Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

Nimeamua kubadili brand ya simu rasmi

Sio ajabu ila ni simu ya long time kidogo ukizingatia kuna version tano mbele yake mpaka sasa.
Ni jambo la kushangaza sana e? Wewe kwani unatumia simu gani boss?
 
Simu za adroid uwa sioni kama kuna tofauti umeluka mkojo umekanyaga mavi ona unanuka sasa ungeamua ios kidogo ingekuwa afueni

Tatizo ios siipendi tu jinsi ilivyo.
Mi nafanya kazi nyingi kwenye simu, za office na hata burudani. Huwa napenda sana equalizer kwenye music. Nikiwa na apple sitaweza kuingiza app nazotaka zenye equalizer nzuri kama winamp ama n7player. Pia management ya simu ya android ni rahisi kuliko iphone.

Google android will still take my money...labda aje mpinzani mwengine ila for now fuckk iphones!!!
 
Mkuu Moshi kubwa, unaweza kutupatia japo hints maana sipo mbali na moshi naweza kwenda kuziona mara moja kama hutojali
Moshi mjini maduka ya stand ya mabasi, ghorofani pale
 
Noted with thanks mkuu,nimeshawishika! kuna jamaa alitaka kuniuzia INFINIX, unanishauri vipi ndugu Versus hii Oppo

Infinix sijawahi miliki ila niliona moja kwa jamaa yangu ilikuwa note 2 ni kubwa kwa size ila camera yake ilikuwa mbovu balaa. Mediatek kama kazi.

Sikushauri maana hawana tofauti na tecno. Infinix,tecno,itel = Mchina mwenye asili ya Naijeria huko.
 
Kaka mimi nikushukuru sana, naenda kuchukua Oppo na nitaleta mrejesho hapa, naamini Oppo ni hamna copy kaka au unasemaje hapo
 
Kaka mimi nikushukuru sana, naenda kuchukua Oppo na nitaleta mrejesho hapa, naamini Oppo ni hamna copy kaka au unasemaje hapo
Mchina ni mchina tu..vinginevyo ni kutafuta kujifariji tu!!
 
Kaka mimi nikushukuru sana, naenda kuchukua Oppo na nitaleta mrejesho hapa, naamini Oppo ni hamna copy kaka au unasemaje hapo
Zipo unique sana na adimu hivyo kopi ni ngumu sana kwa soko la bongo
 
Natoa ofa kwa watu wawili tu mimi naishi india ninandugu yako anakuja bongo tarehe ishirini kwaiyo wanaotaka iyo oppo waagize kama ni online mimi nampa ndugu yangu awabebe bureee tu asa kuna wengine watakuja humu wataanza kusema utapeli ndio maana tunaogopa kutoa misaada humu Mda mwingine yani siitaji unitumie pesa kama unaweza kununua online maybe ebey then ili iwe rahisi kupata mzigo wako fasta tu
3c530f0ba6fa4d7b0cdb0b295085af46.jpg
ukipenda bei yake uku iko chini Kama laki mbili naa
 
Back
Top Bottom