- Thread starter
- #4,681
Hapana. Binadam tuna hadhi kuliko kiumbe kingine chochote.Kwahiyo majinn yana hadhi ya juu kutuliko??
Hapana. Binadam tuna hadhi kuliko kiumbe kingine chochote.Kwahiyo majinn yana hadhi ya juu kutuliko??
Hapana. Binadam tuna hadhi kuliko kiumbe kingine chochote.
Binadam.Binadamu na jini yupi mwenye nguvu zaidi
😁😁.... Binaadam tunapenda ukubwaBinadamu na jini yupi mwenye nguvu zaidi
Pole sana ndugu.... ila natumaini sahv utakuwepo jukwaani, tuendelee kupata elimNipo Bro, mambo mengi yalinizonga.
Daah umetutenga sana mkuu... Tulijua kabisa uzi ndio umeishia hivi hivi yaaniSema, nipo.
Umerudi mkuu, karibu sana dunia ya jfHapana. Binadam tuna hadhi kuliko kiumbe kingine chochote.
Pole sana Mkuu kama ulikuwa na ubize... karibu tena, ulipotea hadi tukapata hofu. Tupo tayari kwa muendelezo.Sema, nipo.
Arsis Swali lililoulizwa lipo kwenye mabano na jibu pia ulilotoa lipo kwenye mabanoBinadam.
Enhee kumekuchaArsis Swali lililoulizwa lipo kwenye mabano na jibu pia ulilotoa lipo kwenye mabano
Nguvu zipi unazomaanisha nguvu za mwili au akili au maarifa au vyote?
Tufafanunulie hapa Arsis kivipi binadamu ana nguvu kuliko jini?
Ukiangalia kwa nje ni kama majini wana nguvu kuliko binadamu nitatoa mifano:-
- Majini wanaishi miaka mingi kuliko binadamu hivyo wameshuhudia mengi,wamejifunza mengi, wameona ambayo binadamu hatujayaona, wanaona tunayoyaona na pengine wataona tusiyoyaona hili pekee linawapa fursa wao kuwa na maarifa mengi kuliko binadamu mfano.. kwenye visa vyako ulimzungumzia jini bakora ambaye anafahamu mizizi au vijiti kama sijakosea ambavyo binadamu akitafuna haonekani, ulielezea jinsi majini walivyotoa msaada shinyanga kwa yule binti aliyekuwa na mashetani, Hapa inaonekana katika kujua au kufanya baadhi ya mambo mwanadamu anapewa msaada na hawa viumbe vipi tena sisi tuwazidi maarifa ?
- Nimewahi shuhudia binadamu aliyekumbwa na pepo (jini mchafu) kiukweli alikuwa na nguvu sana na alikuwa mwanamke lakini wanaume wanne walishindwa kumtuliza na kumbeba alikuwa na nguvu za mwili sana hapa jini yule aliwashinda nguvu za mwili binadamu, Kama ni nguvu za kimwilihapa pia tulizidiwa. Naomba ufafanuzi.
Natamani niseme kitu hapa....Arsis Swali lililoulizwa lipo kwenye mabano na jibu pia ulilotoa lipo kwenye mabano

karibu mkuuNatamani niseme kitu hapa....
Hiyo ni haibu, Arsis mwenyewe pa1 na kujaliwa makalama yote.. iko sehemu ameandika kuwa hawezi huko ni kuingilia mamlaka ya MWENYEZI MUNGU.kuna muda unaweza ona Jambo ambalo halijatokea unawatahadharisha wahusika wawe makini n.k
Ukiona umeweza kuona baadhi ya mambo ya baadae, jua n Mungu ndo kataka uyaone..... kwahyo amna jipya hapo!!Hiyo ni haibu, Arsis mwenyewe pa1 na kujaliwa makalama yote.. iko sehemu ameandika kuwa hawezi huko ni kuingilia mamlaka ya MWENYEZI MUNGU.
Akili kubwaNdio, Static electricity naikumbuka na hapa ndipo nilipokuwa napataka haswa.
Ikiwa like charges repel and unlike charge attract tuiweke law hii katika maisha yetu ya kila siku yanayohusiana na spiritual world , Kumbe basi ikiwa mtu ni positive akakutana na mtu ambaye ni negative wote watasisimka mwili hivyo kwa njia hii tu kumbe ni rahisi mchawi kumjua mchamungu na mchamungu kumjua mchawi.
1. Je kwa upande wa positive kwa positive hakuna njia yoyote unaweza jua kua umezungukwa na positive maana positive kwa positive zita repel?
2. Umesema majini wana charges due to their high vibratory frequencies, That means their charges can be + or - right?, Vipi kuhusu viumbe wengine kama malaika na wanyama na wenyewe wana hizi charges?
Mkuu sasa ukishindwa vita hiyo tena😂😂😂😂😂😂😂..... Haya mambo huwa yapo hvyo, ukisikia lazima uone ni kamba!!!
Siku nikiamka vizuri ntaleta kisa changu hapa.
(Maana mm nilikabidhiwa kwa mashetwan toka nikiwa mdogo, baadae wakasalitiwa nikanyang'anywa mikononi mwao ilikuwa n vita kali sana..... Wakamgeuka mzee wangu wakamuua kikatili, mzee akaona ni bora yeye afe kuliko mwanae awe mfalme wa mashetwan na wachawi🚶🚶
Siku moja nikiamka vizuri ntaisimamisha jf kwa muda😂
Maana ni visa vya mfululizo kwanzia miaka 4 mpk Sasa hivi nnavyoandika hii comment bado vita inaendelea 🏃