Huenda wewe na Babu yako mna/mlikuwa na matatizo ya akili. Kuona vitu/watu visivyo na uhalisia ni dalili mojawapo ya tatizo la afya ya akili.Mimi nilipinga sana hicho kisa lakini nilikua nashindwa kumbishia sana marehemu babu yangu, kwa kua najua hana sifa ya uongo. Nikaanza kubishana na arsis kuhusu hilo wa miaka, alichonijibu ni maneno mawili natatu tu. Kisha miaka kama mitano au sita nyuma akanambia kazi kwako.
Alinambia soma kuhusu"vitual reality na augmented rality". Dah kuzisoma nikaogopa na sana, vitu ambavyo vinafanywa na watu hivi sasa.
Simba.
Kwahiyo torati haipo kwenye quran, acha kujichanganya. Siku nyingine ukitunga story ujue unakuja kuwapostia watu wenye akili yao.Arsis anasema hakuna biblia kwenye Qur'an labda umewasoma watafsiri sio Qur'an.
Simba.
UshirikinaMuulize arsis hivi chano kilo moja bei gani? Na huwa zinapatikana wapi?
Torati, zaburi na Injili viko kwenye Biblia, so Quran ilichukua vitabu vya Biblia na kuwahadaa wafuasi kuwa vimeshushwa!kweli mkuu nimeelewa sasa Arsis kusema biblia ni kitabu cha wagiriki maana biblia ilikuja wakati yesu alishaondoka duniani Yesu yeye alipewa INJILI ndomana vitabu rasmi vya mungu Quran,Torati,Zaburi na Injili.
Muulize Arsis akwambie.Mzee wa chai tupe elimu usioijua, huyo hata mimi simjui, nimemsoma SAbdul Qadir Jilani.
Simba.
KWa nini wasema hivyoUshirikina
Huwa sikisii.Niweke aya ipi? na haipo hio? Mimi sina ujuzi lakini wewe kama unasema ipo, tuwekee tumuoneshe Arsis na FaizaFoxy aliekubaliana na hilo.
Simba
We kiboko, mimi nimewaona wanaopandisha vibuki, wanapiga maji hao si mchezo. Lakini hui ya Wajapani ni mpya kabisa kwangu, ntaifanyia kazi, nna rafiki wa Kijapan.Hujaona majini wanaokunywa pombe wewe, kuna majini wa ki comoro hao wanaitwa kibuki, hao wapo comoiro na Japan, hata Japan wanaitwa hivyo hivyo kibuki, nilishangaa sana nilipopewa hio elimu na Arsis, amejuaje majini wa Comoro na Japan wanaitwa ivyo ivyo?. Wote wanapiga pombe kali kali tena za ghali, mapombe ya bei kubwa, wewe mzee wa chai huyawezi bei zake.
Wewe naona ndio jana Arsis alisema "they've opened a can of worms", unaanzisha mabo usiokua na uj)uzi nayo.
Leta vitu, watu wafunguke zaidi. Unajua unanikumbusha mengi sana, mimi na Atrsis ni zaidi ya miaka 30 kujuana nae, mengine nayasahau wewe unakumbusha.
Simba.
Maswali mazuri, nasubiri majibu.Mm naswali kuhusu arsis kuhusu ndota tata.
Yakwanza:Kuna siku niliota maiti ipo kati imevishwa nguo nyeupe na imezungukwa na watu wamevaa mavazi meupe wanapiga makofi kama sherehe hivi.
Ya pili: Niliota nafanya mapenzi na mwanamke huku akitoa Vito kama madini kupitia haja kubwa.
Lamwisho: Ikiwa Adam ni cheo kama anavyosema inamaana yeye arsis anajipa cheo cha Ubin Adam je yeye asili yake nani. Na ikiwa ulifungwa miaka 900 kwenye chupa uliwazaje kuwa hai ingali ubinaadamu huli, hunywi, hewa na maradhi ulivikabili vipi.
Si funga tu pm, kama mimi.Wana ukumbi,
Narudia tena. Toka jana sijibu mtu PM. Mwenye lake, liwe swali au ushauri au ana tatizo aandike hapahapa jukwaa hili, Tutamjibu hapahapa. Nikimjibu mimi mtaona post nimeiandika simba chini, kama ni kajibu Arsis hamtaonakitu kwa sababu ID imekua ni jina lake.
Ahsanteni.
Simba.
Simba anasema hakujibu moja kwa moja bali alikuwa anaambiwa yeye aandike nini.Mwanzoni nilianza kuuamini huu Uzi na visa vyake mpaka pale kiumbe Arsis alipoanza kujibu straight maswali ya wadau humu ndiyo nilipopata shaka na ujibuji wake wa maswali na maswali yenyewe-ni aidha hana huo uwezo na elimu niliokuwa naufikiria mwanzo au huu uzi umejaa vitu vya kweli kiasi na vyakusadikika vya kutosha.
Nitaendelea kuufuatilia ila kwa madhumuni ya kujiburudisha na kujifunza kwa masimulizi ya visa vyake.
Mwanamke duni na vitenge vya wax?Eti Arsis hivi kwanini Waarab tu ndiyo majini / misukule? Na huku kwetu utakuta jini ni mwanamke wa kiswahili aliye na maisha duni na muislam. Kila kukicha analilia wanaume wa wenzake wenye uwezo ili wamnunulie chips kuku au vitenge vya wax.
Ni kwamba Arsis Yesu mwenyewe anajishangaa? Vipi muulize Arsis kama Yesu alikuwa ana ngozi nyeusi kweli ama ni stori tu? Vipi mchekeche akuoneshe picha halisi ya Yesu.Unataka nikujibu Arsis alisema nini kuhusu hilo? Sitaki jazba lakini, ni majibu ya Arsis.
Arsis aliwahi kusema"Yesu mwenyewe kajua siku hizi kua kuna watu wanamuita Yesu". Nikamuuliz kwanini? Akanambia Yesu hajawahi kuitwa hivyo duniani. mama yake Yesu alikua anaongea Kiaramu (Aramaic) na Kimisri. Nilipomuuliza zaidi akanambia "wewe hupendi kusoma. Hizo lugha zote mbili zinafanana sana na Kiarabu cha zamani".
Nenda MOI.Nina shida ya mgongo nimepatwa na shida ya mgongo na uvimbe kwenye korodani bila sababu, sijapata ajali wala nn, hospital xrays zinabadilika kutokana na maeneo yanayouma muda huo. Imefikia ktk uti wa mgongo unauma kwa sasa siwezi kukimbia hata kuruka hatua moja.
Ninewafikia baadhi ya wataalamu kila mmoja kwa wakati wake wamekuwa na jibu moja yaani watano na jibu ni moja ila hakuna aliyefanikiwa kunisaidia.
Napata maumivu yanayohimilika wakti mwingine hayahimiliki kabisa. Misuli ya mgongoni inauma na pia kusimama imekuwa kazi wakati mwingine hata kukaa! Naomba msaada wanajamii.
Yes nilimsoma, sema niliangalia contents na quality za majibu ndiyo zilinipa mashaka.Simba anasema hakujibu moja kwa moja bali alikuwa anaambiwa yeye aandike nini.
Kwa hiyo Waarabu siyo safi kiroho? Nani hao walio safi kiroho?Kwa hiyo Waarab ndiyo majini yenyewe na ndiyo maana Waislam pekee ndiyo wanakuwa na majini, si ndiyo? Sijawahi ona mtu aliye safi wa kiroho akawa na majini ni waislam tu pekee. Waafrika tunapigwa changa la macho hapa, tuwaachie Waarab na majini yao.