Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,457
- 5,325
Umenunua wapi aisee?Thanks mkuu kwa kuileta hii thread, now naenjoy nipo ndani ya Oppo
Umenunua wapi aisee?Thanks mkuu kwa kuileta hii thread, now naenjoy nipo ndani ya Oppo
Sio Kiranga huyu??Hilo najua.
"Za kisasa" haina maana "nzuri zaidi".
Ndiyo maana mpaka kesho Prince Charles anaponda modern art, particularly modern architecture with its boxy gray monstrosities.
After all, the second law of thermodynamics equates the direction of the arrow of time woth the increase of disorder, not order. As anyone who has conducted the most basic experiment to demonstrate Brownian motion could attest to.
As Sir Arthur Eddington said, you simply cannot contradict the second law of thermodynamic s.
So "Usasa" could be very overrated and detrimental to your well being if not properly filtered.
You dig?
Oppo nq vivo ni brand za China Ila zinauzwa sana na wahindi huko IndiaYeah nimekubali, wako safi. Oppo ni brand ya India lakini sema zinazalishwa China.
Kaka a57 ni hatari zaidi. Ina home button kama ya samsung vile vile Ram ni 3GB huku SSD ikiwa 32GB, processor qualcom msm 8940 snapdragon 435, Selfie camera 16mp which means selfie zitakuwa hatari mno. Primary camera ni 13mp very reasonable. Plus display ni 5.2 inches.Naomba tofauti yake na oppo A57
Oppo a57 ni bei gani?Kaka a57 ni hatari zaidi. Ina home button kama ya samsung vile vile Ram ni 3GB huku SSD ikiwa 32GB, processor qualcom msm 8940 snapdragon 435, Selfie camera 16mp which means selfie zitakuwa hatari mno. Primary camera ni 13mp very reasonable. Plus display ni 5.2 inches.
Kiufupi a57 ni zaidi ya hizi model nilizonazo
Spare ni changamoto mkuu, labda mtandaoni maana hazipo kwenye mzunguko wa simu wa bongo. Ila ulitakiwa uitunze sasa mkuu, unaonekana ww ni mzembe katika utunzaji wa vitu vizuri!Na hozi sim sina spear parts zake kama scree na vingine
Maana nilishaletewaga sim kutoka south Africa ikapasuka screen nilitafuta kila maali sikuzipata nilizunguka sana kariakoo lakini wapi mwisho wa siku ikabidi ninunue tekno wereva
Si uzembe ilikuwa bahat mbaya, na huwa inatokea sana tuu unakuwa mwangalifu ila inakuja kutokea tuu umejisahau kidogo kitu kipo sakafuniSpare ni changamoto mkuu, labda mtandaoni maana hazipo kwenye mzunguko wa simu wa bongo. Ila ulitakiwa uitunze sasa mkuu, unaonekana ww ni mzembe katika utunzaji wa vitu vizuri!
Mkuu vp ulupata?Mkuu Moshi kubwa, unaweza kutupatia japo hints maana sipo mbali na moshi naweza kwenda kuziona mara moja kama hutojali
Weka jina la duka au namba za simu tumcheki.Sio siri naenjoy kaka.
![]()
Sisi wengine tunaendelea na zilizopendwa zetu za IPHONE S4 'HAKUNA MATATA KABISA' nyie endeleeni kubanjiliwa pesa kila kunapokucha.Baada ya kuwa mshabiki wa kampuni ya simu pendwa za tecno kwa kipindi kirefu, nmefanikiwa kubadili brand na kuhamia Oppo phones.
Hii imetokana na Tecno kutubadilishia gia angani kwa kuuza simu zenye ubora mdogo kwa pesa ndefu kuliko dhamira halisi iliowaingiza sokoni. In short wanabadili makasha ila mostly hardwares wanazotumia ni cheap sana na hawaoneshi nia ya ku improve zaidi ya kubadili kamera tu kila siku.
Kuanzia leo sitaki hata kusikia habari za tecno, nimekuwa very satisfied na brand ya oppo phones.
Nmenunua oppo a33f na bibie nimemnunulia a37f. Camera excellent, battery optimization hatari sana, soc ni sawa na highend phone brands ni qualcomm sio mediatek, ram optimization safi, storage iko fast pia haijai haraka kama kule.
Tukija kwenye bei ni as cheap as hizo tecno ila unapata kitu nzuri zaidi aisee. Najua kuna wale mliochoshwa na tecno ila hamna mbadala nawashauri chekini oppo phones wako tununu!
Regards,
Extrovert.
Cc: Chief-Mkwawa
A37f
View attachment 501226
A33f
View attachment 501227
Apple iphone 4SHio iphone s4 ni hatari sana, inatokea nchi gani!
Umeamua mkuu kutangaza biashara.Baada ya kuwa mshabiki wa kampuni ya simu pendwa za tecno kwa kipindi kirefu, nmefanikiwa kubadili brand na kuhamia Oppo phones.
Hii imetokana na Tecno kutubadilishia gia angani kwa kuuza simu zenye ubora mdogo kwa pesa ndefu kuliko dhamira halisi iliowaingiza sokoni. In short wanabadili makasha ila mostly hardwares wanazotumia ni cheap sana na hawaoneshi nia ya ku improve zaidi ya kubadili kamera tu kila siku.
Kuanzia leo sitaki hata kusikia habari za tecno, nimekuwa very satisfied na brand ya oppo phones.
Nmenunua oppo a33f na bibie nimemnunulia a37f. Camera excellent, battery optimization hatari sana, soc ni sawa na highend phone brands ni qualcomm sio mediatek, ram optimization safi, storage iko fast pia haijai haraka kama kule.
Tukija kwenye bei ni as cheap as hizo tecno ila unapata kitu nzuri zaidi aisee. Najua kuna wale mliochoshwa na tecno ila hamna mbadala nawashauri chekini oppo phones wako tununu!
Regards,
Extrovert.
Cc: Chief-Mkwawa
A37f
View attachment 501226
A33f
View attachment 501227
Fika stendi ya daladala moshi mjini mkuu! Ukifika hapo kuna maduka ya simu mengi ila ulizia duka wanalouza simu za Oppo maana yapo mawili tu...Weka jina la duka au namba za simu tumcheki.
Kaka yaani usiku huna hata haja ya kuwasha flash light!Okey
Daah ww jamaa kiboko, nimecheka sana.. Teh teh teh tehtmm sijahi kununua simu dukani...nanunua za wizi tu,napata ata ipone 7 kwa laki na nusu so sijisumbuagi na upuuzi mingine
Kampuni ya ughaibuni iyo mkuu [emoji45]Oppo ndo naisikia leo,ni kampuni ya wapi hii ?
Id yako inaonesha tu kama huwezi tumia techno... Napata nondo humu na kimchina kangu ka ' techno afu bei yake sasa Kitonga mtelezo...Nilishaapa sitakaa nitumie simu inaitwa TECNO.
Nchi gani?Kampuni ya ughaibuni iyo mkuu [emoji45]