Zugak17
JF-Expert Member
- Aug 9, 2014
- 1,171
- 383
Sijajua mm nina Mi3Mkuu kwa Dar au Mwanza Xiaom note 4 naipata kwa bei gani?
Sijajua mm nina Mi3Mkuu kwa Dar au Mwanza Xiaom note 4 naipata kwa bei gani?
Kapo kama ka iphone flan hivi amazing loh simu tamu hiyo mhHapa a33f ndio nimejiweka mzee baba Tajirimsomi
View attachment 501221
Hapa chini kakaa bibie a37f
View attachment 501223
mbona huyu jamaa anawalazimisha watu....hata mimi najua oppo,vivo ni za china
hata iphone ni kampuni ya Tanzania mimi pia nina uhakika zipo kibao Tanzania.Kampuni za india hizo mimi naishi nina uhakika na hili
Kama hujaiuza nakuja pm nikuchekechehahaaa mimempiga mchina mmoja hapa job One plus ina ram 6gb storage 64gb only for 400K
Lugha gani hii mkuu?Picha pleasr
Mkuu basi hiyo ambayo unayo sasa niuzie maana nimeichoka hii s3 iko superslow iko na 4.3jellybean inanikera acha tuIphone ni parefu.... Tecno ni majanga nashindwa kuelewa mleta thread aliwezaje kuwavumilia mda wote huo....
Samsung pamoja na kutengeneza mabomu ila siwahami ng'o...... Ndiyo kwanzaa nimechukua Samsung Galaxy S7 Edge... Ipo tu kwenye droo nimeipumzisha.....
Fashion life cycle inaenda ikijirudia stages.Dunia kweli inazunguka, zamani ilikuwa ukiwa na cm kubwa kila mtu anakuona una pesa una miliki bonge la cm, ikafika mahali ukiwa na cm kubwa wewe ni mshamba una hela ndogo unabeba simu kubwa, cm ndogo zikawa ndio za maana una onekana mambo safi, leo tena cm kubwa ndio safi, ukiwa nayo wewe mkali una jiweza tukaleta na tablet kabisa, dunia duara.
Zipatikane Tanzania za nini wakati unaweza kununua online??![emoji53][emoji53][emoji53]Tuambieni simu hizi Tanzania zinapatikana wapi
Ni jambo la kushangaza sana e? Wewe kwani unatumia simu gani boss?Hadi leo mnatumia s3
Mm mwenyewe nataka kuachana nao hawa tecno ila sijajua kama niamie Nokia 6, Samsung J7 au kwenye brand za one plus na Xiaom?