Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Utakufa maalim😃..... Mi nilifika kweny stage ya mwisho ya vibration nikawa nimebaki kuamka then nafsi iwe nje!!!

Ila nyumba ilianza kutetemeka kam vile ibomoke hlf ilikuwa mchana kweupe.... Nikastop kwa uoga, ikabidi nitoke nje faster kuokoa nafs nikijua nyumba imepatwa na janga, ile kufika nje ndo Kwanzaa watu hata hawana habari
Nauliza,,,, jamani hamna chochot kimetokea hapa!?
Majibu n pako shwari kabisa..... Hapo ndipo nikajua leo nilitaka kuyatimba
Itakua ulitumia mbinu za watu wanaodhani tu ipo hivi. Sijui ulifundishwa na nani au ulipitia stages zipi?
Simba.
 
Acha woga. Hiyo process tuelekezane nifanye nije niwape mrejesho. Ila pasiwepo na ishu za majini
Hahaha, hio ni process ya kujigeuza kua jini halafu unataka "pasiwepo na ishu za kajini"?

Kwani jini ni nini kwa uelewa wako, au uelewa wa yeyote yule? Fungukeni.
Simba.
 
Astro projection nilijaribu,nikaanza kuhisi ganzi miguuni inapanda taratibu ilivyofika karibia na magoti nikaona hili balaa inaogopesha sana
Mwalimu wako uliemfata haelewi.

Mimi nakuuliza maswali, uliwahi kufanya mazoezi ya kuona mbali na kusikiliza vya mbali, au minong'ono au hata kujua mawasiliano ya mnyama yeyote yule?
Simba.
 
Nafahamu kwa nini nakupa pole
Unampa pole mtu unaempa hafahamu kwanini? Hapo wa kupewa pole ni wewe.
Nakushauri piga goti usome, sana tu. Mipasho ya kijinga haitakusaidia kitu. Unatakiwa upite kwenye njia ilionyooka.

Sifahamu kwa wewe, lakini nfahamu Kiislam tunaomba kwa uchache kutwa mara 17, tuongozwe na muumba wetu katika njia ilionyooka.

Au hujamsoma mose kasema nini kuhusu moyo?
Simba.
 
Arsis anasema hapendi michongo ya kiherehere,inayokuwa nje ya mada wakati akitoa maarifa.
Wapi nimesema au kuandika hilo, tusitishane, jukwaa hili mwache mtu ajieleze kwa upana na urefu wa upeo wake. Hatufanani.
Simba.
 
Arsis nimeguswa na swala au changamoto ya madam Farijala wa Farijala kuhusu mumewe,hakika huyo mwanaume mwenzetu anaumia sana lkn na dada yetu anaumia pia,kwasababu si nature ya mwanamke kulea familia,yaan analea lkn ni mzigo mzito kwake sana
Sasa kuna ushauri ulimpa wa ibada na kuacha maasi kitu ambacho ni sahihi kabisa,lkn inajulikana Mwenyezi Mungu ndio suluhisho la kila kitu sisi wengine ni sababu tu,kwahiyo kama kuna sababu ya kumpa kama ni dawa au namna nyingine yoyote basi msaidie ila mponyaji ni Allah

Kwangu mimi nashauri huyo mumeo wakati wa kuoga aweke chumvi ya mawe katika maji yake na iwe sehemu ya zoezi lake la kila siku,hiyo ni dawa ya asili ya kuondoa uchafu mwilini ya kichawi na kishirikina

Ila asiweke imani juu ya hiyo chumvi kwamba itamsaidia ila anapoweka chumvi katika maji anuie mfano wa hivi EWE MWENYEZI MUNGU HAKIKA WEWE NDIO ULIYO UMBA HII CHUMVI NA KUIPA NGUVU YA KUONDOA UCHAFU NA.MIKOSI NA MABALAA,NAOMBA KUPITIA HII CHUMVI IWE NI SABABU KUNITAKASA NA MABALAA YOTE YA KICHAWI,NUKSI NA UBAYA WOWOTE ULIO KATIKA MWILI WANGU

Kwa nia hii utakuwa umemtegemea Mwenyezi Mungu na si chumvi kama chumvi

Nakumbuka kipindi fulani pamoja na kufanya ibada nilitumia chumvi kuogea mara kadhaa,kuna matokeo yalionekana ikiwemo kuota usiku kitu kama majini yametoka nyuma ya mgongo wangu na.kusema huku yanapaa kutoka ndani kwenda nje ya nyumba "wewe si unajifanya mjanja sawa " baada ya kuamka niliwaza sana juu ya ile ndoto

Kwa kifupi habar za chumvi kuwa sehemu moja wapo ya tiba ya asili inakubalika sana na si uchawi,ila nasisitiza usiegemeze kuwa chumvi ndio suluhisho la shida zako ila Mungu kwanza na chumvi ni kama sababu tu

Kama vile tunavyokunywa dawa za hospitalini,anayetuponya ni Allah na dawa ni sababu tu
Kweli asee! kuna changamoto nyingi za kiroho zinatufunga na zinahitaji kani kutoka nje kama baadhi ya simulizi za kuwaokoa watu alizoleta.
Simba binafsi sijaridhika na majibu yako kwa dada Farijala wa Farijala

Sasa mimi naomba Arsis mwenyewe ndio ajibu swali hili au hata bakora atuelekeze miti shamba ya kuondowa nuksi.
Kabisa kaka,jamaa kama hawezi kutatua shida za watu heri aseme wazi kuliko kujibu majibu mepesi hivo.
Ni kama anazichukulia poa sana
 
Kweli asee! kuna changamoto nyingi za kiroho zinatufunga na zinahitaji kani kutoka nje kama baadhi ya simulizi za kuwaokoa watu alizoleta.

Kabisa kaka,jamaa kama hawezi kutatua shida za watu heri aseme wazi kuliko kujibu majibu mepesi hivo.
Ni kama anazichukulia poa sana

Naona wazi hujausoma uzi vizuri, kusaidia watu sio lazima niwe mganga wa kienyeji.

Nimesema mara nyingi sana humu, mimi sio mganga wala sio tabobu wala sio mchawi. kama unategemea hayo wako kina Mzizi mkavu humu jamvini ndio shughuli zao.

Utalofaidika kwangu, kama umesoma uzi vizuri uzi utaliona hilo, ni elimu ya kujitibu na kujiondolea matatizo yako wewe mwenyewe kwanza kabisa kwa kumtegemea Muumba wetu.

Usinitegemee mimisina uwezo huo. Mimi mwenyewe Namuomba Muumba wetu anisaodoe kwa yangu kila kukicha.

Ungepitia uzi vizuri ungeyaona hayo.
Simba.
 
Utakufa maalim😃..... Mi nilifika kweny stage ya mwisho ya vibration nikawa nimebaki kuamka then nafsi iwe nje!!!

Ila nyumba ilianza kutetemeka kam vile ibomoke hlf ilikuwa mchana kweupe.... Nikastop kwa uoga, ikabidi nitoke nje faster kuokoa nafs nikijua nyumba imepatwa na janga, ile kufika nje ndo Kwanzaa watu hata hawana habari
Nauliza,,,, jamani hamna chochot kimetokea hapa!?
Majibu n pako shwari kabisa..... Hapo ndipo nikajua leo nilitaka kuyatimba
Niliwahi fanya hii kitu pia aiseee, niliishia njiani nikatoka nduki kama ulivyoeleza.

Yaani kuna vitu ambavyo huwezi kuvieleza ukaeleweka, nilikoma kujaribu jaribu kila jambo.
 
Naona wazi hujausoma uzi vizuri, kusaidia watu sio lazima niwe mganga wa kienyeji.

Nimesema mara nyingi sana humu, mimi sio mganga wala sio tabobu wala sio mchawi. kama unategemea hayo wako kina Mzizi mkavu humu jamvini ndio shughuli zao.

Utalofaidika kwangu, kama umesoma uzi vizuri uzi utaliona hilo, ni elimu ya kujitibu na kujiondolea matatizo yako wewe mwenyewe kwanza kabisa kwa kumtegemea Muumba wetu.

Usinitegemee mimisina uwezo huo. Mimi mwenyewe Namuomba Muumba wetu anisaodoe kwa yangu kila kukicha.

Ungepitia uzi vizuri ungeyaona hayo.
Simba.
Ni kweli wewe hauna uwezo,ila una connection moja kwa moja na viumbe ambao wanaujuzi zaidi wa shida zinazotukabili nje ya mfumo wa kawaida.

Mfano ulimpiga beat huyo mkuu wa vibuki aachane na dokta kabisa.

Mbona babu yako yeye alikua hawaambii wenye matatizo kwamba wasali sana.

Ndo maana akakuunganisha na kina Arsis ili ikitokea changamoto unasaidia kama ulivosaidia mengineyo ya misukule n.k
 
Ndo maana akakuungamisha na kina Arsis ili ikitokea changamoto unasaidia kama ulivosaidia mengineyo ya misukule n.k
Hayo sikuyanfanya mimi. Soma uzi vizuri.

Pia nakushauri soma kuhusu Nafsi.
Simba.
 
story nzuri ila uandishi bado sana ulivyoishia pale mpe ocean road aris basi umenichanganya tena sijaelewa kabsa mtiririko uliofuta nmeshindwa hata kusoma ... I hope utakaa chini na kuandika vizuri kwa mtiririko mzuri then utaanza upya kupost big up
 
Naona wazi hujausoma uzi vizuri, kusaidia watu sio lazima niwe mganga wa kienyeji.

Nimesema mara nyingi sana humu, mimi sio mganga wala sio tabobu wala sio mchawi. kama unategemea hayo wako kina Mzizi mkavu humu jamvini ndio shughuli zao.

Utalofaidika kwangu, kama umesoma uzi vizuri uzi utaliona hilo, ni elimu ya kujitibu na kujiondolea matatizo yako wewe mwenyewe kwanza kabisa kwa kumtegemea Muumba wetu.

Usinitegemee mimisina uwezo huo. Mimi mwenyewe Namuomba Muumba wetu anisaodoe kwa yangu kila kukicha.

Ungepitia uzi vizuri ungeyaona hayo.
Simba.
Mbali na mafundisho unayotupa mimi ni nafatilia kwa karibu sana stori na visa unavyoturushia humu.
Nina ombi moja kwako, kama inawezekana uandike kitabu cha simulizi zote ulizopitia lakini ndani yake uweke mafundisho ambayo yatatusaidia zaidi katika maisha yetu ya kila siku. Naimani kitabu kitauza sana na kitawafikia watu wengi sana ambao wapo nje ya mtandao.
 
Ni kweli wewe hauna uwezo,ila una connection moja kwa moja na viumbe ambao wanaujuzi zaidi wa shida zinazotukabili nje ya mfumo wa kawaida.

Mfano ulimpiga beat huyo mkuu wa vibuki aachane na dokta kabisa.

Mbona babu yako yeye alikua hawaambii wenye matatizo kwamba wasali sana.

Ndo maana akakuunganisha na kina Arsis ili ikitokea changamoto unasaidia kama ulivosaidia mengineyo ya misukule n.k
Mimi sio babu yangu. Babu yangu alikuwa mganga wa kutibu watu, mimi fundi umeme wa magari.

Hao niliounganishwa na babu yangu, sijawazuia kufanya yao.
Simba.
 
Utakufa maalim😃..... Mi nilifika kweny stage ya mwisho ya vibration nikawa nimebaki kuamka then nafsi iwe nje!!!

Ila nyumba ilianza kutetemeka kam vile ibomoke hlf ilikuwa mchana kweupe.... Nikastop kwa uoga, ikabidi nitoke nje faster kuokoa nafs nikijua nyumba imepatwa na janga, ile kufika nje ndo Kwanzaa watu hata hawana habari
Nauliza,,,, jamani hamna chochot kimetokea hapa!?
Majibu n pako shwari kabisa..... Hapo ndipo nikajua leo nilitaka kuyatimba
Duu kwel ulikomaa,ebu niambie ile ganzi ulikomaa nayo ikafika mwili mzima au inashia stage fulani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom