Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja sh.30000/- kila mmoja yaani umeme wa sh.60,000/- ndiyo unatosha kumaliza mwezi eti kwa kuwa kila mmoja ana TV screen na kwamba kwa Siku TV moja inatumia units mbili,naomba anayeujua ukweli aijuze tafadhali!!!

Jichange mkuu hata ujenge chumba chako kimoja uhame hapo.huo ni zaidi ya wizi
 
Muda mwingine tuache utani tumshauri mtu mambo ya msingi na sio kumpotosha, haya mambo ya umeme yanategemea na tarriff mtu aliyopo.

ᵃʳᵉᵉᵐ
 
Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja sh.30000/- kila mmoja yaani umeme wa sh.60,000/- ndiyo unatosha kumaliza mwezi eti kwa kuwa kila mmoja ana TV screen na kwamba kwa Siku TV moja inatumia units mbili,naomba anayeujua ukweli aijuze tafadhali!!!
Kuna jamaa yangu ni mwanasheria ana deal na kesi kama hizo. Njoo inbox nikupe namba umfungulie mashtaka. Anakuhujumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simple. Mwambie msichange ila mnunue kwa zamu. Aanze yeye anunue wa elfu thelathini, ukiisha ndo wewe ununue. Case closed wisely
Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi!Tatizo yeye ananilaumu eti TV yangu ndiyo inatumia umeme mwingi kitu ambacho sikumtegemea kuwa mjinga hivyo kwa sababu ni injinia kitaaluma
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda mwingine tuache utani tumshauri mtu mambo ya msingi na sio kumpotosha, haya mambo ya umeme yanategemea na tarriff mtu aliyopo.

ᵃʳᵉᵉᵐ
Kwa mfano ukilipa sh.10000/-unapewa units 28,sasa hiyo ni tarrif ipi?
 
Huwa napata Unit 8 kwa shilingi 1000/- tu , na shilingi 500 wananipa Unit 4
 
Pambana umtafune, trust me, hata shilingi mia ya umeme hautatoa.

Usije sahau kunishukuru hata vocha ya buku kwa namba 0767212018. Jina Ayubu Kapangwa. Kwa kukupa ushauri mzuri.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom