Mkuu simu za Tecno ni ghali sana, na siku zote wanatumia hardware za kizamani na zenye ubora mdogo, mfano mzuri ni hii camon cxUnaizungumziaje tecno mpya ya camon cx
Aisee. Natumia mimi na naona iko poa sana tu. Namanisha Hivyo. Na nikitaka kubadili handset ni ipi/zipi bora kwa sasa?Mkuu simu za Tecno ni ghali sana, na siku zote wanatumia hardware za kizamani na zenye ubora mdogo, mfano mzuri ni hii camon cx
Bado inaitumia mali t720 hii ni gpu dhaifu na ya zamani, ni low end na ilizinduliwa toka 2013,
Soc yake ya mt6553 imetumika na simu za 2015, na inatumia manufacturing Technology ya 28nm ambayo imeshapitwa na wakati.
Hata hayo makampuni nguli yanayotumia mediatek sasa hivi wamehamia kwenye soc za 14nm kama vile mediatek helio p20.
Ukija kwenye camera hawakwambii wanatumia sensor gani, niliona mara moja tu wakisema kwenye uzinduzi wa phantom 6 nayo vile vile ilikuwa ni sensor ya zamani sana toka 2014.
Hawa jamaa wanatoa specs ndogo sana na simu zao wanauza bei ghali, even samsung kampuni ambayo kidunia ni kampuni inayouza simu bei ghali simu zao ni rahisi kuliko Tecno, sababu simu kama galaxy j7 prime ina specs nzuri kuliko hii camon cx.
kama matumizi yako ni ya kawaida tu huwezi ona tofauti,Aisee. Natumia mimi na naona iko poa sana tu. Namanisha Hivyo. Na nikitaka kubadili handset ni ipi/zipi bora kwa sasa?
Mkuu shukrani kwa bandiko hili. Ngoja nilihifadhi kwa matumizi ya mbeleni. Hata hivyo mi si mtu wa gemu sana. Matumizi yangu makubwa ni kwenye social media na office zaidikama matumizi yako ni ya kawaida tu huwezi ona tofauti,
na tatizo la soko letu simu nzuri ni Tabu sana kuzipata.
kwa simu za midrange (simu za bei ya kati) inategemea unataka nini kwenye simu, kama unataka perfomance yaani unacheza games kubwa, unarun apps nyingi na vitu kibao vizito vizito simu za snapdragon 650 au 652 ni nzuri sana, simu hizo ni kama
-xiaomi redmi note 3
-sony xperia x
-samsung galaxy A9
hapa pia eka flagship za mwaka jana kama lg g5, htc 10 version za snapdragon 652 hizi pia ni bei za kati.
kama unataka efficiency na battery life nzuri simu za snapdragon 625 au mediatek helio p20 hapa kuna simu kama
-xiaomi redmi note 4
-moto z play
-lenovo vibe p2
-moto g5 plus
kwa mimi ukiniambia nichague simu bora kwa matumizi yote bei ya kati ni hio motorola moto g5 plus, sababu inatumia soc ambayo haili sana battery, inatumia sensor ya camera almost sawa na galaxy s7 hivyo tegemea simu ambayo inazipita simu nyingi za milioni kupanda kwenye camera. pia bei yake sio pasua kichwa ni kama dola 230 tu. pia moto g series zinapata updates mara kwa mara ni simu ambayo ukiinunua leo una uhakika kama miaka 2 ijayo utapata android version zote, ubaya ni kwamba unaweza zunguka maduka mengi tu usiipate hii simu na design yake pia inaweza isikuvutie.
![]()
Haisee huyu moto namkubali sana maana ni balaa tupu sanaaa yaankama matumizi yako ni ya kawaida tu huwezi ona tofauti,

then hizo zenye snaodragon 625 zitakufaa, zipo nyingi zaidi ya hizo nilizotaja ukipata nafasi unaweza kugoogle -list of snaodragon 625 decive- zitakuja.Mkuu shukrani kwa bandiko hili. Ngoja nilihifadhi kwa matumizi ya mbeleni. Hata hivyo mi si mtu wa gemu sana. Matumizi yangu makubwa ni kwenye social media na office zaidi
sawa kiongozi. Ngoja nifanyie kazithen hizo zenye snaodragon 625 zitakufaa, zipo nyingi zaidi ya hizo nilizotaja ukipata nafasi unaweza kugoogle -list of snaodragon 625 decive- zitakuja.
au pengine mpaka ukutafuta simu iwe snapdragon 635 iwe imeshatoka.
Mkuu hujakosea sana ikiwa nilishajitanabaisha awali kuwa nilikuwa mshabiki mzuri wa tecno. Nina gamba la I.T kwa ngazi ya stashahada na pia niko mbioni kumaliza shahada yangu ya kwanza katika maswala ya masoko na ujasiriamali mnamo mwisho wa mwaka huu. Hivyo utaalamu wa hivyo vitu ni tokana na profession zaidi.Mbababa wewe utakuwa afisa masoko wa oppo,naona unafanya brand awareness.We hukuwa unatumia tecno,huwezi kujua tafauti ya system on a chip ya mediatek na qualcomm alafu ukawa mtumiaji wa tecno.
Sasa profesheno wa IT anawezekanaje kuwa shabiki wa tecno,nini hasa kilikuvutia.maana hao kina oppo,xiomi,vivo,one plus na wengineo wanatengeneza quality smartphones kwa bei nafuu wamekuwepo kitambo tu.Mkuu hujakosea sana ikiwa nilishajitanabaisha awali kuwa nilikuwa mshabiki mzuri wa tecno. Nina gamba la I.T kwa ngazi ya stashahada na pia niko mbioni kumaliza shahada yangu ya kwanza katika maswala ya masoko na ujasiriamali mnamo mwisho wa mwaka huu. Hivyo utaalamu wa hivyo vitu ni tokana na profession zaidi.
Tofautisha taaluma na ushabiki mkuu. Ujuzi wangu wa kuwa tecno ni inferior product haunizuii mie kui support ama kunifanya nidharau watumiaji wengine. Nipo tofauti na mentality za watanzania wengi sana mkuu.Sasa profesheno wa IT anawezekanaje kuwa shabiki wa tecno,nini hasa kilikuvutia.maana hao kina oppo,xiomi,vivo,one plus na wengineo wanatengeneza quality smartphones kwa bei nafuu wamekuwepo kitambo tu.
Nmekupata mkuu,hatudharau watumiaji. tatizo ubora wake ni hafifu,halafu hazidumuTofautisha taaluma na ushabiki mkuu. Ujuzi wangu wa kuwa tecno ni inferior product haunizuii mie kui support ama kunifanya nidharau watumiaji wengine. Nipo tofauti na mentality za watanzania wengi sana mkuu.
Chief anzisha website inayo-deal na gadgets newsMkuu shukrani kwa bandiko hili. Ngoja nilihifadhi kwa matumizi ya mbeleni. Hata hivyo mi si mtu wa gemu sana. Matumizi yangu makubwa ni kwenye social media na office zaidi