fasta kwa apps chache tu nk nk.... Lakini mtumia tecno ataganda nayo ilimradi haizimi na hatagundua hayo maisha yake yote, hadi atakapotumia brand nyingine ndo atajua ilivo hovyo.
 
Ndiyo naisikia leo. Ama market niliyopo simu hizi hazipo ama kama zipo sijafuatilia sana.

LG nao naona wameanza kuhanithi simu zao G6 inakuja bila removable batteries. That is a deal killer for me. Kama nilikuwa natafuta sababu kuto upgrade nishaipata.
Sim za kisasa zote. Ni non-removable batteries
 
Sim za kisasa zote. Ni non-removable batteries
Hilo najua.

"Za kisasa" haina maana "nzuri zaidi".

Ndiyo maana mpaka kesho Prince Charles anaponda modern art, particularly modern architecture with its boxy gray monstrosities.

After all, the second law of thermodynamics equates the direction of the arrow of time woth the increase of disorder, not order. As anyone who has conducted the most basic experiment to demonstrate Brownian motion could attest to.

As Sir Arthur Eddington said, you simply cannot contradict the second law of thermodynamic s.

So "Usasa" could be very overrated and detrimental to your well being if not properly filtered.

You dig?
 
Sijawahi kutumia simu clone ya samsung sababu naijua identity yake kwa kuitizama kioo tu.

Kama unazungumzia habari ya jambo geni kwenye kila toleo,hii ni kanuni ya tech kwa simu zote duniani huwezi ibuka na jambo geni kila toleo.labda uniambie wewe toka smartphome zimeibuka.kila mwaka zimetambulishwa kwa kuingia na kipi kipya.zaidi ya kukuza storage na ukubwa wa camera???, tena hapa apple ndio mdhaifu sana na huu ugonjwa bora hata hao samsung.
Awww.....sijutii kutumia samsung
 
Wanaopenda tecno huwa wanapata shida wasizozijua. Mojawapo ni kamera zinachoka zinakosa ubora baada ya mda miezi kadhaa tangu ununue. Pili ukisev namba za simu ktk phone book zinapotea moja moja bila we kujua, unakuta umemsev jina la mtu, baadaye akikupigia inakuja namba tu unalazimika kumwuliza upya na kusev upya. Afu betri inakuwa imara kwa miezi ya mwanzo baadae unajikuta chaji inaisha fasta. Ram watakuambia ni GB 2 lakini zinajaa fasta kwa apps chache tu nk nk.... Lakini mtumia tecno ataganda nayo ilimradi haizimi na hatagundua hayo maisha yake yote, hadi atakapotumia brand nyingine ndo atajua ilivo hovyo.
SSD zao zinajaa haraka mno, 16GB ya Tecno inajaa fasta kuliko simu kali yenye ujazo huo huo.
 
Kuhus kamera kupoteza ubora na uborawa kioo cha mbele ni kwel kamera ya cm ya mshkaj Wangu alikua ana h6 ila sasa n mbovu balaaa hainogi hata kidogo yule mshkaj anajua kutunza am ila kwa sasa anasema am hana maana ikamua kujizma inajizma ikaiamua kufanya fujo inafanya alaf touch ya tecno utaiona ipo tofaut sana kama utapata bahat ya kutumia kama Samsung utaona kuna tofaut tena sana
 
Next time usikurupuke kujibu post za watu bila kuelewa.

Umeielewa hiyo comment yangu?... Wapi nimeiponda iPhone?

Unaelewa maana ya copycat au ndo kujifanya mjuaji...

Unaujua uwezo wangu waki fedha?... Sometimes ni bora ukae kimya kuliko kuanza kutoa matusi kwa mtu usiyemjua.

Naona kusema Tecno hazitambuliki ndio imekuuma sana sio?... Huo ndio ukweli.

Jaribu kufatilia kabla haujaja kutukana watu usiowajua... Wachina wanatumia sana Xiaomi,Oneplus,Huawei na Oppo na simu kutoka kampuni nyingine kubwa.

Tafuta Reviews za simu kuanzia YouTube mpaka kwenye google utaona Tecno zinafanyiwa review Nigeria tu.Na ndo Makao Makuu yao hapo,China bado hazijulikani.

Pole sana bwana Tecno.
Hiyo ni kweli bro, mi nimefanya kazi na wachina pale Dangote na sikuwahi kumuona mchina anatumia Techno hata wale wa hali ya chini.. ilinifanya kuwauliza ni kwanini wao hawatumii hizo simu ikiwa zinatoka kwao? Ila wakaniambia techno kwenye performance iko chini sana hata sensitivity ya display pamoja na graphics ni mbovu. Na anasema china huwa hawazinunui kabisa bali mara nyingi huwa wana export katika nchi zetu huku. Walio wengi utawakuta wanazo Huawei, Oppo, Samsung, ZTE, Microsoft, pamoja na Iphone.
Wanaopenda tecno huwa wanapata shida wasizozijua. Mojawapo ni kamera zinachoka zinakosa ubora baada ya mda miezi kadhaa tangu ununue. Pili ukisev namba za simu ktk phone book zinapotea moja moja bila we kujua, unakuta umemsev jina la mtu, baadaye akikupigia inakuja namba tu unalazimika kumwuliza upya na kusev upya. Afu betri inakuwa imara kwa miezi ya mwanzo baadae unajikuta chaji inaisha fasta. Ram watakuambia ni GB 2 lakini zinajaa fasta kwa apps chache tu nk nk.... Lakini mtumia tecno ataganda nayo ilimradi haizimi na hatagundua hayo maisha yake yote, hadi atakapotumia brand nyingine ndo atajua ilivo hovyo.
 
Kuhus kamera kupoteza ubora na uborawa kioo cha mbele ni kwel kamera ya cm ya mshkaj Wangu alikua ana h6 ila sasa n mbovu balaaa hainogi hata kidogo yule mshkaj anajua kutunza am ila kwa sasa anasema am hana maana ikamua kujizma inajizma ikaiamua kufanya fujo inafanya alaf touch ya tecno utaiona ipo tofaut sana kama utapata bahat ya kutumia kama Samsung utaona kuna tofaut tena sana
Kwa touch nakiri. Naona tofauti kubwa sana kwa sasa kiukweli touch za tecno sio sensitive sana na mara ingine inakataa ku respond kwenye baadhi ya maeneo hasa ukiwa unavuta notification bar
 
Mkuu simu za Tecno ni ghali sana, na siku zote wanatumia hardware za kizamani na zenye ubora mdogo, mfano mzuri ni hii camon cx

Bado inaitumia mali t720 hii ni gpu dhaifu na ya zamani, ni low end na ilizinduliwa toka 2013,

Soc yake ya mt6553 imetumika na simu za 2015, na inatumia manufacturing Technology ya 28nm ambayo imeshapitwa na wakati.

Hata hayo makampuni nguli yanayotumia mediatek sasa hivi wamehamia kwenye soc za 14nm kama vile mediatek helio p20.

Ukija kwenye camera hawakwambii wanatumia sensor gani, niliona mara moja tu wakisema kwenye uzinduzi wa phantom 6 nayo vile vile ilikuwa ni sensor ya zamani sana toka 2014.

Hawa jamaa wanatoa specs ndogo sana na simu zao wanauza bei ghali, even samsung kampuni ambayo kidunia ni kampuni inayouza simu bei ghali simu zao ni rahisi kuliko Tecno, sababu simu kama galaxy j7 prime ina specs nzuri kuliko hii camon cx.
umeandika kitaalamu kabisa.
 
hata tecno uliisifia hivi hivi, usimalize maneno subiri naada ya mwaka uje utupe maneno kuhusu hardaware ya oppo
Hio ipo kwa past tense braza, hata hivyo nilisifia sana charge kudumu katika tecno ambayo kwa sasa nna experience pia kwenye oppo mnyama kazi.
 
Ni adimu kupata hii simu, hazipo nyingi katika mzunguko wa simu
Nimefanikiwa kuipata Oppo a37f, duka la moshi mjini Maeneo ya stendi, zilibaki mbili tu.
Sasa nainjoy Oppo

17a98f21c5791eea4aa238618cd1badc.jpg
7dcc1c1e2880df0de5a33feb4ef2993e.jpg
 
Back
Top Bottom