Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Inatokea [post namba 672

Vionjo vya Arsis 3 Kumwokoa Msukule 1 C.

Niliporudi nyumbani nikakuta watu wapo macho. Mzee akaanza...
Baba; Vipi simba, kwema baba?
Mama" mwanangu tunaishi nyumba moja kama majirani hatuonani?
Mimi: Niko poa kuna mambo mambo tu yamenishghulisha.
Mama; Usijekua kama babu yako, mie sitaki kujaiwa wateja wa uganga humu ndani. maana babu yako ni hivyo hivyo akijifungia ndani akitoka kuna watu wana matatizo yao.
Baba; Huho karithishwa mikoba na babu yake, huoni bakora yake ile?
Wife: Wasimrithishe mwanangu tu mambi yao, maana kutwa kazi yake kuchewza na hiyoi bakora.
Mama; Nyie mnasema bakora kumbe tunaishi na jini ndani ya nyumba.
Mimi; mama wewe si simba, twambie kweli kama jini lile au sio.
mama: Simba sisi hatuna majini kama ya babu yako huko, majini ya kisimba yanapiga brandy, kazi yao kustarehe tu, hawajui hata kujitibu wenyewe. Hawana kabisa mambo yenu huko.
Wife: Wao watyu wa kujirusha tu.
Mama; Tena wewe hata usiseme, majini ya kwenu huko hawachezi mbali na wewe.
Wigfe' Mie hata sowataki, mie ya upande wako maa, yananitosha kabisa, mimi simba jike.

Naomba ifahamike, mke wangu hata mimi nilikua sijui kama ni mtoto wa shangazi yangu, kalelewa na mama toka mchanga kabisa, ni mtoto wa dada yake baba. Nimekuja kujua kabla ya ndoa. Ni kisa kingine kabisa hakihusiani na Arsis kwa hio kiishia hapo tu.

Baba; Njoo tuongee huku nje simba.

Tukatoka na baba uani, tukaanza kupiga kahawa.
Baba; Simba babu yako kanipigia simu kanambia utakua haupo utakwenda Tanga kwa wiki moja, mbina hujanambia?
Mimi: Ilikua nikwambie, hatujaonana, ndio tunaonana sasa hivi.
Baba: Hakuna tatizo, nilikua nakujulisha tu, wewe nenda tu any time, usijali mambo ya kazi zako, mimi nipo. Maana babu anasema ulimwabia una kazi nyingi.
Mimi; Ndiyo mzee kuna wateja watataka diagnosis ya gari zao.
Baba: Hilo usijali nitamchukua mkeo aje kufamnya diagnosis ikihitajika.
Mimi: Baba wewe unachukulia kila [poa tu, kiwepesi kabisa. Upo kama babu.
baba: Usiwe na wasiwasi simba, kikitushinda kitu tutakupigia simu, ruksa, nenda tu.
Akaondoka, ile naingia ndani nikapata ujumbe niende osisini kwangu kabla sijaingia kulala. Nikaenda.

Nikakamkuta jini mwanamke ananingoja kama kwake. Tukasalimiana akaanzaa...
Jini1: Usistuke simba nimekuja kuweka mambo sawa tu sikucheleweshi. Waambie wageni waende Tanga Jumamosi, wawe pale Jumapili.
Mimi: sawa nitamjulisha mzee Ali kesho.
Jini 1; Mpigie hata sasa hivi ili kesho mapema awaambie wajitayarishe. Na wewe unatakiwa kuanzia kesho uwe Tanga kwa babu yako, huna haja ya kwenda kazini kesho. Mama anakupa salaam. Mpelekee zzawadi Haalima pale Chalinze.

Mimi nikashangaa kidogo.

Jini 1: usishangae mimi hanijui wala simjui lakini si ndio njia yako hio, nakukumbusha tu.
Mimi; Sawa lakini Arsis anasema wewe unajuana na mkewe mzee Ali, sitaki mnifanyiwe mamboya siri zenu za kijini.
Jini1; Mimi namjua Qareen wa mkewe sio mkewe. Arsis kishakueleza kitu. Soisi hatuwezi kua na siri yoyote kuhiusu wewe, tutauliwa. Jambo lingine, hii kazi usimwabie hata mkeo wala mama'ko. ni yako na sisi tu. kwaheri nisikucheleweshe.
Mimi: haya kwaheri.


Nikaenda zangu nikakoga nikalala mpka siku ya pili asubuhi mapema nikaanz kukusanya vitu vyangu vya safari nikamwambia wife nitakua Tanga kwa wiki moja, akanambia ,nikishindwa kukaa peke yangu nakuja hukohuko Tanga, wiki nzima? Kuna nini wewe na babu? Au ushakuwa mwanga kama babu yako? yule mzee anaweza kukuozesha huko mume wangu.

Mimi; Nikacheka, kama mwanga ni wewe na babu yako, mimi simo. Mimi kuna kazi zangu tu zinanipeleka.

Mama alipotoka na yeye nikamuaga, mzee alishakwenda kazini. Nikaondoka, ile nnataka kuondoka nikakumbuka nimesahau bakora yangu nikaifata, nikakumbuka na zawadi ya B Haalima Chalinze, nikamwabia wife kama ana chupa ya perfume haitumii anipe nimpelekee Bi Halimza zawadi. Waife akanitolea chupa mpya ndani ya noz, akanambia hizi ninazo tatu, mtu akijua naipenda hii perfume anailetea zawadi hio hio. akacheka, akasema bora na Halima Msomali anukie kama mimi. Nikajua kijembe cha wanaweke hiko.

nikaanza safari yangu ya Tanga.

Njiani Mzee Ali akanipigia, nikamwabia nipe muda kidogo nitakupigia.

Nilipofika Chalinze kitu cha kwanza nikamueleza kuhusu yule mama na ndgu zake kuja Tanga na lini. Akanambia sasa hivi anaongea nae, yupo kwake pale, Tukakubaliana tuongee juoni kupeana mrajesho. Sikumwambia kama mimi naelekea Tanga.

Nikashuka kwenye gari nikaenda kwa Halima zna zawadi yake. kuniona...

Halima. Mimi nasema boss gani huyu hashuki kwenye gari, kumbe simba mtoto?

Tukasalimiana nikampa zawadi yake, akifungua palepale, akaijaribu akanambia hii perfume mimi naujanja wangu wote siiwezi bei yake, simba umeniroga, umejuaje mimi napenda perfume?
Mimi: Niki[iyta unanukia tu.
Halima: Mie Msomali wewe, wasomali mwanamke kama hanukii huyo feki.
Mimi; Si unukie kwa mumeo tu?
Halima; Harufu ninayomtilia mume wangu wewe huwezi kuielewa wala kuinusa. mwiko kabisa

. Hivi unavyonisikia ni hapa dukani, udi wa kawaida tu huo, sijatia manukato, unataka niwatie wazimu watu?


Nikacheka nikajisemea kimoyomoyo, hivi hawa Watanga mbona hawangoji kusifiwa? Wanajisifu wenyewe.



Itaendelea.
Simba vipi, hii imekwama?
 
🤔
 

Attachments

  • Screenshot_20240825_215642_Adobe Acrobat.jpg
    Screenshot_20240825_215642_Adobe Acrobat.jpg
    154.9 KB · Views: 40
Yes nilimsoma, sema niliangalia contents na quality za majibu ndiyo zilinipa mashaka.
Kuwa na shaka ni akili. Lakini muhim ni ama umeelewa ama hukuelewa.

Hata mimi kuna baadhi ya mambo simuelewi, nitam'uliza.

Sema kuna mambo manne kanimaliza kabisa, inabidi nimfatilie.

Kuhusu Yesu na Adam. Kwa sababu hayo nineshaandika articles zake zamani hapa JF. Halafu kuhusu watu wawili alivyowajibu humu, ni kitu cha ajabu.

Na leo nimemsoma simba akisema kuhusu majinni wa kibuki ambao wapo Comoros na Japan na wote wapiga maji. Hilo la comoro sio geni kwangu kakini hilo la Japan limeniwacha hoi, nimeingia jwenye mtandao kulitafuta, dah! Sina la kusema zaidi kwa sasa.
 
Torati, zaburi na Injili viko kwenye Biblia, so Quran ilichukua vitabu vya Biblia na kuwahadaa wafuasi kuwa vimeshushwa!
unaposema Quran ilichukua vitabu vya biblia.. je,ww ushawahi kuisoma Quran ukadhibitisha imecopy toka katika biblia yaani yaliyomo kwenye Quran na Biblia yana fanana? au ww ulidhibitisha vp ya ndani ya Quran yanafana na yaliyo ndani ya biblia.?
 
Simba
Nilimuuliza arsis
1.Sanduku la agano lipo wapi kwa sasa?
2.pete ya nabii suleyman ipo wapi kwa sasa?
3.pete iyo alipewa na nani?
Alisema arsis utakuj kunijibu ww simba
 
Simba
Nilimuuliza arsis
1.Sanduku la agano lipo wapi kwa sasa?
2.pete ya nabii suleyman ipo wapi kwa sasa?
3.pete iyo alipewa na nani?
Alisema arsis utakuj kunijibu ww simba
Kuhusu pete aliwahi kuulizwa akajibu ipo na anajua ipo wapi. Hilo la sanduku siku akija atalijibu na atatoa majibu ya kina kuhusu pete.
Simba.
 
Vipi kuhusu kufungua jicho la tatu ni ujanja au kujiweka hatarini tu
Kwa mujibu wa Arsis, hakuna hatari yoyote, "jicho la tatu" ni uelewa tu kua mpana zaidi. Unaweza kufanyia mazoezi hisia zako ambazo unazo tayari zikawa zinakufanyia mambo ya kawaida lakini yakaonekana ya jabu. Jito la tatu na sensi ya sita hayana tofauti sana.

Arsis kaenda mbali zaidi na kusema unaweza kuyaona ya nje ya nyumba na wewe upo ndani, sio uchawi ni mazoezi tu.
Simba.
 
Kuwa na shaka ni akili. Lakini muhim ni ama umeelewa ama hukuelewa.

Hata mimi kuna baadhi ya mambo simuelewi, nitam'uliza.

Sema kuna mambo manne kanimaliza kabisa, inabidi nimfatilie.

Kuhusu Yesu na Adam. Kwa sababu hayo nineshaandika articles zake zamani hapa JF. Halafu kuhusu watu wawili alivyowajibu humu, ni kitu cha ajabu.

Na leo nimemsoma simba akisema kuhusu majinni wa kibuki ambao wapo Comoros na Japan na wote wapiga maji. Hilo la comoro sio geni kwangu kakini hilo la Japan limeniwacha hoi, nimeingia jwenye mtandao kulitafuta, dah! Sina la kusema zaidi kwa sasa.
Naomba link za articles zako nipitie
 
Kwa mujibu wa Arsis, hakuna hatari yoyote, "jicho la tatu" ni uelewa tu kua mpana zaidi. Unaweza kufanyia mazoezi hisia zako ambazo unazo tayari zikawa zinakufanyia mambo ya kawaida lakini yakaonekana ya jabu. Jito la tatu na sensi ya sita hayana tofauti sana.

Arsis kaenda mbali zaidi na kusema unaweza kuyaona ya nje ya nyumba na wewe upo ndani, sio uchawi ni mazoezi tu.
Simba.
Duu huyu mwamba,,aisee mm bwana ningetaka mzizi wa kutoonekana na watu,nadhan ndio yale mambo ya watu maarufu waliosumbua sana hadi wakoloni otae na osale sijui huko tanga
 
Kuna ishu imezuka hapa kwamba katika qur'an au hata biblia kuwa hakuna aya ambayo inasema adam ndio mwanadam wa kwanza

Lakini nadhan wote tunatambua kwamba elimu ya Mwenyezi Mungu ipo katika vitabu na mafundisho ya Mitume na Manabii wake

Kwahiyo itoshe kujua kwamba mitume wake walitufahamisha kuwa Adam ndio kiumbe wa mwanzo,maana kinyume na hapo ina maana tutakuwa na mashaka na mafundisho ya manabii na mitume,na hapo tutakuwa tumekufuru

Yaan sawa sawa na leo hii muislamu asema swala tano zimeamrishwa katika qur'an lkn hatujaambiwa namna ya kuziswali,wakati Mtume rehema na amani zimuendee ameelekeza namna ya kuziswali
hapana, kasome vizuri. Kwenye Qur'an ndio hakuna hilo.
Simba.
 
Yes nilimsoma, sema niliangalia contents na quality za majibu ndiyo zilinipa mashaka.
Jibu lipi la Arsis limekupa mashaka, unaweza kulielezea au kuliweka hapa? Na sisi tupate kujifunza.
Simba.
 
Jana nimesikiliza audo na Arsis kasikiliza na leo nimesikiliza hii, kwa kua sio swali kwa Arsis ikabidi asijibu lakini Arsis amesema ongea wewe Simba.

Mimi nasema hivi; Huyu kaka yako anajua majini kupitia vitabu vya kichawi na masheikh wasio na elimu. Huyu ana kichwa kizuri cha kusoma lakini amesoma elimu siyo sahihi. ArsisWaongo sana alicheka akasema anasoma vitabu vya mashetani wa kipakistani, waongo sana.

Anaelezea majini ndivyo sivyo na tujuavyo sisi, lakini usiwache kuleta audio na elimu yake inatufanya tujipime na yetu. kama anavyoleta mzee wa chai na elimu yake ya muridi.Tunapata kusoma hapa.

Leta vitu.
Simba.
Dah ndio sababu mwenyewe nilishangaa sana nilipoisikia sauti yake....... Haina athari hata kidogo!!!

Watu wenye elim na maqam kiibada huwa wanaathari sababu ya uchamungu wao🤝

Dada angu aliniandama Sana nilipomwambia ndugu yake hana elim ya majinn ni kama anasikia tu kwa watu🤔🤔

Hapa umefanya nikuamini wewe na Arsis zaidi🚶🚶
Mimi elim yangu n ya kubahatisha bahatisha hivihivi
Nnajifunza mengi hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom