Nikawaambia haya kina dada, nyie jitayarisheni na sisi tunakwenda kujitayarisha kwangu kule..
H1; Haondoki mtu hapa, hata sisi tuna chumba chetu, tunajitayarisha kuondoka hapa, tupeni dakika 10 tu. Tufatane.
Mimi; Poa, mkiingia ndani humo mwambieni mhudumu atuletee kahawa wakati tunawangoja.
Wakaingia ndani, wakati wanaingia...
H2; Twendeni basi mkatukogeshe.
Mimi; Si mmesema hapa tuwape dakika 10 tu?
H1; Wewe nae mpaka tukufungikie, anagekua babako haambiwi mara mbili. twendeni tukanyanduane.
Swahiba; Astaghafirullah.
Mimi; Msisahau kumwambia mhudumu atuletee ahawa mbili.
Wakaingia zao ndani.
Swahiba; Si tunaweza kushuka beach wakati tunawangoja?
mimi; Sasa hivi huogopi vibwengo?
Swahiba; Siogelei hata kwa pesa huku. Natembea tembea tu mchangani.
Mimi; Ngoja basi kahawa ije.
Swahiba; Siendi tena. Kuna kitu nilikua nataka nikuulize lakini sikutaka kukuuliza mbele ya watu.
Mimi; Uliza tu.
Swahiba; Unajua mara ya mwisho ulipokuja hapa Unguja, tulikua hatujuani, lakini lile tatizo la yule binti lilivyokwisha Sheikh alikuwepo kwenye kikao, katiika kutuhadithia jina lako lilitajwa sana. wewe na Sheikh mmoja kutoka Tanga, Hata sheikh hamjui jina mpaka leo na kijana wa Kiarabu katokea wapi sijui, ulikua nae sana wewe. Lakini anaongea Kiswahili vizuri tu, sema Sheikh anasema unajua kua hiki Kiswahili cha Kiarabu...
... Ndugu yangu kile kisa kilituacha mdomo wazi Unguja nzima, Sheikh anahisi wewe ndio ulikua Master wa ile game mpaka binti akapatikana.
Mimi; Si alikuepo Sheikh wa Tanga.
Swahiba; Hilo mzee kalisema, na yule Sheikh wafiwa wote hawamjui, sio ndugu, jamaa wala rafiki. Bora wewe mama'ko anajulikana ni mtu wa karibu na wafiwa. na mkeo alikuepo. Kasema Sheikh, ulikua nao sana wale watu wawili.
Mimi; Mwarabu mgeni wangu, umetokea Msiba tuko nae. na Mzee yule mimi namfahamu, tumekutana kwenye boti akasema na yeye atakuja msibani kwa kua tunajuana.
Swahiba; Nipe kisa ilikuaje, maana wewe ulikuepo mwanza mwisho, mimi nimeyasikia tu kwa Sheikh.
Unajua mumewe yule mama mwenye mtoto yupo jela mpaka leo, halafu kuna jamaa alikua boss serikalini, na yeye yupo ndani mpaka leo, na wengine kama wawili watatu hivi sina uhakika...
...Yule mtoto wa kike, tulisikia alitoroshwa kimya kimya, yupo huko bara na mamake mpaka leo. Halafu yule jamaa wa serikalini katemeshwa mali zote kapewa yule mama amlee mwanae, maana mume ndio yupo jela, hata kesi zao hakuna anaezifatilia. Wamesuswa na watu wote. Simba usinifiche, kuna vitu unavijua sisi hatuvijui, maana hata Babangu kasema...
Mimi; Kasema nini?
kasema ' Mtazame swahiba yako pete anayovaa, sio ya kitoto ile na huwezi kumuona mtu yoyote kaivaa. Ina mambo makubwa ile. Nambie ukweli Simba.
Mimi; Mwamba usijitie wasiwasi kabisa.
Swahiba; haladu unajua Simba, yule mama ulivotoka nae ndani siku ile, alikua kama mtu ambae anauoga fulani hivi. Akatunyenyekea sana mpaka katusindikiza, unajua kasema siku nyingine tukienda tusiweke gari nje? Sasa Simba najiuliza, hawa kinadada wa Dar wamemjua mamako wakaasema yule ni kiboko, anahudhuria mpaka shughuki za vibuki lakini yeye hana kibuki. Hapo kuna maswali mengi.
Mimi; usiwe na shaka Swahiba, hata yule mama tulipokua ndani nikamtajia mamangu anamjua ni partner wao miaka, sema yeye hana kibuki, anamjua, ndio maana akatuwekea heshima.
Swahiba; Mimi bado akili haijaridhika. twende tukajitayarishe ku[iga misosi ya Kitalii.
Mimi; Mbona unaharaka sana, si tunawangoja kina dada watoke?
Swahiba; Imenitoka, nataka kuwahi kuongea na Meneja dili alilonambia la kazi za hapa.
Mimi; Si kakwambia mwenyewe, yule mtu wa misimamo, hata ukisahau yeye hasahau.
Swahiba, Mimi hata leo naweza kumuonesha game akiwa tayari.
mimi; Yule mpaka kakwambia ujue ana kitu mawazoni. Msikilize, umkumbushe mara kwa mara. Maana mimi si unajua leo nimeongezea siku tu, In sha Allah kesho bomba.
Swahiba; Saa ngapi hujasema.
Mimi; Hata mimi sijajua, lakini tukienda chumbani kwangu labda itakua nishapata taarifa, niliwaambia hapa hoteli wanifanyie booking ya ndege, nikitoka airport mie nashukia kazini kwanza. Tutajua tukienda chumbani kwangu.
Mijimama ya dar ikatoka.
H1; haya twendeni, bado mpo?
Tukaondoka tukaachana tulipofika karibu ya vyumba, wao wakaenda kushoto, sisi tukaenda moja kwa moja.
Nikafungua mlango wa chumba changu, nikamwambia swahiba kama unajmwagia maji jimwagie, hpa sioni bahasha yoyote ya ujumbe wangu wa safari, ngoja niende resepshen, wewe koga jifarague usiwe na shaka, mimi nakupa dakaika 30 hazikutoshi Mwamba?
Swahiba; Nyingi sana hizo dakika 10 tu zinanitosha.
Mimi; Wewe ukimaliza njoo pale resepshen, kuna sehemu ya kunywa kahawa pale, nitakua nakungoja pale, Usijali kadi ya mlango ninayo, wewe ukitoka funga tu mlango.
Swahiba; Poa.
Nikaenda resepshen.
Mimi; Aah Martha, leo boiss peke yako kote hapa?
Martha: leo Sunday na hakuna wageni wengi wakuja au kuondoka, staff wengi wanapumzika. Nikuhudumie nini Mr. Simba?
Mimi; Niliwaambia resepshen wanifanyie booking ya ndege kesho, sijaikuta note yoyote chumbani.
martha; Umetazama messages za simu yako? Siku hizi hakuna maticket kama zamani, wanakupa ticket numbar, ukija nayo hapa wanakuprintia boarding Pass.
Mimi; Ooh, ngoja nicheki, jinayo simu yangu.
Nikakuta miss calls kama ishirini, nikaenda kwenye messages, ya kwanza hio ya hoteli notification ya kuchukua boarding pass reception. Ya pili ya shirika la ndege, wana cnfirm safari yangu na maelezo nifike airport mapema, boardin time ni saa tano kamili. departure saa tano na dakika 20. Nikajua boarding time ndio hio hio derture time maana vindege vya unguja vodogo tu, abiria 20 au 25 tu, kuboard ni faster tu.
mimi; Martha nimeiona notification ya boarding pass, nikupe uni printie biarding pass? Akaitazama meseji kwenye simu yangu huku anaandika numbers, akanambia 3 minutes utapata boarding Pass. Nikamwambia nipo pale coffe table. Akasema; Sawa Mr. Simba nakuletea.
Nikaenda coffee table ile nakaa tu kaja mhudumu nikamwabia niletee fresh orange juice na sparkling water moja. Na martha akawa kishaniletea boarding pass. Hijapita muda, hata simu sijapiga kurudisha miss calls, Mwamba kaingia, kakoga yupo fresh. Nikamwabia kaa wewe sasa nisubiri, agiza chochote mimi nitasaini usijali. Ooh mwamba natakiwa niwe airpost kabla ya saa nne asubuhi, boarding ni saa tano kamili. Akanambia huo muda mzuri.
Nikaenda chumbani nikakoga faster, nikatoka nikaanza kupiga simu, kwanza ya wife.
Wife; Vipi huko, hutaki kurudi mume wangu? Tumekumiss kweli nyumbani, wanao wananisumbua huku. Dad wapi, dad wapi?
Mimi; hata mimi nawa miss sana.
Wife na mama hapa utafikiri mtoto wadogo, kila saa huyu anarudi lini, anarudi lini> Namwambia mpigie mwenyewe mwanao, labda kaoa huko Unguja. Nikacheke tu. Waambie wote nitawapigia baadae kidopo kuna mtu ananisubiri. Wife akachomeea, njaa kali huku.
Nikampigia Mzee, tukaongea kidogo; lini uanrudi kazi zinakusubiri au ushaoa huko Unguja?
Mimi: Wewe si ndio utakua wa kwanza kujua, unafikiri posa atanipelekea nani?
Mzee: Aah, wewe na babu yako siku hizi mna siri zenu, mnaweza kuozeshana bila sisi kujua. Mamako huyu ongea nae. Nikasalimiana na mama pale. Nikamwambia nimekutana na shoga yako mmoja anaitwa H1;
Mama; Huuyo basi huko kuna kupandisha vibuki, maana haendi Unguja huyo mpaka kuwe na shughuli za vibuki.
Mimi; Tumekutana hoteli niliofikia.
Mama; basi mwanangu umefikia Hoteli ya maboss huko, huyo hakai hoteli ndogo ndogo, hio lazima ya kitalii, huyo ana pesa kama njugu. Umejuje kama rafiki yangu huyo muhuni?
Mimi; katika kujulishana tu.
Mama; Wewe mwanagu nae, huyo humjui, na unampeleka mkeo na kumrudisha kila siku akiwa na kazi zake pale kwa BIn Sulum Kariakoo?
MImi; Nilikua simjui, ndio kanambia.
Mama: Unarudi lini, wanao wanakumiss huku.
imi; n shaa Allah kesho joni maana nakuja na ndege, nikifika kabla ya kuja nyumbani niutapita kazini, mzee akitoka narudi nae.
Mama; Okay. safari njema.
nikaona nyingine ilikua miss call ya hapahapa hoteli, nadhani walikua wananijulisha kuhusu booking ya ndege. Namba zingine sizijui, nikasema hizi baadae nitazipiga. Nikatoka nje.
Ile nafika coffe table Mwamba ananambia, twende hapo chini beach, Menejea ameleta maagizo twende pale, wote watakua pale.
...
Tukaenda na swahiba alipotuagiza Meneja tukamkuta manager peke yake kasimama jirani na hapo, tukasalimiana pale.
Meneja: <Mgeni alietualika ni mumewe Bi Sh alikuja kutaka ushauri wangu kuhusu hoteli ya Bi Sh na amekodisha room atakua hapa mpaka kesho, watakuja baada ya muda si mrefu, wite mabiie wa Dar wapo na T chumbani kwao wanajitayarisha, si unajua wanawake hawana dogo.
Na mumewe Bi Sh anategemea wageni wawili kawaalika chakula poia, mke na mume, wataingia muda eoeote kuanzia sasa. Karibuni agizeni vinywaji.
Mimi; Tutasubiri, mimi naoimba mniwie radhi kidgo kuna miss calls nataka niende pambeni nikapige nyinyi endeleeni na vinywaji, sichelewi nitarudi. Nikaenda mbali kabisa na pale ili nisiwakere na maongezi yangu, nikaona kibanda kimoja cha makuti kipo peke yake na hakuna watu saa hzi beach isipokua wazungu mmoja mmoja.
Nikapiga simu hya kwanza namba nisioijua akapoke Bi S. Mkubwa wa vibuki, Tukasalimiana pale.
Bi S; Simba bado upo Unguja au umeshaondoka?
Mimi -; Bado nipo.
Bi S; Ulinambia upo hoteli?
Mimi; Ndio, nipo hoteli.
Bi S; nimekupigia sana nikasema hupokei namba usizozijua?
Mimi; hapana, nilikua nimekaa na watu na si vizuri kupokea simu mbele za watu nitawakera.
Bi S; Watu wengine hawana hilo kabisa, hata akiwa mgeni kwako, basi ataaanza kuonge na simu kama yupo kwake, hata mimi siwezi, mamboi hayo. Watu na mna hiyoi ni selfish.
Nikapata jina jipya la watu wasioheshimu utu wa watu wenhgine kwa kujibu na kuongea na simu zao hovyo, mbele za watu hata wasiowajua. Binafsi nashindwa.
Bi S; Nimekupigia nilikua naongea na BiH 1 wa Dar, akataja kua kuna kuna kijan yupo hoteli waliofikia, anahisi ni ndugu yake Meneja wa hapo, alivyotaja jina Simba, mimi sikumuulliza zaidi na sikumwambia kama nakufahamu. Ni kweli?
Mimi; Kweli nipo naoi hoteli moja, yeye na mwenzake na kweli Meneja ni kama ndugu yangu wa kushibana sio wa ukoo.
Bi S; Huyo meneja wa hio hoteli moto wetu wa Kingazija huyo, sema miaka mingi alikua anaishi nje hata jamaaa zake hatujui, Marehemu mamake alikua karibu sana na sisi. Niliposikia nikaona nikupigie kucheki ndio wewe au mwengine.
Mimi: Ahsante kwa kunijulisha.
Bi S; Kwanini unakaa hoteli, si uje kukaa kwangu hapa, nyumba kubwa hii, halafu Bi S kanifahamisha mamako, namfahamu, sio sana lakini tushaonana mara mbili tatu Dar kwenye shughuli za huyo Bi S. Njoo hamia nyumbanni utakaaje hoteli na sisi tupo?
Mimi: Ahsabte Bi S, In shaa siku zingine nikija nitakuja rasmi, kwa sasa ni mgenoi wa Meneja hapa.
Bi S; Una nafasi ya kuongea? Kuna vitu muhimu sana nataka kuongea na wewe Simba.
Mimi; Ongea gtu Bi S, nipo peke yangu.
Bi S; Simba nataka kujua, wewe ulikuja kutokea kwa Dar kwa ajili ya Dokta?
Mimi; Ndio.
Bi S; Tafadhali nifungikie, mimi kicheo cha vibuki nipo chini yako lalkini sasa hivi sikuulizi kama kibuki, nakuuliza kama mimi S. Ilikuaje hata ukaja?
Mimi; Nilikutana na Dokta kwa mganga wa Kipemba, nadhani hilo unalifahamu.
Bi S; Ndio, kwa mzee Ali wa buguruni.
Mimi; Meew ali ndio akanifahamisha mtTIO Ykw na utatuzi ni lazima aje yaitwe maruhani ya kibuki wafanye muafaka kwa sababu ni wa ukoo. Nikashauriwa nije kujionea. Ndio nikaja.
Bi S; Mbona ulivyokuja siku ya kwana hukuniambia hayo?
Mimi; Sikua na sababu ya kukueleza hayo, kama mkiubwa wa vibuki ungejua tu.
Bi S; Nilipata habari kua huyo aliekuja ni mkubw sana lakini sikujua vibuli wanamaanisha nini mpaka nilipokukuta ndani tukaongea. Sasa nilikua nataka kujua, wewe Simba unatibu watu?
Mimi; hpana mimi sitibu watu wala sijui tiba wala sio mganga.
Bi S; Ilikuaje sasa ukajuana na Mzee Ali?
Mimi; Mzee Ali ni maarufi sana Dar nilipelekwa na babangu nikajionee shughuli zake. Ndio nikagfahamiana nae na nikamuta Dokta hukohuko.
Bi S; Ikawaje ukaja hapa?
Mimi; Nilishauriwa nije, tafadhali usitake kujua na nani.
Bi S; Nimefahamu.
Mimi; Kwanini ulitaka kujua kama na tibu?
Bi S; kwa sababu una nguvu sana sio za kawaida, na sisituna watu wengi sana wene matatizo wanaonifata, nilitaka kujua unaweza kutusaidia vipi?
Mimi; Bi S, mimi sina nilijualao, kama umeshajua walionishauri nije, wao ndio wanatibu, mpaka waamue wao, mimi sina nilijualo, mimi fundi magari.
Bi S; Ni hsayo tu, niliku nstsks kukufhamisha, Eakuu wa viuki walinigiza Dokta audishiwe pesa zake na vibuki wake wasaimsogelee kabisa mpaka atake yeye mwenyewe tena mpaka wao wakuu waidhinishe, kwa hio kwa sasa wale vibuki wa Ndama, hawatomkaribia tena, alionao sasa ni wale wa kwa uoande wa mamake, sisis hatiruusiwi hata kuwataja wanaitwaje. Na ana vijini vingine vya Mzee Ali. Nilikua nakuomba simba, mkikutana na Daktari, nagahamu yeye kaondoka leo, aliniaga. Tafadhali usimueleze chochote kuhusu niliokwambia, mwache aishi kwa salama na amani, na sisi tutamkaribisha kwetu kama mtu wa kawaida lakini hattoshirikishwa kwa chochoite na vibuki wala hatokua kwenye chama chetu, tumepigwa marufuku kabisa. lakini yeye hafahamu hilo.
Mimi; kwanini unanambia yote hayo?
Bi S; Mimi nagahamu unayajua yote lakini nilitaka mimi kama mimi mbali ya vibuki niliweke sawa kwako usinifikirie vibaya, kama kuna nililkosea tusameheane kama binadamu. Mabio ya mila na jdai tuyaache kimila na jadi.
Mimi; Bi S, nirudie nilichokwambia kwako?
Bi S; hapana baba, nayagahamu yote.
Mimi; Nakukumbusha moja tu; toiba mama toba.
Bi S; Nimekuelewa baba. Niombee dua.
Mimi; Amiin. Kusongea tu hilo ni dua.
Bi S; Nakukaribisha sana nyumbani, nikia leo mna dinnet huko mmealikwa na mumewe Sh, Wamenambia wapo huko, walinambia nije, lakini wamenambia wakati mbaya ningewachelewesha sana, sikuweza kuja. Tungeonana huko sijui ningekutazama vipi?
Mimi; Usiwe hivyo, uliyoyangia na nia ya kyfabya toiba ni kubwa sana, mimi nichukukie kama mwanao tu, Wla usijisikie vibaya kabisa kuniona. Ongea na mimi kwa simu wakati wowote, hii namba yako naisave.
Bi S; Sawa, basi ahasante nisikucheleweshe mamboi yako, nikiwa na lolote tutaongea.
Mimi sawa, ahasnate kwa kua muwazi na mkweli. Kwa heri.
Tukaagana pale natazama upande wa meza ya chkula nika ona kama kuna wayti wameongeeka wapo zaoidi ya wawili, nikaenda nikawakuta Meneja, Swahiba, mwanamme na mwanamke siwajui. Tukaslimian Meneja akatulisha wote.
Meneja; Huyiu ndugu yangu anaishi Dar kaja kututembelea, lakini ahatki kukaa sana kesho anaondoka
Mgeni 1) Kwnini Simba, Unguja ni njema.
Mimi: Nimekaa sana bila kazi nimeshazowea pirika pirika za Dar.
Mgeni 1; Dar kuna pirika hasa mimi siziwezi nimeizowea Unguja yetu ingawa na yenyewe siku hizi inaanza kuwa na pirika pirika nyingi.
Meneja; Ndio maendeleo.
Mgeni; Sikujau kama nitakutana na swahiba hapa, tunajuana miaka mingi sana, tupo uradi mmoja huyu kila alkhamis, ndio masheikh zetu, mtoto wa Sheikh na yeye anafata nyayo.
swahiba,, Ahh unanipaisha sana bwana, mimi maamuma tu lakini In shaa Allah kauli yako iwe dua ya kheri.
Mimi: Amiin.
Kidogo kina dada wakaingia, kikundi wameingia kama midege inayosaka mizoga, katikati yao yupo mwanamme, anainesha ni mtu mzima kidogo lakini smart kabisa na yupo fit, anaonesha wazi umri unaenda lakini ni mgtu wa mazoezi alikua nimpana kiasi lakini hana manyama uzembe. Tukasalimiana pale.
H1; Ngija niwatambuloishe mimi> Huyu Mumewe BSh ndio alimkimbiza kwenye picnic yetu kwa Meneja, maana ni nyumbni pale lakini ilikua ni picnic, bahari ipo mbele yetu. nimtqmbulishe na vyeo vyake? Huyu ni Mjeshi, mwenyewe anasema mstaafu, lakini nijuavyo hakuna mwanajeshi mstaafu, kahamia kazi nyingine tu, Ssa hivi ni Waziri wa wa Serikali ya Mapinduzi. Na huyu mshajuana? hwataki kusema hawa Waunguja, huyu ni katibu Mkuu wizatra ya nini vile? Mliasili na Utalii si ndio. Na huyiu ni mkewe wa pekee, lakini anaonesha ana utotori wa nyumba ndogo, Unguja hii? Ji hansome kama hili? hata mimi akinikalia swa simwachi.
Mimi nikajua huyu Bibi kiwhazivuta huko chumnbani.
H1; Na huyu jamani mtoto wa haoa hapa kwenu Unguja swahiba yuake Simba huyu bila simba tungepaya wapi mhumba mpya? Huyu ndio mchumba wa T kuanzi leo.
T alikua akwa anachek chek kumtazam nikaona yeye huyu kishazitia kabla hawatoka huko ndani. ;akini katokezea huyo, T ni mzuri sana kupita maelezo, kavaa dress fulani hivi nyepesi kajitupia na mtandio mabegani kuficha juu ipo wai wazi. Imemtoa sana.
H1: hawa wengine mnajuana, enhee na huyu bibi Mke wa katibu Mkuu nisimsahau, huyu jamani mfanya bishara na mama wa nyumbani lakini yupo nae group moja, asiwstue, tutasema mambo yake sasa hivi mbele ya mumewe hapa.
Waziri; Semaaaaa.
Mumewe; Semaaaa
Menje; Usisemeeee
Hw: Semaaaaa maana anajifanya ka sio yeye huyu, eeh mwanamke ana vituko huyu, sijapata kuona.
Mke wa KM; jamani hii dinner leo ya kusakamwa mimi, ngojeni nile basi halafu muanze. Mnianzia mapema namna hii, nipisheni huko?
Sh; Si huyu akishakunywa mipombe yake kusema hivyo kama mwehu.
H1; Wewe saa hizi una kauli eeh, mwepesi, Mjeshi kishatoka kukufanyisha mazoezi, usio na haya wewe. Na mjeshi ulishikwa sana, si una mke mkubwa wewe? Ile kufika tu na chumba mkajifungia ndani, mnatichelewesha kula. Tunekaa kila mkao tunawangoja. Meneja kabla hawajaagiza hawa tafadhal sana ile supu, ilee ya kitai. hakuna kulala leo, hawa wanawake tutabadilishana vyumba tu.
Sh; Nyoo usiekua na haya wewe ubadilishane chumba na nani?
H1 basi wote twendeni tukanyanduane chumba kimoja, au unasemaje Meneja?
Meneja akawa abacheka cheka, tu anaona haya.
Mjeshi; Sh, Mimi nipo tayari huyu rafiki yako T leo ahamie chumbani kwetu, kitanda kikubwa kile.
Sh; tena nakuona siku nyingi uanvymtolea macho mtoto wa watu,ute unakutoka ukimuona. Utamuona hivyo hivyo kwa mbali.
Meneja; Tuanze kuleta chakula, ni vile vile kama tiulivyopanga Mheshimiwa?
Mjeshi; Vilevile hakuna mabadiliko.
Meneja; Haya jamani nyinyi kaeni ndani ha muda mchavhe watakuja wahudumu, igtawekwa meza ya chakula hapa wagtakua wanahudumia.
Akanyanyuka akaendandani, haijapita hata dakika ikawekwa meza kubwa kama mita gtano hivi na tulipokaa, yakaanza kuletwa mashani na mabakuli yale makubwa ya silva ya kuwekea vyakla zikaleytwa na sahani juu ya meza yake, ndogo tayari wapakuaji wamejipanga hapo.
H1: meneja ile supou ipo?
Meneja; ndio ipo hio tu, hakuna supu nyingine.
H1; haya asie na mwana aeleke jiwe. Supu ya Kitailendi hio, nyie wenye waume zenu, sijui huyu meneja anaitia unga wa viagra hio supu, mtakoma ubishi, lakini msijali, tupo sisi kuwapa huduma ya kwanzza mkizidiwa.
Meneja: Mheshimiwa karibu utufungulie kuanza kuchukua chakula wew ndio mwenyeji wetu leo.
Mjeshi; haya karibu nyite jamani, msimuone haya H1.
Akaanza waziri pale, tukafata nyuma yeje wenginewote, tukapakulia tukala, tukacheka, tukafurahi mapaka tunaliza vitanu tamu (desert) na kahawa mwisho, yamepita kama masaa mawili.
Katibu Mkuu akamshukuru waziri kwa kumualika, akaaga huku anasema jamani natamani tungekaa zaidi lakini majukumu. Wakaondoka na T baada ya kuagana ku hug na nini tena.
H 1: umemrushia mwamba hapa ndege wake. Mwamba hata namba basi hujachukua?
Swahiba: Mimi huyo sina haja ya namba mimi nakwenda kwao.
Sh; Waarabu wale unfate binto yao nyumbani utamuona hata alipo?
T; Huyo anaingia kwetu kama kwao. Muulzieni atawaambia, tunagoja alete posa tu.
Wakaondoka tuukawasinf)dikiza mpaka parking, Tuliporusi tukakuta pamesha safishwa, Meneja akatushukuru akasema na yeye anakwenda kupumzika mapema, ana kazi asubihi sana. n swahiba yangu akaaga.
H1; Unaenda wewe Muunguja, tumebaki wawili kwa wawili, Supu haijafanay kazi kwako? Joo mpenzi, twende mimi nikakutulize mzuka wa supu, huyu mwachie Simba hapa.
Simba; na mimi nakwnda zangu, kesho nasafiri mapema.
H2; Boti ya kwanza?
Mimi; haoana naondoka na ndege, saa nne niwe airport. Inabidi niamke mapema kujitayarisha. Nataka kupita mjini ninunue halawa ya zawadi.
H1: na mimi umenikumbusha, tena wewe oengine tunaondoka ndege moja, H2 umechukua boarding pass?
H2: bado tutachukua wakati wa kuondoka time nitatazama kwenye simu.
H1; kam ndege ni hiyo ya saa nne baso na sisi tuwahi mapema asubuhi tujkanunue Halwa ya zawadi, simba umetukumbusha jambo.
Nikawaaga, nikanyuka kumsinidikiza swahiba.
H1; Nyie mbona sio ma gentleman, mtaondokaje mtuwache wanawake pekeetu?
Mimi: Namsindikiza tu narudi.
HJ2: Ngojeni, H1 twende acha uvivu tuwasundikize yupite na resepshen tu print kabisa biarding pass zetu.
Wakanyanyuka tukatoka nao wote mpaka parking wakahug swhiba, wakahakikisha wanachukua namba za simu H1 akamsisitizia, nipo serious kuhusu biashra ya laptos na ikiwezekana hata hilo duka la simu hata huku Unguja nipo tayari kufungua duka, mabo ya mtaji usiwe na shaka, yupo H2 hapa titamkopa, huyu msimuone anakaa kimya tu. Mumewe na amiviwanda mijubwa mij)kubwa anannukia pesa hapa alipo.
Tukaagana wao wakaenda resepshen mimi nikaenda moja kwa moja chumbani kwangu. Nikajimwagia maji ya shower, sikua na haja ya kupiga simu wala nini, nikapiga rakaa zangu nikalala.
...