- Thread starter
- #3,241
Hilo ndilo la kwanza, unaweza kutafuta mchawi kumbe mchawi ni wewe mwenyewe. Husali una mlolongo wa maasi, utakosa wapi kua na matizo ya kiroho?wakati mwingine Arsis anazingua yeye akiulizwa shida zinazohitaji tiba amekariri jibu moja tu "fanya ibada,sali sana acha maasi" ndo imeisha hivo inaweza jambo hana ufahamu nalo basi amwite Arsis au bakora amshirikishe hao watajua tu kwa njia zao kisha yeye simba ndo atoe majibu hapa atakayopewa na hao watu wa kazi sio kukimbilia fanya ibada,acha maasi kwani ni nani ambae hana dhambi maana wafanya ibada na sala ni wengi sana ila wachamungu ni wachache.!
Kuna Hasad, ni tatizo kubwa kuliko uchawi, lakini mara nyingi hasad tunaikaribisha wenyewe bila kujijua. Hasad ni husuda.
Tiba za kiroho ni tofauti na tiba za kiganga na kitabibu.
Simba.