Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

Unajua kweli kufanya marketing..unalipwa sh ngapi?Yaani simu itengenezwe china halafu eti haijulikani..acha fix zako za kipimbi hizo..huna hela ya kununua iphone ..simple
Next time usikurupuke kujibu post za watu bila kuelewa.

Umeielewa hiyo comment yangu?... Wapi nimeiponda iPhone?

Unaelewa maana ya copycat au ndo kujifanya mjuaji...

Unaujua uwezo wangu waki fedha?... Sometimes ni bora ukae kimya kuliko kuanza kutoa matusi kwa mtu usiyemjua.

Naona kusema Tecno hazitambuliki ndio imekuuma sana sio?... Huo ndio ukweli.

Jaribu kufatilia kabla haujaja kutukana watu usiowajua... Wachina wanatumia sana Xiaomi,Oneplus,Huawei na Oppo na simu kutoka kampuni nyingine kubwa.

Tafuta Reviews za simu kuanzia YouTube mpaka kwenye google utaona Tecno zinafanyiwa review Nigeria tu.Na ndo Makao Makuu yao hapo,China bado hazijulikani.

Pole sana bwana Tecno.
 
Samsung kampuni nzuri Sana ila huu ndio ubaya wake ndio maana awawezi kuwa Kama wenzao iPhone mfano Samsung iliyotoka mwaka jana mwanzoni saivi iko cheap Sana ila iPhone ya mwaka jana unaweza kuitumia mpk mwakani kwasababu wanatoa cm mbili tatu mwa mwaka mfano iPhone 6 na 6s and 6plus wamemaliza
Alicholifanya apple ni kujitengenezea web yake kwa kutumia os ya kwake mwenyewe, sababu anajua huna kimbilio ukimtaka, anauza bidhaa bei juu na anatoa aina chache ili aendelee kukubana.

Samsung anajua kwamba ili afanye biashara yenye faida ni lazima ashike soko la kada zote juu, kati, chini.huko juu ndiko inapatikana status ya pesa, chini huku inatafutwa faida.
 
Kama embe ukimaanisha nini mkuu?
Kuuziwa simu clone ni kukosa kwako elimu (ujinga) yakuweza kutambua simu ipi ni ipi na si Kosa la Samsung,
namaanisha wanatoa matoleo mengi sana na yanafanana fanana yanakuwa hayana kitu kipya sana.na nikwambie samsung itakuwa ni simu inaongoza kwa kuweza kutengenezwa simu feki.kama umewahi kununua samsung hapa bongo ujue 80% ni clone ingawa ni clone yenye kiwango cha juu.
 
Mbona ziko tofauti sana!!!hauko makini tu.

Kuna s series
Kuna note series
Kuna A series
Kuna C series
Kuna j series.

Hizo zote zina mionekano tofauti kulingana na herufi, ungesema ukifika dukani unalewa maana kila simu ni nzuri, ningekuelewa.
naongezea hapo,kuna ON series,X cover series,Alpha,MEGA,NEO,Z series,E series,V series ziko nyingi sana
halafu ndani ya hizo series kuna matoleo kibaoo ambayo kutoka toleo moja kwenda jingine ni miezi tu wanakuwa washatoa halafu ukiangalia tofauti ya toleo moja na jingine tofauti ni ndogo sana,na material yao wanayopenda ya cheap plastic iliniondoa huko maana wengine pia wanatumia sana plastic lakini ukiishika mkononi unaona kabisa simu ina viwango tofauti na simu nyingi za samsung.
 
Samsung kampuni nzuri Sana ila huu ndio ubaya wake ndio maana awawezi kuwa Kama wenzao iPhone mfano Samsung iliyotoka mwaka jana mwanzoni saivi iko cheap Sana ila iPhone ya mwaka jana unaweza kuitumia mpk mwakani kwasababu wanatoa cm mbili tatu mwa mwaka mfano iPhone 6 na 6s and 6plus wamemaliza
hapo ndio iko shida,yani unanunua simu leo milioni halafu baada ya miezi miwili inatoka toleo jipya inamaana inalazimisha hizi za nyuma zishuke thamani kwa lazima mbaya zaidi zinatoka na clone zake ambayo mtu akiishika huwezi kutofautisha na OG.
 
Hakuna brand naihusudu kama Sony, destination yangu kwenye electronics itakuwa Sony. Hamnaga upuuzi wa yebo yebo na brand ni so sophisticated!
 
namaanisha wanatoa matoleo mengi sana na yanafanana fanana yanakuwa hayana kitu kipya sana.na nikwambie samsung itakuwa ni simu inaongoza kwa kuweza kutengenezwa simu feki.kama umewahi kununua samsung hapa bongo ujue 80% ni clone ingawa ni clone yenye kiwango cha juu.

Naifahamu Samsung kama Jina langu, Lakini wacha nikuache na imani yako ndugu
 
Cc: Chief-Mkwawa

Infinix unaifahamuje kiuwezo?

Durability na perfomance ikoje?
 
Mkuu umeingiza mzigo umekudodea nn? Naona unaanza kutangaza kwa kuwasagia wenzio, any way mie pia sijawahi kutumia Tecno wala uwawei yaani bora kutumia kitochi cha Nokia
 
namaanisha wanatoa matoleo mengi sana na yanafanana fanana yanakuwa hayana kitu kipya sana.na nikwambie samsung itakuwa ni simu inaongoza kwa kuweza kutengenezwa simu feki.kama umewahi kununua samsung hapa bongo ujue 80% ni clone ingawa ni clone yenye kiwango cha juu.

Sijawahi kutumia simu clone ya samsung sababu naijua identity yake kwa kuitizama kioo tu.

Kama unazungumzia habari ya jambo geni kwenye kila toleo,hii ni kanuni ya tech kwa simu zote duniani huwezi ibuka na jambo geni kila toleo.labda uniambie wewe toka smartphome zimeibuka.kila mwaka zimetambulishwa kwa kuingia na kipi kipya.zaidi ya kukuza storage na ukubwa wa camera???, tena hapa apple ndio mdhaifu sana na huu ugonjwa bora hata hao samsung.
 
Sawa
 
Back
Top Bottom