Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

UISLAMU NA MAJINI KWANINI VINAENDANA? HATA WACHAWI NI SWALA TANO.
Wachawi sala 5 wanajidanganya tna kuidanganya jamii tu. Uislam una elimu zote sio za majini tu, Uislam ni mpango kamili wa maisha.

Sio kila jini ni shetani na sio kila binadam ni shetani. Uislam unafundisha kujikinga na kuepuka mabaya yote.

Uislam unatufundisha kila mmoja wetu, tuamrishane mema na tukatazane maovu.
Simba.
 
Sasa tafuta na zile zinazoanza na Alam, kama Alam tara? Alam nashraha na kadhalika.

Halafu fungua "code" au tutamngoja Arsis atusaidie, mimi nimeshindwa mpaka leo.
Simba.
Sawa nitazitafuta , i will back soon
 
Kwa hivyo karibu na Ikulu kuna ‘worm hole’ into other time dimension and time travel is possible.

Wazungu watakupa hela mingi sana ukiwaonyesha hiyo sehemu, “Einstein Field Equation” predicted that lakini mpaka leo hawajui zipo wapi.

Not to dismiss story yako entirely ila kama vile chumvi ni nyingi sana.

Vinginevyo I certainly believe kuna mambo mengi ya dunia binadamu hatuyaelewi. Ila chumvi nyingi sana ambazo hazi-add-up.
Jamaa muongo sana.
 
Nina shida ya mgongo nimepatwa na shida ya mgongo na uvimbe kwenye korodani bila sababu, sijapata ajali wala nn, hospital xrays zinabadilika kutokana na maeneo yanayouma muda huo. Imefikia ktk uti wa mgongo unauma kwa sasa siwezi kukimbia hata kuruka hatua moja.


Ninewafikia baadhi ya wataalamu kila mmoja kwa wakati wake wamekuwa na jibu moja yaani watano na jibu ni moja ila hakuna aliyefanikiwa kunisaidia.
Napata maumivu yanayohimilika wakti mwingine hayahimiliki kabisa. Misuli ya mgongoni inauma na pia kusimama imekuwa kazi wakati mwingine hata kukaa! Naomba msaada wanajamii.
 
Mmh mbona yule ni mtu mzima saana, how is that possible?
kwani mimi mtoto mdogo? Hii ni story nilivyo balehe, mimi sasa hivi nina wajukuu kijana.

Wewe kwenu Duga au ulitembelea tu? Au polisi wa Duga, maana siku hizi kumejaa mapolisi na wagtu wasiojulikana huko, mnapiga pesa tu. Nasikia kuhamishiwa Duga siku hizi dili.
Simba.
 
Sorry, Uislamu wote kwangu sio dini sahihi, ni ushirikina mtupu, mmejiunganisha sana na majini kwenye mambo yenu mpaka nashindwa kuiona nguvu ya Mungu na uwezo wake kwenye kutatua shida zenu.

Matatizo yenu mengi mnatatuliwa na majini, huku jina la Mungu mkilitaja juu juu tu ili ionekane mnamuamini, nashangaa nikimsoma huyu mleta story kuna mahali mpaka inaonekana Quran inashindwa kuondoa majini kwa wagonjwa, ila jini la mgonjwa linaondolewa na jini lingine {refer. mwanamke aliyetolewa jini na jini la mleta story Shinyanga}, sasa nyie msaada wenu mnaupata kwa Mungu au majini?!

Hii story nawaambia ukweli, imekuja kuivua nguo kabisa dini yenu, na kitabu chenu, na ndio maana nikimsoma faiza foxy kwenye hii story anaonekana kuipotezea, kama kukipuuza kile mleta mada anachoandika, ni kwasababu ameshaona dini yake anayoipigania humu kila siku, ina muunganiko wa moja kwa moja na majini, anaona aibu anajaribu kuificha, lakini haifichiki!.

Pesa za jamii ya waarabu wengi ni kwa msaada wa majini, sio Mungu, kufanikiwa kwenye mambo mengine kama safarini ni kwa ulinzi wa majini, sio Mungu, wengine wenu mnayaafuga majini ndani, mimi nitashangaa sana kama siku ikifika nikamuona muislamu yeyote wa hii dunia ameurithi ufalme wa Mungu, unless muwe na hiyo pepo yenu wenyewe ya mabikra 72!, lakini sio yule Mungu wa rohoni ninae mwabudu mimi na kumtumikia, kwa jina la Yesu Kristu wa Nazareth.
Na manabii wenu ndio hao kiboko ya wachawi, Mwamposa , Mzee wa upako (Cha ulevi) 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Vitu vya kawaida sana hivyo sio vya miujiza. Kama ni ndoto nzuri usimuhadithie mtu kama ni ndoto mbaya fata mafundisho ya Waislam ya ibada na dua za kabla ya kulala na sala za usiku.
Simba ndo nmetoka kanisani , huu uzi unanihusu au haunihusu?maana umeegemea pande mmoja tu
 
Inawezekana...

Kuna kila dalili na ishara yapo malango mengi tu ya 'Maingiliano' ya 'dhahiri-macho' na 'dhahiri--kiini macho' Pwani yote ya Afrika Mashariki--pia maeneo mbalimbali ambayo labda utapata kusikia ni ya 'Matambiko'...

Siku za mbele kidogo, haya tunakwenda kufahamu kiufundi na weledi; ni hapa tu katikati siku hizi za katikati; tathmini inaendelea: 'udadisi' kuhusiana na utayari wa jamii zetu, muktadha akilifu, katika 'usahihi wa dhamirii' ya 'kujiongeza'-- ili waondokane na 'kasumba' na pia 'ushamba' wa 'visomo shobo' vya sayansi ya kimadarasani...

Sasa, swali la maudhi--ikiwa wanajamii hata kuotea visomo vyao vya uchumi na fedha/utaifa na jamii; kwamba vyote vimegubikwa na 'msiba wa kiroho'; kweli wanastahili kuongozewa njia kwenye 'mambo yaliyositirika' kama habari za 'SHIHATA'--ili iweje?

Kwanza, wananchi wanahitaji kufahamu maana na kusudi la 'Mwenge wa Uhuru'... Mengine yatafuatia kwa nafasi yake...

Sasa, unaweza kusikia habari za 'malango ya asili'; mengi yapo mapangoni, ardhini ama sehemu sizizoingilika kwa mwili wa nyama; hayo yanayoweza hata kukutobozesha, uingie na kutokea, siyo tu 'ndani kwa ndani'/'uso kwa uso' mwa 'vitovu vya mwili wa Dunia yetu' bali hata kungine 'nje ya Dunia'--lakini 'malango' yanaweza kutengenezwa kokote na popote na mtu mwenye 'Maarifa/Visomo/Maarifu' na 'Ujuzi Sahihi'...

Lakini, moja--Kuutafuta 'Ufalme wa Mbingu/Mungu na Haki yake, mengine kuzidishiwa' ndiyo ufunguo wa 'Mawalii' wote, na tena kwa ajili ya kustahiki kuyafahamu yote kadiri ya utimilifu wa UTU Bora--Kuutafuta ukaribu na 'Allah'...
Una mambo makubwa sana ila kuna mambo hayajajulikana vizuri kwako. Nitapenda kujua zaidi kuhusu wewe na imani yako.
 
Jumapili njema.

Nauliza tena.
Katika Dini inayotumia kitabu cha Biblia ikiwemo Ukristo Kuna Amri zinazo ainisha kuwa, ili uhesabike haki ni lazima uzifuate hizo Amri zote.
Na Ubatizwe.

Katika Agano la kale kulikuwa na Amri Kumi alizopewa Musa.
Eg. Usiue, Usizini, Usiseme uwongo, nk.

Katika Agano Jipya Kuna Amri Mbili tu
1. Kumpenda Mungu kwa dhati
2. Kumpenda Jirani kwa dhati.
Ukimpenda Jirani huwezi, kumwibia, kumwua, kumsingizia nk.

Je katika Dini ya Kiislamu Amri zake.
1. Zinasemaje ?
2. Ziko ngapi ?
3. Zimeandikwa wapi ?
4. Kwanini hawabatizwi ?

Niulizeni kwa Arsis,
 
Swali zuri sana hilo. naamini wengi hawatokuelewa.

Mimi binafsi niliandika jana atuongezee nyama kuhusu hiyo dunia ya "Ramadiyin". Nimeona alichojibu, ni kama nisome, nimepitia alichoambiwa akispome nimekikuta mtandaoni, ni kitabu cha imani za Kihindu cha zamani sana, kweli nikakugta "Rama" bado napitia, nimeona kuwa huyo Rama ni kiumbe kutoka nje na walikuja na mashine yao "UFO". bado nasoma, niseme ni "interesting" - theboss.

Nahisi kama kuna "coce" fulani inafunguka kwa maana ya majina na si lazima jina lote kamili. Hii wwanatumia sana Waarabu, Wayahudi na sasa nimefahamu Wahindu pia wanayo hiyo, tena wao wanaenda mbali zaidi mpaka kutumia herufi moja moja ya kwenye jina kumaaanisha vitu vingi kwa pamoja.

Naendelea kubukuwa.

cc; Corazon Espinado
Rama daya
 
Jumapili njema.

Nauliza tena.
Katika Dini inayotumia kitabu cha Biblia ikiwemo Ukristo Kuna Amri zinazo ainisha kuwa, ili uhesabike haki ni lazima uzifuate hizo Amri zote.
Na Ubatizwe.

Katika Agano la kale kulikuwa na Amri Kumi alizopewa Musa.
Eg. Usiue, Usizini, Usiseme uwongo, nk.

Katika Agano Jipya Kuna Amri Mbili tu
1. Kumpenda Mungu kwa dhati
2. Kumpenda Jirani kwa dhati.
Ukimpenda Jirani huwezi, kumwibia, kumwua, kumsingizia nk.

Je katika Dini ya Kiislamu Amri zake.
1. Zinasemaje ?
2. Ziko ngapi ?
3. Zimeandikwa wapi ?
4. Kwanini hawabatizwi ?

Niulizeni kwa Arsis,
Tupe aya zako za hayo ulioandika na Waislam watakuja kukujibu.

Uislam ni mfumo kamili wa maisha.
Simba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom