Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Hahah sawa bhana..

Mwanzo 1:26.
26. Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

Mungu hakuumba ulimwengu ili yeye atawale.. aliuumba ulimwengu akatuumba binadamu ili tuutawale ulimwengu..

Hatukuweza kuutawala mpaka mwisho tulimpa mamlka yetu shetani ya kuutawala ulimwengu kupitia Adam.. imeenda kizazi mpaka kizazi..

Manabii walikuwepo kila mmoja akitabiri atakuja masihi.. Huyu masihi ni nani na anakuja kwa kazi gani ambao hawa manabii wengi hawakuweza kufanya.. maana kama maelekezo si walikuwa wanapokea kutoka kwa Mungu sasa kwanini aje masihi?

Toka juu nimesema Mungu alituumba tuwe wake lakini tutawale eneo letu ambalo ndio hii dunia..

Na Mungu ni roho ili utawale dunia yetu unahitaji nini vile? Mwili ili usurvive ili ufanye kitu kuwa kitu inabidi uwe na mwili achana na mapepo na majini..

Kwahiyo toka adam aliposea mpaka vizazi vyetu tumebeba asili ya adamu.. Inamaana sote si tumetoka kwa adam.. kwahiyo mtindo ni ule ule kama alivyokesea adam na sisi hivyo hivyo tunakosea kwasababu tu wa asili yake..

Ndio maana tunasema na ndivyo ilivyo.. Mungu aliuvaa ubinadamu ili kutuokoa na dhambii

Mungu alivaa asili ya mwili ili kuondoa tatizo la dhambi.. Angeweza kuamua kama unavyosema tu lakini angekuwa ametengua neno lake mwenyewe la sisi kutawala ulimwengu..

Tutazame basi kuzaliwa kwake huyo masihi.. kwanini kuwe tofauti na manabii wengine..

Kwanini azaliwe bila baba? Inamaana kuna kitu anakuja kufanya.. maana kusema kuzaliwa bila baba inamaana asili ile ya adam haifanyi kazi wala haipo ndani yake.. basi sasa huyu anakuwa na asili ya nani?
Mengine nakuachia mwenyewe ila nitajibu yale ambayo yanaingia akilini

Moja wapo ambalo linaingia akilini ni hili la Yesu kuzaliwa bila baba,na huu ni muujiza mahsusi kwa waja wa Allah ili waone uumbaji wake

Kwahiyo ni neno ambalo alipuuliziwa bikira maria na akabeba mimba yake hatimaye kuzaliwa kwa Yesu

Kabla sijaendelea mbele,porojo nyingine inakuja tena,kwanini Mungu au roho yake isijiingize moja moja kwa bi mariam na kuwa mimba,hapo unaona kwamba Malaika wanafanya kazi ya kuingiza roho ya mungu kwa bikira maria,je hii imekaaje? Ndio mwendelezo wa porojo zile zile

Any way,tuendelee,je huu ndio muujiza pekee ambao unawashangaza watu juu ya ukuu wa mungu?

Yesu kazaliwa na mwanamke si ndio? Vipi kuhusu Adam aliyeumbwa bila mama wala baba?

Boss tupo pamoja?
 
I am not Arsis Ila najibu Punyeto ni majini Ashki yakufanyisha 😁kwa kupiga Bakary Nondo Mwamnyetonyeto au kihisia 😁yaani unajikuta unapiga mshindo bila tendo lolote.

Tena mengine unapiga show na mkeo kumbe jinn yupo mwilini kwako hata hujui mnagonga wote mkeo mahari umetoa wewe 😁au mke an akiwa na jinn la kike lamuingia unagonga mke kumbe unagonga na jinn yaani 2 in one 😁na wapo wake wabeba mimba nusu mtoto binadamu nusu jinn😄

Ndo maana Muslim tuna dua una soma kabla ya kuingilia mke kujilimda na majini wanyemelea tendo la ndoa kizazi chako kisichanganyike na majinn.
Waislamu wapo karibu zaidi na majini kuliko watu wa imani nyingine.
 
Mengine nakuachia mwenyewe ila nitajibu yale ambayo yanaingia akilini

Moja wapo ambalo linaingia akilini ni hili la Yesu kuzaliwa bila baba,na huu ni muujiza mahsusi kwa waja wa Allah ili waone uumbaji wake

Kwahiyo ni neno ambalo alipuuliziwa bikira maria na akabeba mimba yake hatimaye kuzaliwa kwa Yesu

Kabla sijaendelea mbele,porojo nyingine inakuja tena,kwanini Mungu au roho yake isijiingize moja moja kwa bi mariam na kuwa mimba,hapo unaona kwamba Malaika wanafanya kazi ya kuingiza roho ya mungu kwa bikira maria,je hii imekaaje? Ndio mwendelezo wa porojo zile zile

Any way,tuendelee,je huu ndio muujiza pekee ambao unawashangaza watu juu ya ukuu wa mungu?

Yesu kazaliwa na mwanamke si ndio? Vipi kuhusu Adam aliyeumbwa bila mama wala baba?

Boss tupo pamoja?
Okay tuanze kwa adam.. kitu kinachoumbwa kinahitaji baba na mama?

Nimeuliza kuhusu kusoma biblia ili twende sawa..

Brother ni kweli ni uweza wa Mungu Yesu kuzaliwa bila baba.. but why? Tumezungukwa na miujiza ya Mungu kila eneo.. kwanini huyu nabii ambae achiliwa mbali alitabiriwa miaka na miaka kuwa atakuja kwanini azaliwe bila baba?

Waebrania 1:1.,2.,3.,4.,5.,6.,7.,8.
1. Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,

2. mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.

3. Yeye kwa kuwa ni mng’ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu;

4. amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao.

5. Kwa maana alimwambia malaika yupi wakati wo wote,
Ndiwe mwanangu,
Mimi leo nimekuzaa?
Na tena
Mimi nitakuwa kwake baba,
Na yeye atakuwa kwangu mwana?

6. Hata tena, amletapo mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, asema,
Na wamsujudu malaika wote wa Mungu.

7. Na kwa habari za malaika asema,
Afanyaye malaika wake kuwa pepo,
Na watumishi wake kuwa miali ya moto.

8. Lakini kwa habari za Mwana asema,
Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele;
Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.
 
Boss

Si lazima.kuzaliwa na.mama na baba,hiyo challenge nilikupa ili ujue mungu ana miujiza mingi sana

Unaposema kwanini Yesu alizaliwa kwa muujiza ule wakati kuna manabii wengi sana

Naweza kukuliza kwanini Mungu aliongea na Mussa wakati kuna manabii wengi waliopita

Je boss unasemaje
 
Mengine nakuachia mwenyewe ila nitajibu yale ambayo yanaingia akilini

Moja wapo ambalo linaingia akilini ni hili la Yesu kuzaliwa bila baba,na huu ni muujiza mahsusi kwa waja wa Allah ili waone uumbaji wake

Kwahiyo ni neno ambalo alipuuliziwa bikira maria na akabeba mimba yake hatimaye kuzaliwa kwa Yesu

Kabla sijaendelea mbele,porojo nyingine inakuja tena,kwanini Mungu au roho yake isijiingize moja moja kwa bi mariam na kuwa mimba,hapo unaona kwamba Malaika wanafanya kazi ya kuingiza roho ya mungu kwa bikira maria,je hii imekaaje? Ndio mwendelezo wa porojo zile zile

Any way,tuendelee,je huu ndio muujiza pekee ambao unawashangaza watu juu ya ukuu wa mungu?

Yesu kazaliwa na mwanamke si ndio? Vipi kuhusu Adam aliyeumbwa bila mama wala baba?

Boss tupo pamoja?
Huyu Yesu kumbuka sio tu alizaliwa kimiujiza kumbuka na kufufuka kwake.. hakuna nabii aliyefufuka..

Ndio maana ukristo unabenwa na msingi hii..

Kuzaliwa kwake Yesu

Kufa kwake Yesu

Kufufuka kwake

Kupaa kwake

Na kurudi kwake..

Kuzaliwa kwake Yesu sio muujiza pekee

Msingi wa ukristo upo katika haya

Kuzaliwa kwake

Kufa kwake

Specific Musa alikuwa na kazi nae ndio maana alizungumza nae..
 
Boss

Si lazima.kuzaliwa na.mama na baba,hiyo challenge nilikupa ili ujue mungu ana miujiza mingi sana

Unaposema kwanini Yesu alizaliwa kwa muujiza ule wakati kuna manabii wengi sana

Naweza kukuliza kwanini Mungu aliongea na Mussa wakati kuna manabii wengi waliopita

Je boss unasemaje
Okay.. Leo nimekupa msingi wa ukristo

Kuna sababu kwanini Yesu azaliwe

kuna sababu kwanini afe kwa kusulubiwa

Kuna sababu kwanini afufuke

Kunasababu kwanini apae

Kuna sababu kwanini arudi..

Upo upotoshaji mkubwa unafanyika kuonekana kwamba haya mambo ni porojo sawa.. naelewa ni ngumu kwa fikra zetu kuelewa kitu ambacho ni imani.. lakini ninaomba Mungu atupe kuitambua kweli..

Maana watu wengi wanaangamia kwa kukosa ufahamu..
 
Huyu Yesu kumbuka sio tu alizaliwa kimiujiza kumbuka na kufufuka kwake.. hakuna nabii aliyefufuka..

Ndio maana ukristo unabenwa na msingi hii..

Kuzaliwa kwake Yesu

Kufa kwake Yesu

Kufufuka kwake

Kupaa kwake

Na kurudi kwake..
Kama umeninote vizur kuna ambayo mnayaamini wenyewe huwa nakuachia mwenyewe kwasababu kwangu siyaamini,ikiwemo hii ya kufa na kufufuka kwa Yesu

Ntakupa habar ya upande wa pili kuhusu kusulubiwa kwa Yesu lkn si lazima uamini kama ambavyo mm siamini yenu

Kwa mujibu wa uelewa wa imani ya kiislamu, ni kweli Yesu alitaka kusulibiwa lakin̈ kwakuwa alikuwa ni mja wa Allah na mwenye hadhi kubwa,akaepushwa na balaa lile

Badala yake akabadilishiwa mtu mwingine na kwenda kusulubiwa,kumbuka yesu hakujulikana sana mji ule,ndio.maana hata walitaka kumkamata Petro alitakiwa ampoint Yesu kuwa ndiyo huyu

Sasa kudhibitisha ukweli wa hii version,pale msalaban Yesu alikuwa analia, "ewe mungu wangu mbona umeniacha"?

Sasa kama msemavyo ni kweli kwamba Yesu ni Mungu,je alikuwa alikuwa anamlilia mungu gani mwingine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom