Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

Baada ya kuwa mshabiki wa kampuni ya simu pendwa za tecno kwa kipindi kirefu, nmefanikiwa kubadili brand na kuhamia Oppo phones.

Hii imetokana na Tecno kutubadilishia gia angani kwa kuuza simu zenye ubora mdogo kwa pesa ndefu kuliko dhamira halisi iliowaingiza sokoni. In short wanabadili makasha ila mostly hardwares wanazotumia ni cheap sana na hawaoneshi nia ya ku improve zaidi ya kubadili kamera tu kila siku.

Kuanzia leo sitaki hata kusikia habari za tecno, nimekuwa very satisfied na brand ya oppo phones.

Nmenunua oppo a33f na bibie nimemnunulia a37f. Camera excellent, battery optimization hatari sana, soc ni sawa na highend phone brands ni qualcomm sio mediatek, ram optimization safi, storage iko fast pia haijai haraka kama kule.

Tukija kwenye bei ni as cheap as hizo tecno ila unapata kitu nzuri zaidi aisee. Najua kuna wale mliochoshwa na tecno ila hamna mbadala nawashauri chekini oppo phones wako tununu!

Regards,
Extrovert.

Cc: Chief-Mkwawa

A37f
View attachment 501226

A33f
View attachment 501227
Thanks mkuu kwa kuileta hii thread, now naenjoy nipo ndani ya Oppo
 
Nimefanikiwa kuipata Oppo a37f, duka la moshi mjini Maeneo ya stendi, zilibaki mbili tu.
Sasa nainjoy Oppo



17a98f21c5791eea4aa238618cd1badc.jpg
7dcc1c1e2880df0de5a33feb4ef2993e.jpg
Umenunua bei gani?
 
Nimefanikiwa kuipata Oppo a37f, duka la moshi mjini Maeneo ya stendi, zilibaki mbili tu.
Sasa nainjoy Oppo



17a98f21c5791eea4aa238618cd1badc.jpg
7dcc1c1e2880df0de5a33feb4ef2993e.jpg
Hongera sana boss, utoe ushuhuda sasa maana wengi hawajui utamu wa Oppo. Wengi walihisi napiga promo bure!
 
Back
Top Bottom