Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Aisee sawa bna, ila hayo makitu huwa sielewi sometimes.

Kwani hayo majini ni masafi kiasi kwamba wewe uwe mtu wa sala ndio yaje, kwanini wasije malaika??

Au sio usafi wa moyo bali kuna vidawadawq vya kutumia??
Amna malaaika mbona huwa wapo ila n vile daraj zao zipo juu kias kwamba majinn na binaadam wengi hatuwezi uona uwepo wao!!

Hawa majinn inakuwa rahisi kuchanganyika nao sabb tupo nao hapa Dunian!!
Mfano Kuna baadhi ya majinn wa angani huko huwez kumuita kama unavyomuita jinn wa ardhin sabb daraj zao n kubwa sana.

Kwahyo unapozungumzia malaaika umeenda mbali sana... hao wanadeal na mitume na mawalii wakubwa!!!

Ila ukifanya ibada sana Amna kinachoshindikana japo n ngumu sana kwa hii Dunia yetu ya kileo
 
Yaani mkuu, majinn si ni viumbe kama sisi? Kwani wao hufanya juhudi na ibada ili kuonana na binadamu?

Wao wametuzidi nini sisi, si inasemekana sisi ni daraja la juu kuliko wao?

Iweje ukitaka kuonana na hao wa angani ni hadi ufanye ibada sana? Na wao wakitaka kuonana na wewe inabidi wafanye ibada sana??
 
(Kwa uelewa wangu mdogo ipo hivi!!)

Ulimwengu zimegawanyika kwenye makundi 2
1.A'alamul nasuut (ndo huu ulimwengu wetu, na ndio ulimwengu dhalili na dhahifu kuliko zote

2.A'alamul ghaib .... hapa ndo Kuna kila kitu (huu n ulimwengu usioonekana)
Note: ulimwengu usioonekana n 98% sasa huu ulimwengu umegawanyika kwenye makundi 3
Hapa ndo Kuna ghaibu ambayo ukifanya kitihada unaiona (ndo majinn wapo hapo)
Kuna ghaibu ambayo haionekani mpk siku ya kiama n.k

Sasa ipo hivi binaadam kuziona hizo ulimwengu zingine akiwa kwenye umbo lake la asili anaweza.... ila shart ni moja tu, mpk awe mchamungu sana na asiwe mtu wa maasw!!

Hapa sheria n kama ngazi... ukiwa ngazi ya juu unaona vyote vya chini ila ukiwa chini vya juu kwako n Giza, kwahyo viumbe waliopo ulimwengu zisizoonekana na daraja zake wao wanatuona sisi sababu sisi ulimwengu wetu n dhalili na ndio wa chini zaidi
Ila majinn na wao hawawaoni malaaika sabb wapo kwenye ulimwengu tofauti, na malaika pia wao hawamuoni Mungu sababu wapo ulimwengu tofauti

Ila Mungu anaona ulimwengu zoote sababu yeye ndo yupo level ya juu kabisa...
Kwahyo kuhusu binaadam kupata ukhalifa wake ni mpaka awe na vigezo... ukiwa mchamungu haswaa wewe utakuwa master wa majinn na malaika pia!!!
Lakini huko hatufiki sababu ya kutokuwa karibu na Mungu
 
Majinn na binadamu nani ana rank kubwa??
 
Mbora katika viumbe n aliye mchamungu kuliko mwenzake... Mungu hana upendeleo kwa viumbe wake, isipokuwa binaadam kapewa daraj kubwa kutokana na ugumu wake wa nafsi kuendea mema!!
Ndio sababu binaadam wachamungu ni wachache sana
 
Umejibu kisiasa fulani hivi.

Kama sisi kuna ugumu kwanini basi iwe ngumu kwetu kuonana majinn kama tumewazidi?? Je wao kuwasiliana na sisi wanapitia ugumu kama huu tunaopitia sisi kuwasiliana na wao??
 
Binaadam ni dhahifu kwasababu hawajui nguvu zao za asili chanzo chake ni nini... huwezi lilia ufalme kwa kigezo cha kuzaliwa royal family, lazima uwe na sifa stahiki

Ili mwanaadam awe vile unataka (awe juu ya jinn bila usaidizi wa jinn mwingine ) anatakiwa kuwa na sifa mbili za lazima
Moja awe na elim kumzidi jinn, pili awe na daraj kubwa ya uchamungu kumzidi jinn
Pande zote mbili kwa mwanaadam ni ngumu kwake, kukizidi elimu kiumbe kilichoishi miaka 700+, wakati wewe unaishi miaka 60 inawezekana ila ni ngumu sana.......

Kwahyo njia ya pili ndio rahisi kwa binaadam lakini nayo hawaitaki. Ndio sababu ukikuta watu 1000 wanamajinn ni mtu mmoja tu ndio anaweza kuwatawala!!!
Huwezi lazimisha kukiona kiumbe ambacho kikikujia kwa umbo lake la asili unaweza fikwa madhara yatakayokusumbua maisha yote,

Ndio maana Mungu akaweka pazia na kulifunua kwa wachache wenye sifa
 
Kwahiyo majinn yana hadhi ya juu kutuliko??
 
😂😂😂..... hii kazi ya kuandika nayo ni kipaji
(Kwahyo hapa natakiwa niandike essay nyingine!!
Hapana haya mambo tuyaache tu
Toa elimu mkuu usichoke, Tena kwa kuandika hivi inabaki kama kumbukumbu watasoma vizazi na vizazi.
 
Kujifunza ambacho hukijui, tayari we ni smart.
we never knows labda tunaweza kupata mazingatio ndani yake.

Muache Simba achirimike
Simba story zake nazipenda sna, ana uelewa mpana sana. Lakini vile vis vyake vya koo za simba, hapana. Ni xxx tupu vile.

Vina xxx mule kama ngono za kwenye bibilia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom