kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
Asante kwa taarifaSaiv
Asante kwa taarifaSaiv
Hivi Kwann usipowatambua hawa majin wanakupa mitihani na kukuzibia kipato ata mipango yako, Mfano ni mimi nateseka na maisha kisa hawa , na nikiuliza kwa watu wananiambia hawa makini wanataka niwatambue na mimi sijui ata pa kuanzia kuwajua wala kuongea naoHahahaha sijui nitumie njia ipi rahisi... wacha nijaribu, nilikuwa ugenini kwao jamaa yangu, sa nikamkuta bro mmoja pale n Geologist.... kachakaa kama mweu njaa Kali.
Mm nikawa kimya tu maana jamaa wa tatu sifahamian nae, wakamaliza story zao... Geologist katoka na sura yake ya huzuni,,,huyo Kaenda zake!!
Baada ya hapo nikapotezea... sasa baadae kdg nikahisi kama usingizi kidogo nikatafuta sehemu kujilaza
Ndo akaja huyo jinn wa Geologist kujieleza (Note: Jinn mgeni huja mara nyingi kwa njia ya njoz au maono),,,, kanipa mikasa na kinachomponza huyo mwamba mpk anapitia hali hiyo ya umasikini,,,katika maelezo yake ndo kagusa na Ile hoja niloandika hapo juu
(Alilalamika sana jamaa anawaona wao n mashetani 😂😂😂.... niishie hapa maana ulitaka tu kujua nilipozungumza na huyo kiumbe
Hao sio wa kuwaendekeza kabisa,kikubwa shikamana sana na Mwenyezi Mungu,kama ni muislamu shikamana na swala,soma sana qur'an,fanya dhikri kwa wingiHivi Kwann usipowatambua hawa majin wanakupa mitihani na kukuzibia kipato ata mipango yako, Mfano ni mimi nateseka na maisha kisa hawa , na nikiuliza kwa watu wananiambia hawa makini wanataka niwatambue na mimi sijui ata pa kuanzia kuwajua wala kuongea nao
Mapatano nayo nafanya nao vipi na sijui jinsi ya kuwasiliana nao, zaidi ya ishara tu kwenye mwili ambazo sijui maana zakePole... hii kitu huwa sio sawa kabisa, ni dhulma tena kubwa!!
Hapa sheria n moja, kama unaweza pambana nao fanya hvyo maana inawezekana pia
Ila sikushauri kufanya hvyo maana before ushinde wengi hupoteza karibu kila kitu!!
Ni sawa sahv marecan upigane na Russia... hata US atashinda ila hasara atakayopata itakuwa very serious!!
So sometimes sio kila vita n ya kupigana zingine unafanya mapatano ikiwa yatakuwa n salama kwako
Ila ukiamua kukaza kichwa it's okay unaweza fight mpk mwisho .... ila mpk dakika hii nahisi ushafaham balaa la washindani wako!!
So it's up to you
Hapa ngum sana kutoa neno... sabb majinn wanatofautiana matakwa Yao kutokana na asili zao!!Mapatano nayo nafanya nao vipi na sijui jinsi ya kuwasiliana nao, zaidi ya ishara tu kwenye mwili ambazo sijui maana zake
Nimebaki njia panda zaidi, Nataka jinsi ya kuweza wasiliana nao kwanza ili nijue lipi hasa lengo laoHapa ngum sana kutoa neno... sabb majinn wanatofautiana matakwa Yao kutokana na asili zao!!
Kuna majinn wa asili, Kuna wageni
(Kwenye hawa wageni mara nyingi wanakuwepo wenye hofu ya mungu na makafiri/maibiris)
Sasa n ngumu kuanza kutaka fanya mapatano na kiumbe ambacho hukijui...........
Ingawa mapatano n solution ya haraka zaidi, lkn njia hii hufanyika kwa majinn aina mbili tu
(Majinn wa asili nzuri na wageni wazuri hapa saana nazungumzia wenye hofu ya Mungu)
Ila ukikosea ukapatana na Ibiris kidogo story yake haitokuwa nzuri.... maana wanapoanza kusumbua huwa mara nyingi unaweza shindwa tofautisha
Najua maelezo ya juu hapo yatakuacha na maswali mengi zaidi... ila jitahid kuelewa hvyohvyo
Sema, nipo.
Kaka wale wenye fimbo bado wamekuchukuwa kwenye ile ngoma yao na spika wa bunge 🤣.Sema, nipo.
Ni wakati nivitenganishe.Kaka wale wenye fimbo bado wamekuchukuwa kwenye ile ngoma yao na spika wa bunge 🤣.
Nasubiria kisa cha Comoros tu hapa hiki cha Adam namuachilia bibi yangu Faiza Fox😁
Bado upo, usiogope i mambo ya kawaida.Huu uzi bado upo, hizi story huwa zinanoga sana.....
Dah Bora umekuja😁😁Bado upo, usiogope i mamboya kawaida.
Nipo katika kuziboresha zitakuja zikiwa "polished". Kuna mengi niliyawacha na kuyaruka.
Nipo Bro, mambo mengi yalinizonga.Dah Bora umekuja😁😁
Maana tumekusubiri sana
Nitakuja kuelewesha nijuavyo. edelea n visa.Nimebaki njia panda zaidi, Nataka jinsi ya kuweza wasiliana nao kwanza ili nijue lipi hasa lengo lao
Nakushauri mapatano na majini ni ama yatoke yasikusubue au yasimsubue mwengine yeyote, yasilimu ama yachezee kibano au yauliwe.Mapatano nayo nafanya nao vipi na sijui jinsi ya kuwasiliana nao, zaidi ya ishara tu kwenye mwili ambazo sijui maana zake