Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-


Jichange mkuu hata ujenge chumba chako kimoja uhame hapo.huo ni zaidi ya wizi
 
Muda mwingine tuache utani tumshauri mtu mambo ya msingi na sio kumpotosha, haya mambo ya umeme yanategemea na tarriff mtu aliyopo.

ᵃʳᵉᵉᵐ
 
Kuna jamaa yangu ni mwanasheria ana deal na kesi kama hizo. Njoo inbox nikupe namba umfungulie mashtaka. Anakuhujumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Muda mwingine tuache utani tumshauri mtu mambo ya msingi na sio kumpotosha, haya mambo ya umeme yanategemea na tarriff mtu aliyopo.

ᵃʳᵉᵉᵐ
Kwa mfano ukilipa sh.10000/-unapewa units 28,sasa hiyo ni tarrif ipi?
 
Huwa napata Unit 8 kwa shilingi 1000/- tu , na shilingi 500 wananipa Unit 4
 
Pambana umtafune, trust me, hata shilingi mia ya umeme hautatoa.

Usije sahau kunishukuru hata vocha ya buku kwa namba 0767212018. Jina Ayubu Kapangwa. Kwa kukupa ushauri mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…