Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

HAKUNA 'DINI' WALA UHITAJI WA 'DINI MPYA'....

Dini ni katalisti/Kichochezi/Kiuhuishisaji cha 'Mfumo/Mifumo'... Kwa mfano, ilikuwepo na 'fanusi jamii--functional society', ni lazima mazingira yawepo kwa ajili ya 'Kuijumuisha Jamii--integrative factor/basis'--mambo kama vile sheria, miongozo, maono n.k

Dini ni 'Shughuli' ya kuijumuisha Jamii ili 'ijiweze ama/na kujimudu' mapito ya matamanio yake ya Kiutu...

SASA, jamii inaweza kujumuishwa kwa 'ladha mbalimbali' za Utu na Kujichagulia--'sura' ama/na 'utukufu' mbalimbali; lakini 'Ukweli' wa 'Uzima/Sifa/Hali/Mwenendo' wa jamii huwa na 'Mbegu yake Mahsusi'--mbegu mahsusi ya 'Utabia wa Kishirika--organizational behaviour' wa wanajamii wowote.

Dini ni 'Shughuli' ya kuratibu 'Utabia wa Kishirika' wa 'Fanusi Jamii' yoyote; kuhakikishia wanajamii mazingira rafiki ya kukuwa na kustawi kiutamaduni kama jamii moja.

Ni kwa mintarafu ya haya, Dini, daima huwa ni 'Udhamirifu wa Kujumuisha na kutangamanisha' yote ya watu/wanajamii--mambo ya 'MRABA' wa 'Wakati-Jamii-Machaguo ya Kitaasisi-Matukio'.

Hili ndilo linaweza kushangaza humu kwa nini 'kinara' wa Uzi huu 'hana nongwa' kuhusishwa na 'Dini Yoyote'--iwe tuseme Uhindu, Uislam, Ukristo n.k.

Hivi ni kwa kuwa, Siri ya Dini ipo kwenye 'Ufahamu'--mambo ya maandiko na mapelekeo ya tafsiri; ndiyo 'tatizo la kiufundi' la wanadamu na vipawa vya akili/kiakili.

Sasa, siyo kila mtu mwenye 'daraja' ni bingwa ama fundi wa 'maneno'... Hili linaweza kuwashangaza wengi kusikia hivi... Kwa hivyo kudhani 'kinara' wa huu uzi 'atamudu' maswali na udadisi kwa 'maajabu' ni 'shauri mushkeli'....

'Tatizo la Kiufundi' la wanadamu na vipawa vya akili/kiakili linatatuliwa kwa udhamirifu wa 'Maarifa' na 'Maarifu' kupitiliza 'mashauri ya kawaida' ya 'habari na kuhabarika'...

Kwa hivyo, ukisikia mtu anazungumza kuhusu 'code' ama 'password', kiufundi huyu anakumbushia 'umma kujiongeza': 'kujua-maarifa-maarifu' huja kwa 'alama za kiutambuzi' na 'wepesi wa kuifungua milango ya fahamu'; si kumendea 'stori stori za mambo ya maajabu'...

Hichi ndicho hata humu, kwenye huu uzi, bado kidogo ni 'mtihani', ila In Shaa Allah, Elimu na Ilimu tayari imeshajengewa msingi kwa hili jukwaa. Siku za mbele kidogo, mwishoni mwa mwaka huu ama kufika mwakani, humu watakuwepo wadau wengi ambao si 'wanadamu wa Duniani' ila watashiriki 'maarifa na funguo za mafahamu'--wapo kwenye 'maandalizi ya kidiplomasia'; jambo linalotaka sana humu kusisitiza 'mkao sahihi' wa kunufaika na mambo/shughuli kama hizi za makutano ya 'viumbe-wanadamu na viumbe-watu wengine wenye nasibu ya mawanda yenye kutofautiana mapana ya fahamu/ufahamu'.

Jambo linaweza kujenga mnufaiko na mambo/shughuli kama hizi za makutano ya 'viumbe-wanadamu na viumbe-watu wengine wenye nasibu ya mawanda yenye kutofautiana mapana ya fahamu/ufahamu' ni UONO NA UFIKIRIFU MIFUMO...

SASA, asili ya 'code' ama 'password' ni mambo ambayo humu wengi hawajajiandaa kumaizi kwa kuwa hapa Duniani kuna matatizo ya 'Kielimu' yanayofanya watu wawe na tabia 'kudaka hili na kutupa lile' eti kwa kuwa habari zake si za eneo la utaalam/usomi wa mtu--hili jambo ni kasumba, na ubovu wa kimaarifa; tena linaathiri moja kwa moja mawezekano ya 'Mageuzi ya Kijamii' na Uwezo wake kukumbatia 'Nuru ya Ufahamu'--ilivyo ni njia ya Wongofu...

Kwa hivyo, jambo moja la muhimu na tena la msingi kuwakumbusha watu wote, wale wanaodhani wanayoyakunufaika na 'wageni' ama 'wenyeji' wenye mapana zaidi ya fahamu na ufahamu, ni kufuta na kuondoa kasumba juu ya visomo-maarifa-ujuaji walivyonavyo.

Haifadii mtu kusema yeye 'si msomi'--hajasoma shule; ama 'hana elimu ya kutosha'; basi huyu akiona mwanajamii mwenzake anadadavua jambo kwa fasaha na mapana yeye kujiambia 'Hii michosho/Kuchoshana/Ndefu--nitasoma baadaye'... Kwa kuwa inawezekana hayo yanawekwa hivyo ili iwepo 'Subira'--siku akiwa tayari kuijaribu 'Elimu' basi akitulia na kudhamiria atanufaika moja kwa moja...

Haifadii mtu kusema yeye 'ni msomi'--amesoma na madigrii kama yote katika sheria, sanaa ama/na uhandisi; basi huyu akiona mwanajamii mwenzake anadadavua jambo kwa fasaha na mapana nje ya ugani wake wa kitaaluma basi ajiambia: ah huyu anaandika 'mambo yake sana'; ama hata mimi nimesoma sana--najua mengi; tusichoshane! Kwa kuwa 'usomi' na 'kujisikia' vinaweza kuwa kiburi na ujivuni. Kwa hivyo si ajabu kuona watu wengi wakishakuwa na 'elimu za vyeti' akili zao zikalala na vyeti vyao masandukuni ama zimetundikwa ukutani na vyeti--hawana maajabu! Si kwa maneno ama busara ya mapana ya mambo...

Uono na Ufikirifu Mifumo ni Elimu 2.0; hii inahusika kwa wote wenye 'kudhamiria kujua ilivyobora' na basi inawezekana kwa 'Msomi' na hata vile vile mtu 'Asiye Msomi' kwa dhana ya 'Madarasa'... Elimu 2.0 ni mwanzo wa 'Hekima'; na Hekima ni Uhuru...

Mambo ya 'Code' na 'Password' ni mambo ya Elimu 2.0 kujinasibu na Elimu 3.0; Ambavyo Elimu 3.0 ni ILIMU--ILIMU ilivyo ni metafizikia ya Elimu. Basi yawa, NENO ILIMU limeshatohorewa rasmi kuwa msamiati wa lugha ya Kiswahili kumaanisha 'UGANI WA MAARIFA NA MAARIFU' ya 'MIFUMO'--Mifumo ya UTU-MAISHA-UISHO.

Kwenye maarifa ya Elimu ya Jamii, 'sosholojia' ELIMU 3.0 ndiyo mambo yanayohusiana na 'Ualama Oanifu' wa 'Kawaida za Jamii'. Kwa mintarafu ya hivi, mifumo yote huja kutokana na 'Mwangaza wa Jamii', 'Kujichagulia' na 'Matendo'--Mambo yanafanya kwa mfano Elimu, Siasa na Mipango kuwa pembetatu ya Utaifa/Jamii/Dola...

Kwa nchi ya Tanzania kwa mfano, 'Code' na 'Password' ya Elimu na 2.0 na Elimu 3.0 huja kwa 'Mazingatio ya Kikatiba': Udhamirifu wa Taifa la watu wenye kusudi la kuijenga na kuilinda nchi-dola kwa misingi ya UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI. Ni adha ya jamii 'kujisahau' tu ama 'Kutojitambua' kusudi la utaifa na maisha yao... Haya manne ni 'Code' na 'Password' ya Nchi ya Watanzania...

Kwa hivyo kwa mtu wa Elimu 2.0 na Elimu 3.0 anaweza kuzibaini hizi 'codes' na 'Password' kirahisi kabisa; kwa mfano hivi vinne hukadirisha MRABA wa NISHANI ya UTU BORA. Kwenye Elimu na ILIMU ya mapokeo ya Ukristo UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI ni kode za Uzabibu 13--Ufahamu Kristu. Kwenye Elimu na ILIMU ya mapokeo ya Uislam UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI ni ufunguo wa Imani kwa 'Allah'--Katika majina 99 ya ALLAH, kuna haya ambayo huleta 'kumcha Mola' kwa baraka ya nusuru ya nchi-dola:, (1) AN NUR (Mwenyekuwa MWANGAZA), (2) AL JAAMI(Mwenye Kuwakusanya Waja Wema), (3) AL-'ADL (Mwenyekuwa na Uadilifu katika HAKI), na (4) AS SALAAM (Mwenyekuwa na Salama).

Sasa, ipo namna ya kutanuka haya yote kwa Elimu 2.0 na Elimu 3.0; In Shaa Allah, tuombe kheri haya tupate kuyafahamu kwa jicho jema na yatuingie moyoni na akilini...

Hmmm​
Nimeipenda hii
 
Inatokea post namba 1380

Vionjo vya Arsis 3 Kumwokoa Msukule 1 G.

Tulivyofika nyumbani uani pale wakaondolewa watu wote tukabaki sisi wenye shughuli na wale wanawake wachawi wawili na wale wanaume wachawi. Yule Mzee na vijana wawili wa kiume wakaambiwa wabaki, mama mtu na wengine wote wakaondolewa kwenda kwenye basi nje., Wakaambiw awtaitwa. Uani pale akaja Bakora na tenga, ndani lina majani, mizizi, mua maua hivi ya porini.

Babu; Simba nenda upande wa pili kuna dawa zilichemshwa ziletwa ndoo zote mbili, waambie hawa washenzi wazibebe hapo mlangoni waje nazo.
Simba waambie wakupe na mfuko niliwapa, uje nao hapa.

Nikaja na mfuko maji ndoo mbili zikaleta mlangoni wale wachawi wa kiume wakazita pale.

babu: haya wewe mwanamke na nyinyi mbwa mnajua cha kufanya sitaki mpate sinda japa kwangu na sitaki kusikia mtu anaguna au anasema chochote kama hajaulizwa. Wakaguna tu kukubali masharti ya babu.

Yule mama na mwanae wa kike wakamvua nguo tyule kijana babu akatoa viwmze akaviweka, aksema wanajua cha kufanya hawa wawacheni,

Jamaa wakaanza kumyoa nywwele zote, kipatra, ndevu mpaka nyewe za makwapani na chini huko kijana kumaliza kunyolea akaanza kuogeshewa na yale maji, ndoo ya kwanza ikaisha, ndoo ya pili ikaisha, boila sabuni kulikua na bakuli lina udongo babu akawapa, ile ndio ikawa sabuni kumaliza baabu akwaambiwa wale wanawake, maji hayo ya bombani mlete mumuogeshe, huyu anataka awe kama kabla hamjachukua. Mnajua cha kufanya. Wakawa wanleta maji wanamuogesha, kama mara saba hivi, Kumaliza Babu akachukua majani na mua yale aliokuja na yo Bakora, akmwabia yule mama tia haya kweny ndoo ya maji, yakatiwa akamwabia msugulie mwili mzima, na wewe mbwa, akamwabia yule bingti, Ile wanachukua yale majani na na muaa kutoka kwenye ndooi wamsugukie, wakaanza kulia, kama wanaungua, kusema wanashindwa, kuguna wanshinwa wanalia bila sauti huku wanakung'uta mikono yao. wakamsugua yule mtoto mpaka babu akasema basi leteni maji mengine, sitaki maji yapungua hapa.

Aapewa yule binti kama vijiti, akaambiwa kinywa cheke kiwe kisafi, unajua cha kufanya si umeelekezwa? Akajibu kwa kichwa huku anapiga magoti, akaanza kama kumpigisha mswaki wa miti, akmsugua. Ikafia time yule kijana akwa hataki yule mwanamke hata amsogelee babu akasema mwache akampa mwenye we mswaki, ytule kijana akaanza kujisugiua meno.

bau akacheka, akamwabia Ali kazi moja tumemaliza Sheikh Ali. Bado sasa kzi kubwa iliobali ya haw aambwa.

Akamwabia yule kijana, aliepoendeza, wewe neda sasa hibvi nakupa mtu ukamnunulie nguo huyu za kuvaa, wewe si unajua anapenda nguo zipi huu? Akaitikia kwa kichwa haya, harka, babu akamwita mwanae mmoja nae yeye kijana mtanshati kabisa. Akamwabia fatana nae huyu mpeleke madukani mkamnunue nguo, sitaki ngo za kutumika ziwe mpoya tena ziwe nzuri kabisa, a ghali

Hule kijana akacheka akasema kila moja ya huyu na yangu moja Mzee. babu akmwabia yule kijana umesikia kasemaje, yulle akaitika, babu akmwabia haya sasa ingea nae huyu atakupeleka, fanyeni haraka. Walipoondoka.
Babu Akasema haya nyie mbwa ondokeni mkasubiri kwenye basi, kazi yenu haijaisha. Wakatoka mtu na mamake.

babu akanambia sasa mpeke bafu akoge mwenyewe na sabuni na kila kitu, mwache mwenyewe, mpeleke huku, asiende huko kwa mamake.

Nikamchukua upande wa babu yuko tupu kabisa nikamuonesha bafu akawa na tabasamu. I don't know anything about it.

Mzee ALI posted a caption.
Mzee Ali: We don't know who we are, we don't know who we are, we don't know who we are, we don't know who we are, we don't know who we are.
Mzee; Mabo haaya ningekua mtotomdogo ninegesema naota.
Mzee Ali: Mimi mpaka sasa siamini kinacoendelea. Simba nini kinaendelea?
Mimi: Where are we from?
Mzee; Hawa mbwa kuanzia leo sina ukoo nao kabisa.
Mimi: What's wrong with babu kawawacha what's wrong with you?
Mzee: hatujuwi.
Mimi; Waulizeni wenyewe watawaambia, mimi sitaki kutia langu. kazi haiajaisha hii, alkini pale tulipopataka tumefikia, sema kiuna kazi za kusafisha zinahitajika.

Tumekaa pale. Mara yule kijana akgonga mlangi wa bafu kwa ndani maana mimi niliufunga kwa nje.
Mimi; Mzee mwanao anagonga mfungulie umsikilize.

Mzee kufungua, kijana akawa anaona haya kutoka, Mzee akasema subiri nakuja.
Mzee: Hawaii is not the same.

Mimi; Mwabie babu.

mzee akasema, babu kasema subirini kidogo anakuja mwenyewe.

Babu akaja, akaingia kwake akatoka na kikoi na taulo, mpya kabisa, hazijatumika, Akawaambia haya, hii taulo ajifutie hiki kikoi avae, aje tukae na e hapa. Kishapona huyo bado mazonge mzonge tu, kuongea atapata shida kidogo lakini ndani ya siku saba atapona kabisa huyo. I am happy to hear from you that I have lost my heart, I won't be able to do anything with my heart.

Mzee: What do you want?
Babu: When I am in love with you, I will be happy to help you with what you have, Msijali mtayajua yotem mimi nataka leo waseme wenyewe yote. Wataiungama kila kitu wale leo. haondiki mtu hapa.
Mzee: kazi ilituleta Tanga ndio hii, mimi nipo tayari kukaa hata mwzi hapa, sina haraka, Nitafutieni mke tu Tanga.
Babu: MNke wa Tanga utakjua huondoki kabisa wewe.

Tukasheka, mara yule kijana akatoka, kama mzima vile anatabasamu lakini haongei, akaa chini, Bakra akamwabia babu, ile dawa yake nimekuja nayo, hii hapa. Babu akipookea majani fulani hivi, akmwabia kula hii, akala, akamwabia umeuona rafiki yako si mnajuana? Huku anamuonesha Bakora.

Kijana; Akatingisha kichwa kuashiria anamjua.

Bakora: Rafiki yangu huyu, tuko nae Binju huko leo wiki nalisha madwa tu.
Mzee: Sheikh we we hatujawahi kuonana, mbona kama nakufahamu?
Bakora: Unaifahamu bwana, jana si tukia wote Mkonge pale, tukaongea sana, umesahau?
Mzee. Ndio ndio. Nguo ulizovaa jana na hizi za leo umebadilika.
Bakutra: Sasa hoteli kama ile kanzu zetu hizi haziedani napo kabisa.
mzee: kwanini bwana. Mbi)na warabu na kanzu kote bwana.
Babu akawa anampoa majani anakula, kabla ya kumpa lakini anayosomea. Htujakaa sana wakarudi na nguo, yule kijana hakuruhusiwa kuingia huku akaja y)ntoto wa babu tu na kibegi cha mkoni.

Hizi hapa nguo, Babu haa mpe mwenzako nenda nae ndani kwako akavae. Mpambe bwana wamasahau.

Itaendelea.
Endelea na episode Simba , shusha vitu maana kuna watu walishaanza sema story imeishia njiani haya anzeni kutembeza tag leo ni mwendo wa episode tuu.
Arsis Nourhan
 
Mkuu Arsis naomba unieleweshe kitu hiki

Koo za simba ni koo za namna gani? Unajiita pia simba na bila shaka utakuwa unatokea kwenye koo hizo.

Au ndo masuala ya nyota, huwa mna nyota ya simba?
 
Kweli tupo tunafuatilia kwa makini lakini kwa tahadhari pia tunashangazwa na usahihi katika mambo ambayo tunajua wanadamu wengi hawajui yanasemwa hapa.
Huyo ni mujahirina mfia Dini.
We mchekee chekee tu.
 
Kwa upande mmoja nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani lakini upande wa pili, naamini binadam ni hatari zaidi ya hao viumbe wasioonekana. Kwa sababu ushetani upo kwa binadam na majini na shetani wa kibinadam ni hatari zaidi kuliko wa kijini.
Kwa kusema shetani wa kibinadamu unamaanisha nini haswa manake naelewa kiupana jambo hili ila nataka kujua wewe unaelewaje jambo hili.
 
Nina swali kwa Arsis... Hivi nabii Ibrahim ambaye ni baba wa imani, na rafiki wa Allah .. ibada zake alizifanya kwa namna ipi?
Sababu kipindi hicho taurat, Injili, Zaburi na Qur'an havikuwepo bado🤔

Sisi namna ya kuswali na kuongea na Mungu tumefunzwa na hivyo vitabu.... Sasa huyu mwenzetu baba wa kiroho yeye ibada zake zilikuwaje?

Alikuwa anaswali swali vipi?
(Umenishughulisha Sana uliposema wewe dini zote upo, tafsiri yake upo hapo alipokuwa ibrahim (maana yeye pia hakuwa na upande🤝)

Au Kuna namna ya kuwa connect na Mungu moja kwa moja kama Ibrahim bila kutumia hivi vitabu vyetu??
Nahisi Kuna kitu kimefichwa hapa kuhusu hili
 
Asante mkuu, Kuna comment ulisema kama kuna mambo ya kiroho huyajui wachawi watakusumbua unaweza kutoa mfano wa mambo ambayo tunatakiwa kuyajua na kuyafanya ili kuishinda hii falme ya giza?
Moja kati ya mambo hayo ni kutojiweka chini ya mamlaka yao kwa kuwa na uelewa sahihi wa mambo ya kiroho.

Chunga sana unachowaza na kukiri.

Pigania sana kuwa na maarifa kubwa ya kiroho.

Usijitengenezee sheria au kuji subscribe kwenye mfumo utakaorengeneza sheria inayorugusu wachawi na maagenti wengine wa giza kupata uhalali wa kukudhuru.

Jifungamanishe na mamlaka ilivyo juu ya ile ya wachawi. Usipokuwa boss wa wachawi watakuonea siku zote.
 
Sasa kuhusu hizi habar za dhambi za kurithi,,katika uislamu hakuna hizi porojo

Kwahiyo sina cha kukomenti hapa

Labda kidogo nitie neno hapa,je baada ya kusulubiwa Yesu kwa imani yenu,je dhambi zimekoma au hazifanywi tena?

Ukristo ni changamoto sana
Kwani dhambi zinafanyika kwasababu gani.. Ukristo haujawahi kuwa changamoto, changamoto inakuja inapofanyika dini..

Ukristo sio dini ni maisha halisi Mungu anataka tumuabudu katika roho na kweli.. inawezekanaje basi wakati tungali wenye dhambi na dhambi inatutenganisha na Mungu?

Kila mtu amepokea hili ondoleo la dhambi.. je kila mtu ameamini? Maana ni muhimu kuamini kilichofanyika kwaajili yako la sivyo utaishi chini ya sheria ya dhambi mpaka kufa..

Mungu anajua kwa mwili wetu huu ni ngumu kutimiza kila kitu anachotaka.. ametusaidia ametupa roho yake kufanya mapenzi yake bila kutumia sheria yaaani unajikuta tu hupendi sigara au pombe kale kaladha hakapo/kanapotea..

Na ni process lazima uamini Yesu kristo alichukua dhambi za watu wote kwa mauti yake msalabani.. akazikwa na siku ya tatu akafufuka.. kufufuka kwake ndio ushindi wetu wa dhambi ulipo..

Ukiamini hilo kinatokea kitu kuzaliwa mara ya pili.. kiumbe kipya kiumbe ambacho hakibebi hii asili ya dhambi.. kiumbe ambacho 100% kinabeba asili ya kiungu exactly kama abavyo Mungu hatendi dhambi ndivyo huyu kiumbe ambaye amemuani kristo anakuwa hatendi dhambi tunabeba asili yake..

Warumi 5:8.,9.,10.,12.
8. Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali wenye dhambi.

9. Basi zaidi sana tukiisha kuhesabiwa haki katika damu yake, tutaokolewa na ghadhabu kwa yeye.

10. Kwa maana ikiwa tulipokuwa adui tulipatanishwa na Mungu kwa mauti ya Mwana wake; zaidi sana baada ya kupatanishwa tutaokolewa katika uzima wake.

12. Kwa hiyo, kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti; na hivyo mauti ikawafikia watu wote kwa sababu wote wamefanya dhambi;

Kuhusu kuzaliwa mara ya pili

2 Wakorintho 5:14.,15.,17.,18.,19.,21.
14. Maana, upendo wa Kristo watubidisha; maana tumehukumu hivi, ya kwamba mmoja alikufa kwa ajili ya wote, basi walikufa wote;

15. tena alikufa kwa ajili ya wote, ili walio hai wasiwe hai tena kwa ajili ya nafsi zao wenyewe, bali kwa ajili yake yeye aliyekufa akafufuka kwa ajili yao.

17. Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.

18. Lakini vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo, naye alitupa huduma ya upatanisho;

19. yaani, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho.

21. Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu katika Yeye.
 
Kumbe Mungu anakufa?
. Kizungumkuti.
Ndio alizaliwa, ndio alikufa, tenakwa dhambi ambazo sisi tumezitenda na sio za kale tu hata za miaka yote, na akafufuka siku ya tatu, amepaa hivi tunavyozungumza yupo zake mbinguni. kiufupi tatizo la dhambi amelisha litatua miaka buku mbili iliyopita..

2Wakorintho 5:18.,19.,21.

Sijajua kwanini ni kichekesho Mungu kufa kwaajili ya watu wake.. kwamba Mungu kuna vitu anaweza kufanya na kuna vitu hawezi kufanya.. kwamba uwezo wa Mungu upo so limited.. au kwamba Mungu anataka watu wapote tu
 
Hapa tunapata mastory ya arsis na maarifa mengine pia

Naamini kabisa wote humu iwe mabudda,wakristo,wasabai,waislamu na kadhalika tunaamini kwamba aliyekamilika kwa sifa zote njema ni Allah (Mwenyezi Mungu) tu

Sasa hii ni ngumu kumeza lakini ndio ukweli inabidi muupokee tu,yan ukisikia ukikaa nchale,ukisimama nchale ndo hii sasa

Siku ya hukumu watu watamfuata baba yetu Adam atuombee msamaha mbele ya Allah,,lkn Adam atakataa kwasababu akikumbuka dhambi aliyoifanya kule peponi roho inamsuta ingawa alisha samehewa

Atawaambia watu wamfuate nabii Ibrahim,naye ibrahim akikumbuka kwamba alisema uongo juu ya mkewe naye ataona haya,iko hivi nabii Ibrahim alipoenda misri alikutana na mfalme ambaye anapenda wanawake wazuri,so kama nabii Ibrahim angesema Sara ni.mkewe basi Ibrahim angeuwawa, huvyo ibrahim akasema yule ni dada yake, kwahiyo yule mfalme akamchukua mke wa Ibrahim,huyo room lkn kwa muujiza wa Allah yule mfalme hakufanikiwa adhma yake,so ibrahim akikumbuka uongo huu dah anaona haya kwa Allah,atawaambia nendeni kwa nabii Mussa

Nae nabii Mussa akikumbuka majanga yake ya kumuua mtu,akili haimpi kabisa kwenda mbele ya Allah,so atawaambia watu nendeni kwa Yesu

Yesu nae baada ya kugundua kuwa wafuasi wake wamemwita yeye mungu na kumuabudu badala ya Allah,atahisi aibu sana ingawa sio lake,katika qur'an kuna aya inasema Yesu atamwambia Allah ,hakika ulishuhudia nilipo kuwa nao mpaka nakuja kwako niliwalingania juu ya kukuabudu wewe Mungu mmoja,ila hao ni watu wako,ukiamua utawaadhibu au utawasamehe.

Hapo Yesu sasa kwakuwa watu wake walimfanya yeye Mungu ataona haya kwenda mbele ya Allah na kuwaombea watu msamaha,hapo atawaambia watu waende kwa mtume Muhammad (s.a.w),hapo kwa idhini ya mola wake,atawaombea watu msamaha,kwahiyo watasamehewa wale walio na itikadi ya kumwamini Mungu mmoja,na wengine katika hao watakaa motoni kwa mda fulani kisha watatoka kutokana na madhambi yao,wale makafiri na washirikina ni motoni milele

Allah atujalie mwisho.mwema, amiin
 
Kwani dhambi zinafanyika kwasababu gani.. Ukristo haujawahi kuwa changamoto, changamoto inakuja inapofanyika dini..

Ukristo sio dini ni maisha halisi Mungu anataka tumuabudu katika roho na kweli.. inawezekanaje basi wakati tungali wenye dhambi na dhambi inatutenganisha na Mungu?

Kila mtu amepokea hili ondoleo la dhambi.. je kila mtu ameamini? Maana ni muhimu kuamini kilichofanyika kwaajili yako la sivyo utaishi chini ya sheria ya dhambi mpaka kufa..

Mungu anajua kwa mwili wetu huu ni ngumu kutimiza kila kitu anachotaka.. ametusaidia ametupa roho yake kufanya mapenzi yake bila kutumia sheria yaaani unajikuta tu hupendi sigara au pombe kale kaladha hakapo/kanapotea..

Na ni process lazima uamini Yesu kristo alichukua dhambi za watu wote kwa mauti yake msalabani.. akazikwa na siku ya tatu akafufuka.. kufufuka kwake ndio ushindi wetu wa dhambi ulipo..

Ukiamini hilo kinatokea kitu kuzaliwa mara ya pili.. kiumbe kipya kiumbe ambacho hakibebi hii asili ya dhambi.. kiumbe ambacho 100% kinabeba asili ya kiungu exactly kama abavyo Mungu hatendi dhambi ndivyo huyu kiumbe ambaye amemuani kristo anakuwa hatendi dhambi tunabeba asili yake..

Warumi 5:8.,9.,10.,12.
8. Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali wenye dhambi.

9. Basi zaidi sana tukiisha kuhesabiwa haki katika damu yake, tutaokolewa na ghadhabu kwa yeye.

10. Kwa maana ikiwa tulipokuwa adui tulipatanishwa na Mungu kwa mauti ya Mwana wake; zaidi sana baada ya kupatanishwa tutaokolewa katika uzima wake.

12. Kwa hiyo, kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti; na hivyo mauti ikawafikia watu wote kwa sababu wote wamefanya dhambi;

Kuhusu kuzaliwa mara ya pili

2 Wakorintho 5:14.,15.,17.,18.,19.,21.
14. Maana, upendo wa Kristo watubidisha; maana tumehukumu hivi, ya kwamba mmoja alikufa kwa ajili ya wote, basi walikufa wote;

15. tena alikufa kwa ajili ya wote, ili walio hai wasiwe hai tena kwa ajili ya nafsi zao wenyewe, bali kwa ajili yake yeye aliyekufa akafufuka kwa ajili yao.

17. Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.

18. Lakini vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo, naye alitupa huduma ya upatanisho;

19. yaani, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho.

21. Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu katika Yeye.
Naomba nikuache tu boss

Asante
 
Hapa tunapata mastory ya arsis na maarifa mengine pia

Naamini kabisa wote humu iwe mabudda,wakristo,wasabai,waislamu na kadhalika tunaamini kwamba aliyekamilika kwa sifa zote njema ni Allah (Mwenyezi Mungu) tu

Sasa hii ni ngumu kumeza lakini ndio ukweli inabidi muupokee tu,yan ukisikia ukikaa nchale,ukisimama nchale ndo hii sasa

Siku ya hukumu watu watamfuata baba yetu Adam atuombee msamaha mbele ya Allah,,lkn Adam atakataa kwasababu akikumbuka dhambi aliyoifanya kule peponi roho inamsuta ingawa alisha samehewa

Atawaambia watu wamfuate nabii Ibrahim,naye ibrahim akikumbuka kwamba alisema uongo juu ya mkewe naye ataona haya,iko hivi nabii Ibrahim alipoenda misri alikutana na mfalme ambaye anapenda wanawake wazuri,so kama nabii Ibrahim angesema Sara ni.mkewe basi Ibrahim angeuwawa,kwahiyo yule mfalme akamchukua mke wa Ibrahim,huyo room lkn kwa muujiza wa Allah yule mfalme hakufanikiwa adhma yake,so ibrahim akikumbuka uongo huu dah anaona haya kwa Allah,atawaambia nendeni kwa nabii Mussa

Nae nabii Mussa akikumbuka majanga yake ya kumuua mtu,akili haimpi kabisa kwenda mbele ya Allah,so atawaambia watu nendeni kwa Yesu

Yesu nae baada ya kugundua kuwa wafuasi wake wamemwita yeye mungu na kumuabudu badala ya Allah,atahisi aibu sana ingawa sio lake,katika qur'an kuna aya inasema Yesu atamwambia Allah ,hakika ulishuhudia nilipo kuwa nao mpaka nakuja kwako niliwalingania juu ya kukuabudu wewe Mungu mmoja,ila hao ni watu wako,ukiamua utawaadhibu au utawasamehe.

Hapo Yesu sasa kwakuwa watu wake walimfanya yeye Mungu ataona haya kwenda mbele ya Allah na kuwaombea watu msamaha,hapo atawaambia watu waende kwa mtume Muhammad (s.a.w),hapo kwa idhini ya mola wake,atawaombea watu msamaha,kwahiyo watasamehewa wale walio na itikadi ya kumwamini Mungu mmoja,na wengine katika hao watakaa motoni kwa mda fulani kisha watatoka kutokana na madhambi yao,wale makafiri na washirikina ni motoni milele

Allah atujalie mwisho.mwema,
Hahah brother hebu kwa imani yako uliyo nayo muombe Mungu akuonyeshe kweli ni ipi achana na ile ambayo umezaliwa ukaikuta. Yesu ni njia kweli na uzima.. Yeye ndio tiketi ya mbinguni..

Luka 23:39.,40.,41.,42.,43.
39. Na mmoja wa wale wahalifu waliotungikwa alimtukana, akisema, Je! Wewe si Kristo? Jiokoe nafsi yako na sisi. 40. Lakini yule wa pili akamjibu akamkemea, akisema, Wewe humwogopi hata Mungu, nawe u katika hukumu iyo hiyo? 41. Nayo ni haki kwetu sisi, kwa kuwa tunapokea malipo tuliyostahili kwa matendo yetu; bali huyu hakutenda lo lote lisilofaa. 42. Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako. 43. Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.

Naelewa ase kwa akili zetu kuamini Yesu ni Mungu ni ngumu. Ni ngumu kuamini lwamba tunaweza tukaishi pasipo kutawaliwa na magonjwa wala dhambi. Ni ngumu

Lakini ugumu zaidi ni kuamini.. kuamini.. kuamini.. kuamini.. kuamini yote niliyofundishwa yalikuwa sio sahihi na kwamba nimeokolewa katika dhambi.. Ase ni neema, binafsi imenichukua miaka kuja kulifahamu hili

Lakini ndio ukweli.. kama watu wateenda motoni ni kwasababu walishindwa kumuamini kristo na kuipenda dunia lakini sio kwasababu ya dhambi

Na utaona mtazamo wa Mungu ulivyo tofauti na sisi tunavyo mchukulia..
 
Ndio alizaliwa, ndio alikufa, tenakwa dhambi ambazo sisi tumezitenda na sio za kale tu hata za miaka yote, na akafufuka siku ya tatu, amepaa hivi tunavyozungumza yupo zake mbinguni. kiufupi tatizo la dhambi amelisha litatua miaka buku mbili iliyopita..

2Wakorintho 5:18.,19.,21.
18. Lakini vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo, naye alitupa huduma ya upatanisho;

19. yaani, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho.

21. Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kuwa haki ya Mungu katika Yeye.

Sijajua kwanini ni kichekesho Mungu kufa kwaajili ya watu wake.. kwamba Mungu kuna vitu anaweza kufanya na kuna vitu hawezi kufanya.. kwamba uwezo wa Mungu upo so limited.. au kwamba Mungu anataka watu wapote tu
Kichekesho kwasababu Mungu ndio muweza juu ya kila kitu,akisema jambo.liwe linakuwa,hata kuumba mbingu na ardhi ni kwa matamshi yake tu

Sasa iweje leo huyu muumba ili awasamehe watu basi aje asulubiwe na viumbe wale,je utakatifu wa mungu uko wapi? Ukuu wake uko wapi?

Imani ya kweli ni ile ambayo inaafikiana na akili na upeo wa mwanadamu,lkn sio hizi porojo ambazo mnatuletea hapa

Kuna mistari ya Yohana nilileta hapa,Yesu au mungu kwa imani yenu hakuaminiwa juu ya dhambi na hukumu na haki,ikabidi huyo aondoke,ili aje msaidizi wake asaidie kufafanua au kuelezea habar hizo, kumbuka kama Yesu ni mungu,basi Mungu aliihitaji msaada kwa mtu mwingine

Yaan nakwambia ukristo hauishi porojo

Asante
 
Hahah brother hebu kwa imani yako uliyo nayo muombe Mungu akuonyeshe kweli ni ipi achana na ile ambayo umezaliwa ukaikuta. Yesu ni njia kweli na uzima.. Yeye ndio tiketi ya mbinguni..

Luka 23:39.,40.,41.,42.,43.
39. Na mmoja wa wale wahalifu waliotungikwa alimtukana, akisema, Je! Wewe si Kristo? Jiokoe nafsi yako na sisi. 40. Lakini yule wa pili akamjibu akamkemea, akisema, Wewe humwogopi hata Mungu, nawe u katika hukumu iyo hiyo? 41. Nayo ni haki kwetu sisi, kwa kuwa tunapokea malipo tuliyostahili kwa matendo yetu; bali huyu hakutenda lo lote lisilofaa. 42. Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako. 43. Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.

Naelewa ase kwa akili zetu kuamini Yesu ni Mungu ni ngumu. Ni ngumu kuamini lwamba tunaweza tukaishi pasipo kutawaliwa na magonjwa wala dhambi. Ni ngumu

Lakini ugumu zaidi ni kuamini.. kuamini.. kuamini.. kuamini.. kuamini yote niliyofundishwa yalikuwa sio sahihi na kwamba nimeokolewa katika dhambi.. Ase ni neema, binafsi imenichukua miaka kuja kulifahamu hili

Lakini ndio ukweli.. kama watu wateenda motoni ni kwasababu walishindwa kumuamini kristo na kuipenda dunia lakini sio kwasababu ya dhambi

Na utaona mtazamo wa Mungu ulivyo tofauti na sisi tunavyo mchukulia..
Naomba nikuache kwa mara nyingine tena boss

Asante
 
Kichekesho kwasababu Mungu ndio muweza juu ya kila kitu,akisema jambo.liwe linakuwa,hata kuumba mbingu na ardhi ni kwa matamshi yake tu

Sasa iweje leo huyu muumba ili awasamehe watu basi aje asulubiwe na viumbe wale,je utakatifu wa mungu uko wapi? Ukuu wake uko wapi?

Imani ya kweli ni ile ambayo inaafikiana na akili na upeo wa mwanadamu,lkn sio hizi porojo ambazo mnatuletea hapa

Kuna mistari ya Yohana nilileta hapa,Yesu au mungu kwa imani yenu hakuaminiwa juu ya dhambi na hukumu na haki,ikabidi huyo aondoke,ili aje msaidizi wake asaidie kufafanua au kuelezea habar hizo, kumbuka kama Yesu ni mungu,basi Mungu aliihitaji msaada kwa mtu mwingine

Yaan nakwambia ukristo hauishi porojo

Asante
Hahah sawa bhana..

Mwanzo 1:26.
26. Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

Mungu hakuumba ulimwengu ili yeye atawale.. aliuumba ulimwengu akatuumba binadamu ili tuutawale ulimwengu..

Hatukuweza kuutawala mpaka mwisho tulimpa mamlka yetu shetani ya kuutawala ulimwengu kupitia Adam.. imeenda kizazi mpaka kizazi..

Manabii walikuwepo kila mmoja akitabiri atakuja masihi.. Huyu masihi ni nani na anakuja kwa kazi gani ambao hawa manabii wengi hawakuweza kufanya.. maana kama maelekezo si walikuwa wanapokea kutoka kwa Mungu sasa kwanini aje masihi?

Toka juu nimesema Mungu alituumba tuwe wake lakini tutawale eneo letu ambalo ndio hii dunia..

Na Mungu ni roho ili utawale dunia yetu unahitaji nini vile? Mwili ili usurvive ili ufanye kitu kuwa kitu inabidi uwe na mwili achana na mapepo na majini..

Kwahiyo toka adam aliposea mpaka vizazi vyetu tumebeba asili ya adamu.. Inamaana sote si tumetoka kwa adam.. kwahiyo mtindo ni ule ule kama alivyokesea adam na sisi hivyo hivyo tunakosea kwasababu tu wa asili yake..

Ndio maana tunasema na ndivyo ilivyo.. Mungu aliuvaa ubinadamu ili kutuokoa na dhambii

Mungu alivaa asili ya mwili ili kuondoa tatizo la dhambi.. Angeweza kuamua kama unavyosema tu lakini angekuwa ametengua neno lake mwenyewe la sisi kutawala ulimwengu..

Tutazame basi kuzaliwa kwake huyo masihi.. kwanini kuwe tofauti na manabii wengine..

Kwanini azaliwe bila baba? Inamaana kuna kitu anakuja kufanya.. maana kusema kuzaliwa bila baba inamaana asili ile ya adam haifanyi kazi wala haipo ndani yake.. basi sasa huyu anakuwa na asili ya nani?
 
Kichekesho kwasababu Mungu ndio muweza juu ya kila kitu,akisema jambo.liwe linakuwa,hata kuumba mbingu na ardhi ni kwa matamshi yake tu

Sasa iweje leo huyu muumba ili awasamehe watu basi aje asulubiwe na viumbe wale,je utakatifu wa mungu uko wapi? Ukuu wake uko wapi?

Imani ya kweli ni ile ambayo inaafikiana na akili na upeo wa mwanadamu,lkn sio hizi porojo ambazo mnatuletea hapa

Kuna mistari ya Yohana nilileta hapa,Yesu au mungu kwa imani yenu hakuaminiwa juu ya dhambi na hukumu na haki,ikabidi huyo aondoke,ili aje msaidizi wake asaidie kufafanua au kuelezea habar hizo, kumbuka kama Yesu ni mungu,basi Mungu aliihitaji msaada kwa mtu mwingine

Yaan nakwambia ukristo hauishi porojo

Asante
Hivi umesoma neno(biblia)kweli rafiki au hii ni ile ya kusikia tu. Maana katika biblia kuna kila jibu la swali lako.. Na hamna mkanganyiko kama watu wanavyosema
 
Ukiwa na boss wao Jesus Christ upo salama sana.
Baadae waungwana nikaoge nisali Dhuhr ila sijui kwanini toka ni some uzi huu kuna majinn wanitembelea ndotoni 😄Ila nikiamka sikumbuki nimeota nini au Arsis 😁

Navyojua majinn wa mbea haswa wanapo ongelewa na wanaupenda ubinadamu unaweza kukuta member wengine majinn na hapa wana comment wanachangia wanasoma uzi huu.
 
images
Mambo ya Pete
Ni kweli ama story tu?
Mngejua huyu ni nani katika ulimwengu wa roho!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom