teresa emanuel
Member
- Dec 19, 2016
- 78
- 48
Natoa ofa kwa watu wawili tu mimi naishi india ninandugu yako anakuja bongo tarehe ishirini kwaiyo wanaotaka iyo oppo waagize kama ni online mimi nampa ndugu yangu awabebe bureee tu asa kuna wengine watakuja humu wataanza kusema utapeli ndio maana tunaogopa kutoa misaada humu Mda mwingine yani siitaji unitumie pesa kama unaweza kununua online maybe ebey then ili iwe rahisi kupata mzigo wako
bei hiyo chini angalia kwenye late ya Tanzania Sh Kama laki mbili ukishika hii cm mtu anasema iPhone 6plus yani ni copy right