Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Sura Ipo na mtu yupo lakini anakua hapendi tutazamane uso kwa uso au nikimuona hivi sutra naiona sio nilioiona jana au mapema.
Simba.
Arsis ni nani, ni jini ama ni nani? Maana siyo binadamu kama mimi na wewe, naomba hapa paelezee vizuri.
 
Inaonyesha bwana Arsis majibu yako ni mepesi. Mtu yoyote anaweza kujibu hivyo. Kama hawana maasi je? Tunajua mawazo.ya binadamu yanazurura sana. Macho.yanaona. jioni tunasali kushukuru ya siku. Asubuhi tunasali kuanza siku. Wewe kama mtaalam una majibu gani ya ziada?
uu ni uzi wa wazi, ukiona majibu yangu ni mepesi tusaidie wewe kwa majibu mazito, ili wengi tupate faida. Elimu haina mwisho.

Binafsi naamini kufanya vitu kwa wepesi wake sio ugumu wake. Kwanini nimtie mtu taharuki isiokuepo?

Mimi kwa miaka mingi sana nimefanya kazi za ufundi wa magari tabata, mzee wangu ananiusia mpaka kesho usikuze kitu kama mafundi wa tabata, wakati ananambia hayo mimi na yeye ni mafundi wa tabata.

Kwa tabia yake hio, imefikia mpaka tabata mafundi wanachukua kazi halafu wanazileta kwa mzee wangu awatatulie matatizo yao, wao wanakwenda kuchukua ujira kwa mteja wao mara mbili au tatu ya walicholipa kwetu.

Nikimwambia Mzee kuhusu hilo, anasema watazame hali zao na zetu, na kazi ni hio hio. Napata jibu.

Leta kesi sio kufikiri tu, ingekua hivi au vile. Hatuendi hivyo.

Naamini niliemjibu kaelewa.
Simba,
 
uu ni uzi wa wazi, ukiona majibu yangu ni mepesi tusaidie wewe kwa majibu mazito, ili wengi tupate faida. Elimu haina mwisho.

Binafsi naamini kufanya vitu kwa wepesi wake sio ugumu wake. Kwanini nimtie mtu taharuki isiokuepo?

Mimi kwa miaka mingi sana nimefanya kazi za ufundi wa magari tabata, mzee wangu ananiusia mpaka kesho usikuze kitu kama mafundi wa tabata, wakati ananambia hayo mimi na yeye ni mafundi wa tabata.

Kwa tabia yake hio, imefikia mpaka tabata mafundi wanachukua kazi halafu wanazileta kwa mzee wangu awatatulie matatizo yao, wao wanakwenda kuchukua ujira kwa mteja wao mara mbili au tatu ya walicholipa kwetu.

Nikimwambia Mzee kuhusu hilo, anasema watazame hali zao na zetu, na kazi ni hio hio. Napata jibu.
Simba.
Sasa kama kuna hao kina vibuki tusiowaona. Kuna ulozi tusiouona. Kuna majini tunatupiwa, ni vipi tunaishi kwa usafi wa roho na mwili wakati binadamu wenzetu wanatuharibia? Wewe na ukoo wako mna ulinzi wa kijini. Kwa wengine waishi vipi? Yani kwa kuishi bila dhambi unadhani ndio ukomo wa kujaribiwa? Ndio kufanikiwa maishani? Maisha yenyewe yamevaa jinsi
 
Kwa ufupi huyo ni simba mwenzetu. Ukoo wake ni maarufu sana Tanga mjini. Mengine yote ugtayapagta kwenye habari. Ni habari kubwa sana hio.

Hii Sheikh ukiisoma Qur'an imeielezea vizuri na mau;aama wa Kiislaam wamefafanua kisomi, kasoro ni lugha tu tofauti.

Mfano Surat Israai (Bani Israel) au ukisoma popote kwene Qur'an neno )Jowz) pair. Hata Kisa cha adam na pair yake iliokua Peponi, wengi wameitafsiri nimkewe (Hawa) sijui wamemtoa wapi., Kwa mujibu wa Arsis hio ni quantum physics. Pia utaipata kwenye Yassin na sehemu zingine.

Arsis anasema hii Maulamaa wa Kiislam kwa miaka mingi sana wanaijua quantum physics, majina tu yanapishana, Arsis amechomekea anasema hata hilo neno Quantum linatokana na Kiarabu Antum.

Elimu ni bahari
Simba.
Simba hongera sana, Swali la FF umetumia busara nyingi kulijibu, nikupongeze kwa darsaaa adhimu unaloendelea kutoa
 
Sasa kama kuna hao kina vibuki tusiowaona. Kuna ulozi tusiouona. Kuna majini tunatupiwa, ni vipi tunaishi kwa usafi wa roho na mwili wakati binadamu wenzetu wanatuharibia? Wewe na ukoo wako mna ulinzi wa kijini. Kwa wengine waishi vipi? Yani kwa kuishi bila dhambi unadhani ndio ukomo wa kujaribiwa? Ndio kufanikiwa maishani? Maisha yenyewe yamevaa jinsi
Hakuna jini wala binadam anaeweza kukulinda zaidi ya Mwenyezi Mungu.

Ulinzi wa kwanza ni kujikaribisha kwa Mwenyeezi Mungu muumba wetu. Naamini hata viumbe niliojaaliwa kua nao karibu sio kwa uwezo wangu au wa yeyote ni uwezo wa Muumba wetu.
Simba.
 
Swali zuri sana hilo.

Kwanza kwa sauti zao, halafu ile uwepo wao tu ukishauzoea unajua hapa yupo fulani. Binadam tuna hisia za ajabu sana. Hatujui kuzitumia tu. Arsis ananipa sana masomo ya hisia za ibinadam. Mimi kichwa changu tu cha mawaya ya magari. Lakini hachoki tutaleta hivyo vipande visobisogo kiila tunavypendelea.

Hujawahi kuhisi kama mtu fulani nyuma yako ukigeuka ikawa ni kweli, ni huyo huyo uliemuhisi?
Simba.
Yup ipo hiyo
 
Sura Ipo na mtu yupo lakini anakua hapendi tutazamane uso kwa uso au nikimuona hivi sura naiona sio nilioiona jana au mapema.
Simba.
Kuna bwana nilimsikia anasema kuwa eti huwa yanaona soni
 
Hiz ibada na kujiweka karibu na Mungu, inaapply Kwa waumini wa dini zote au waislam tuu?
Kama unaamini au huamini Mungu, abudu ujuavyo. Mimi naamini hakua Mtu asiejua mema na mabaya. Si unaona hata shughuli za Kiserikali wanakuwepo waumini wa imani tofauti wanaomba dua kivyao? Haijalishi.

Mimi naelezea kwa msimamo wa Kiislam, ndio niujuao kwa kina.
Simba.
 
Hii Sheikh ukiisoma Qur'an imeielezea vizuri na mau;aama wa Kiislaam wamefafanua kisomi, kasoro ni lugha tu tofauti.

Mfano Surat Israai (Bani Israel) au ukisoma popote kwene Qur'an neno )Jowz) pair. Hata Kisa cha adam na pair yake iliokua Peponi, wengi wameitafsiri nimkewe (Hawa) sijui wamemtoa wapi., Kwa mujibu wa Arsis hio ni quantum physics. Pia utaipata kwenye Yassin na sehemu zingine.

Arsis anasema hii Maulamaa wa Kiislam kwa miaka mingi sana wanaijua quantum physics, majina tu yanapishana, Arsis amechomekea anasema hata hilo neno Quantum linatokana na Kiarabu Antum.

Elimu ni bahari
Simba.
Shukran, nita research nipate angalau ABC juu ya hii kitu
 
Kama unaamini au huamini Mungu, abudu ujuavyo. Mimi naamini hakua Mtu asiejua mema na mabaya. Si unaona hata shughuli za Kiserikali wanakuwepo waumini wa imani tofauti wanaomba dua kivyao? Haijalishi.

Mimi naelezea kwa msimamo wa Kiislam, ndio niujuao kwa kina.
Simba.
Shukraan.

Sasa nilishawahi kuambiwa kwamba kivuli changu hakipo, kwamba Sasa sionenaki sijui Nini na Nini! Anyway sijawahi kurudi Tena huko...
Tueleweshe je binadamu ana kivuli? Na je kinaweza chukuliwa? Na kulingana na simulizi Yako kama mtu ana vijini viwili vitatu it means anakuwa anaonekana na vivuli viwili vitatu. So kama Hana vijini Ina maana Hana kivuli kabisa? Au inakuwaje hapoo
 
1q
Tukija Kwa Suala la Adam kuwa wa kwanza au la.. Bado kuna utata kwa upande wangu kwa Mujibu wa Bible hiyohiyo.

Rejea.
"Mwanzo 26 mpaka 30: "

26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.

29 Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;

30 na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo.

-Kwa hapo unaona waliumbwa watu wawili na wakapewa maagizo kwa pamoja mpaka ya kuzaliana.

-Ukirudi kwenye Habari za Adamu sasa utakuta maagizo ya Kuzaa ni kama laana kwa mwanamke (Hawa) au adhabu ya kosa walilolifanya na kula kwa jasho ikawa adabu ya Mwanaume. (Adamu)

-Bado maandiko yanasema Mungu alimuona Adamu ni mpweke. Je si kwasababu alikua anajua palikua na pea ya Binadamu wa kiume na kike kama alivyowaumba ila sasa kabaki Adam peke ake ndio kumtia usingiz ili huyu mwanamke wa sasa Atokane na yeye mwenyewe na si kumuumbia mwingine tena.

-Kwaniwazavyo mimi, kama Adamu ndie Mtu wa kwanza kuumbwa basi hakuumbwa peke ake au tayari walihaumbwa watu wengine kabla yake.

-Na kama ni yeye, basi inabidi tumfahamu aliyeumbwa nae ni nani na akaenda wapi hadi Adam akabaki mpweke?. Na Je mwanamke huyo sio ndio Shetani aliyemdanganya Hawa? Na kama ndiye je Sio ndio haya Majini tunayopata story zakua na uwezo wakua chochote kile?

Huu Uzi unaniconnectisha Dot Dot nyingi sana ambazo nabahatikaga kukutana nazo katika maandishi na story mbao mbali za kiroho na kimwili plus na tafakari za uhuru wa fikra zangu.
Mambo ya Arsis na Simba yatufikirisha sana Waislam, ana challenge za nguvu. Ambazo kwa upande wangu naona anataka tusome kwa kina tunachokisoma, siyo kukariri tu.

Leo kaja na "quantum physics".
 
== Jinesesia: Mwanzo wa DHAMMA==

ALRIGHT

HAKIKA, vitu vyote vimefanyika kwa ishara na alama…

View: https://www.youtube.com/watch?v=Slt45rz-OUY

AKILI ni chombo cha ‘kufahamiana’ kiishara na alama – ishara na alama kwa ajili ya ufahamu katika ‘miili ya uweza’ na kujichagulia kwake kiwakati kupitia ‘Roho ya Utambuzi’; hili ndilo hukadirisha ukweli wa kusema ‘Asiye na Akili’ hana ‘Dini’.

Usentienti, Konsayansi na Ufahamu ni ‘Chaji ya Uweza-nguvu-utukufu’ katika ‘muktadha akilifu’ wa ‘Kujiwazia Utu’.

[(1) Hisia na Kujisikia--‘Usentienti’, (2) Akili ya Udhamirifu wa Mambo--‘Konsayansi’, na (3) Mwanga wa Nuru ya Utambuzi/Kujitambua--‘Nuru ya Ufahamu’]

Muktadha ni dhana ya Kiuno na Ufikirifu mifumo ambavyo ‘Vina vya tafsiri’ na ‘Udhamirifu wa Mambo’ hupelekea ‘Utashi’ kwa ajili ya kujichagulia ‘Sura na Utukufu’ wa (1) Kuwa ama (2) Kuja-Kuwa—Maisha daima ni mchakato… Mchakato wa ‘Mageuzi’ ilivyo ni safari ya UTU-MAISHA-UISHO.

‘Roho ya Utambuzi’ ni mambo ya ‘Jaala’ na ‘Kumbukumbu Uzoefu’; kuwa kwamba, UTU-MAISHA-UISHO ni ‘mafumbo ya Imani’ ambavyo ‘Kujiwazia UTU’ hupata jamvi la hatma za kimageuzi ili kuakisi muktadha akilifu wa ‘Kuwa ama/na kuja-kuwa’… Kwa rizayati ya Elimu 3.0, haya ndiyo yenye kuja na mashauri ya Mtume Paulo kuhusiana na ‘Kuwa Mtoto—Kufikiri kama mtoto’ na halafu Kuja kujijua kama vile ‘Mungu’ anavyomjua ‘mtu/’kujulikanavyo na Mungu’.

Kujiwazia Utu, ndiyo chanzo cha ‘Ontolojia ya Taasisi’ na basi akili ni chombo cha nasibu ya fizikia na metafizikia ya uzima wa miili ya uweza. Mwili wa mwanadamu, mwili wa nyama, ni mwili wa uweza—mwili wa uweza katika fiziki na hali kupitia akili una metafizikia yake. Na basi fiziki, ulimwengu wa maumbile na metafizikia ni ulimwengu wa maumbile yaliyositirika na huku yakishiriki uweza, nguvu na utukufu na mwili-fiziki.

Katika lugha za kimazungumzo—mazungumzo ya Jamii ya Waswahili, maarifa yasiyo rasmi, lau kujaribu kuotea otea habari za mawezekano ya ‘uweza, nguvu na utukufu’—mambo ya metafizikia ya mtu/utu ndiyo hutajwa kama ‘Nyota’--’Mambo ya Nyota’ tena yale yenye kufungamana ama/na kuingiliana na ‘Bahati’ ama ‘Mikosi’ ya mtu katika muktadha akilifu wa UTU-MAISHA-UISHO.

‘Kujiwazia Utu’ na tena muktadha akilifu wa UTU-MAISHA-UISHO ndiyo asili ya Dhahiri-Macho na Dhahiri—Kiini Macho ya yote yaikadirishayo jamii na mambo yake—mambo ya nyakati zake kwa kuwa ili jamii isimame huwa na ukadirifu wa ‘Ontolojia ya Taasisi’ yenye kujenga mambo ya ‘Ushawishi’ na ‘Hisia’ kwa Mapana ya Hisia ya ‘Utu’ wake.

Mapana ya Hisia ya Utu ndiyo khasa asili ya ‘Mifumo’ kwa kuwa matendo ya jamii na hatma zake hukadirisha ‘Sura na Mienendo’ ya fahari ya utamaduni wake. Matendo ya jamii huja kwa mila, desturi na jadi ambavyo hutokana na miongozo ya jamii husika. Basi ndiyo kuwa ‘Matendo’ na ‘Miongozo’ huakisi ‘Udhamirifu wa Utu’. Zao la ‘Taasisi’ na ‘Wakati’ ni ‘Mifumo’…

Kwa Jamii ya Watanzania, tuseme, jamii ya watanzania kama Jamhuri ya Watu; Katiba ya Nchi ndiyo Muungozo mkuu wa Sura ya Nchi na Tawala. Kwa mintarafu ya hili, Katiba kimsingi hubeba ‘Tamko la Kujiwazia Utu-Jamii’--kubayanisha asili ya Miundo ya Utendaji, Kujitengenea na Vinasaba vya Mwiili wa Uweza wa Nchi-dola—mambo ya Dola, Vyombo vya Dola na nguvu zake, na Mkataba kati ya ‘Watawala’ na ‘Wataliwa’ kwa ‘Siasa za Uwakilishi’.

Hayo ndiyo kwa wenye kuzungumza kwa lugha ya Kiingereza huyataja kama ‘Governing Structures’, ‘Nation-State Organization’ na ‘Specific Institutional Guidelines’; Pia ndiyo ‘State Institutionalization’, ‘State Instruments and Mandates’ na ‘Civil Contract’ na basi ‘Representative Liberal Democracy-- democratic Institutions/institutionalization’.

Similar Discussions

Back
Top Bottom