Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
67,110
173,846
Baada ya kuwa mshabiki wa kampuni ya simu pendwa za tecno kwa kipindi kirefu, nmefanikiwa kubadili brand na kuhamia Oppo phones.

Hii imetokana na Tecno kutubadilishia gia angani kwa kuuza simu zenye ubora mdogo kwa pesa ndefu kuliko dhamira halisi iliowaingiza sokoni. In short wanabadili makasha ila mostly hardwares wanazotumia ni cheap sana na hawaoneshi nia ya ku improve zaidi ya kubadili kamera tu kila siku.

Kuanzia leo sitaki hata kusikia habari za tecno, nimekuwa very satisfied na brand ya oppo phones.

Nmenunua oppo a33f na bibie nimemnunulia a37f. Camera excellent, battery optimization hatari sana, soc ni sawa na highend phone brands ni qualcomm sio mediatek, ram optimization safi, storage iko fast pia haijai haraka kama kule.

Tukija kwenye bei ni as cheap as hizo tecno ila unapata kitu nzuri zaidi aisee. Najua kuna wale mliochoshwa na tecno ila hamna mbadala nawashauri chekini oppo phones wako tununu!

Regards,
Extrovert.

Cc: Chief-Mkwawa

A37f
oppo-a37-1.jpg


A33f
oppo-a33.jpg
 
one plus one unaijua?oppo ndio kampuni mama ya one plus.
Ndiyo naisikia leo. Ama market niliyopo simu hizi hazipo ama kama zipo sijafuatilia sana.

LG nao naona wameanza kuhanithi simu zao G6 inakuja bila removable batteries. That is a deal killer for me. Kama nilikuwa natafuta sababu kuto upgrade nishaipata.
 
Back
Top Bottom