Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,033
- 173,724
- Thread starter
- #41
wanatumia mediatek na snapdragon zote zote, na hata mediatek wana soc zina afadhali,
mfano kama mediatek p series (p10 na p20) ni soc nzuri na zinatunza chaji compare na mediatek nyengine,
Tatizo la wachina wengine wanatumia mediatek za ovyo, unakuta simu inaekwa battery ya 5000mah halafu soc wanayotumia haitunzi chaji mwisho wa siku simu haikai na chaji kama inavyotakikana.
Kitu hio hapo, nakula 4G kwa voda na tigo as i wish.
Hapooo, aisee tecnomobile wanisamehe tu..
Mediatek bye bye