Kwan kila kitu kinachotengenezwa na china n cha kizush??? Kwan kampun ya apple mbona iko china na simu za iphone zinatengenezwa na zinauzwa dunian kote,,, inshu sio china kuna makampun makubwa yameweka viwanda vyake china na kutengeneza bidhaa na kuuza dunian kote coz n base ya industrialization.... Ndo maana kuna product zinazalishwa china n grade 1 na haziwez kuuzwa nchi nyingine ambazo uchum wao uko chin,,, mfano kuna product za home theatre za sony grade ya 1 inakuwa inauzwa bei kubwa hivyo ikitengenezwa inapelekwa kuuzwa kwenye nchi ambazo ziko vizur za ulaya huko.. Lkn unaweza kununua product io io ambayo imetengenezwa na kampun hilo hilo ikija huku kwetu inauzwa bei ya chin na quality yake inalingana na fedha yetu na uchumi wetu,,,, mfano mwingine n hizo simu za samsung,, simu ya samsung j 5 prime ambayo anatumia m2 wa marekan n tofaut ya huku kwetu coz kwao imetengenezwa kwa kulingana na soko na uchumi wa inchi io vivyo hivyo huku kwetu africa.