- Thread starter
- #1,621
Uzi wa Arsis ni huu mmoja tu. hana mwingine. Upitie kuusoma utaona ni nani. Kama wapo waliolisoma hilo watatujulisha. Ni mtata sana.Sawa kaka.. Samahani Arsis ni nani? Sijasoma threads zote..
Simba.
Uzi wa Arsis ni huu mmoja tu. hana mwingine. Upitie kuusoma utaona ni nani. Kama wapo waliolisoma hilo watatujulisha. Ni mtata sana.Sawa kaka.. Samahani Arsis ni nani? Sijasoma threads zote..
Kama umesoma Biblia.. Adam ameumbwa na Mungu na Yesu amepatikana kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.. Nina kushauri kama bado hujasoma anza kusoma Mwanzo 1,2,3 ndio ina mzungumzia Adam.. Na Injili ya Mathayo, na Luka utapata habari za kuzaliwa kwake YesuAnaposema Yesu na Adam wana baba ana maanisha baba halisi wa kimwili au baba wa kiroho?
Pia muulize je, anaamini katika kitabu cha biblia?
Uzi wa Arsis ni huu mmoja tu. hana mwingine. Upitie kuusoma utaona ni nani. Kama wapo waliolisoma hilo watatujulisha. Ni mtata sana.
Simba.
Kwanini visivyo na mwili vinataka mwili ili viweze kufanya kazi katika uso wa Dunia ?
Amelijibu hilo juu huko, anasema lipo. Lkini anataka watu walifanyie kazi walipate wenyewe. Sio jukumu lake kutaja jina ambalo sio lake. Isipokua ameanzaq kuonesha fomula ya kulipata.Muulize Arsis kuhusu ismullah liadwam
Tupo kwa ajili alietuumba kataka iwe hivyo. Tufate anachokiamrisha na tuache anachotukataza.Sababu hasa ya uwepo wa binadamu duniani ni nini?
Pia sababu ya kuwepo viumbe wengine wasio onekana km majini na Arsis duniani ni nini?
Kwanini viumbe wasioonekana hawawezi kuwa dhahiri kwa binadamu wanaogopa nini?
Hilo nimeahi kumuuliza zamani akanijibu hivi;Anaposema Yesu na Adam wana baba ana maanisha baba halisi wa kimwili au baba wa kiroho?
Pia muulize je, anaamini katika kitabu cha biblia?
Arsis; Vipo lakini sivijui vya mwenyezi Munguvilipo. Mbona hata duniani kuna moto unapikia kila siku? Na pepo (gardens) zipo kila aina.Kuna pepo na moto upo?
Ooh umeupata wapi?
Nawaona viumbe wanneHio siwezi kuweka ni ndefu na ina picha pich za watu sitaki kuisambaza bila idhini yao.
Kama hujaelewa ni wapi, umeeaelewa hao viumbe? Unawaona wangapi?
Simba.
Nilihisi ni ocean road ila kilichonichanganya ni uwepo wa hilo vumbi/udongoSio makaburini. Hicho ni kituo chamgu cha kukutana na Srsis kulikua kuna majengo mapya yanajengwa na ya zamani yanabomolewa, lakini hio sehemu ya hio miti hawajaigusa kabisa katika ujenzi wao. Kwanini d-sifahamu.
Huyo sio Jini bakora lakini ni jini ambae Arsis alisema :ni jemedari wa vita unayoenda kupigana Unguja".
Kisa cha Unguja kitakua kifupi lakini kitamu.
Simba.
Unaanza kujaa taratibu ww si ulisemaaa 🤐 ngoja ninyamaze maana ukawii kutokwa na maneno😀😀😀😀Umenitamanisha sana, nambie lini "msimu" lini? Nihamie huko Duga mapangoni kwa siku za msimu.
Kuna kisa kimoja Cha kweli kabisa naomba Arsis anipe ufafanuzi na Tiba:Arsis; Hata wewe unahitaji mwili. Wewe sio huo mwili wako.
Simba
Kwakweli kwa hili hata mimi nimewashangaa ndgu zangu katika imani..Kua makini unaelekea kukufuru, kama hujui uliza wajuaji kamwe usitumie 'binafsi naamini' kwenye mambo ya ghaib.. btw uko interested na unknown figure naona watu wametekwa na simple social experiment! hakuna dhambi kubwa kuliko shirki kwa muislam! Duh mmefikia hatua mnamuambia jamaa awaulizie kwa hlo dubuwana lake SMH
Iko wazi ata Quran inasema yesu hana baba, this dude promotes blasphemy yall.. kama mtume uswatul hasan hajawah kua na jini au ku promote kutafuta majibu kwa kiumbe chochote mnatekwaje kindezi hvo na huyu janjajanja?
Tufanye toba, Allahu A'aalam
Nasubiri na mimi ujumbe wanguMbona tayari nimeanza kuwapa watu uju,be wa Arsis. Hua sichelewi akinipa ujumbe.
Simba
Nakumbuka alisema ni mtajie idadi ya sura zinazoanza na Alif Laam Miim nimejibu ni sura 8 akasema tutaenda taratibu sasa ndio nauliza nini kingine alisema atatoa code, Code ya kwanza tayari Code inayofuata ni ipi?Amelijibu hilo juu huko, anasema lipo. Lkini anataka watu walifanyie kazi walipate wenyewe. Sio jukumu lake kutaja jina ambalo sio lake. Isipokua ameanzaq kuonesha fomula ya kulipata.
Arsis ni mtata, anasema elimu haiji bila kuifanyia bidii. Yeye anatoa njia tu, mwenye kutupa elimu ni muumba wetu.
Simba.
Nimevisoma mkuu na kuvielewa vyema, ninachotaka kufahamu hapa ni kuhusu mtazamo wa arsis kama aniamini biblia au lah! Maana bado hajajipambanua yeye ni nani ila kupitia majibu yake nitaweza kuchakata na kumpambanua.Kama umesoma Biblia.. Adam ameumbwa na Mungu na Yesu amepatikana kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.. Nina kushauri kama bado hujasoma anza kusoma Mwanzo 1,2,3 ndio ina mzungumzia Adam.. Na Injili ya Mathayo, na Luka utapata habari za kuzaliwa kwake Yesu