Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Ni kama wadigo wa Tanga, lakini amini usimini sizijui sura zao mpaka leo. Nimeshawaona kwa sura tofauti tofauti. Kuna wakati siwaoni kabisa lakini naelewa kua yupo au wapo. na naelewa ni yupi aliopo.
Simba.
Tuseme ni waafrica,Kwanini huzijui sura wakati muda mwingi ulikuwa nao
 
Nimekwambia kama wadigo wa Tanga, kama umeona wadigo wa tanga sio Waafrika kwanini tubishane kwa hilo? Sura sijui kwa sababu wanakuja kwa sura tofauti tofauti na tunapoongea mara nyingi hupenda kujiweka upande ambao hatuonani uso kwa uso. Mfano Arsis mpaka leo sijawahi kumshudia, naongea na sauti yake tu.
Simba.
 
Simba, courtesy, nafikiria kutia chachu huu uzi wako... Kama hili 'halina nongwa' bariki hili wadau wapate 'Maarifa' na 'Maarifu'...

Amani
 
Nimekwambia kama wadigo wa Tanga, kama umeona wadigo wa tanga sio Waafrika kwanini tibishane kwa hilo? Sura sijui kwa sababu wanakuja kwa sura tofauti tofauti na tunapoongea mara nyingi hupenda kujiweka upande ambao hatuonani uso kwa uso. Mfano Arsis mpaka leo sijawahi kumshudia, naongea na sauti yake tu.
Simba.
Hatujabishana ndugu nimefanya tu hitimisho kwa kuseme tuseme ni waafrica maana swali langu lilijikita katika race in general na sio kikabila nikisema race namaanisha arab,Indian,African nk,ungenijibu tu kiafrica ingetosha kuliko kuingia hadi.kwenye udigo sikutaka hicho,kwahiyo ulivyoniambia wadigo ndio nikawaingiza kwenye kundi la waafrica na sio kubishana,nimeshangaa umekuwa mkali ghalfa
 
Hicho nacho ni kitu cha ajabu? kwa kuujulisha tu nishawahi kusafiri bila huyo mwewe wala chombo chochote kile. Arsis anaiita telepoteshen.
Simba.
Teleportation, is the act of traveling by an imaginary very fast form of transport that uses special technology or special mental powers, or of causing someone or something to travel in this way:
 
Hicho nacho ni kitu cha ajabu? kwa kuujulisha tu nishawahi kusafiri bila huyo mwewe wala chombo chochote kile. Arsis anaiita telepoteshen.
Simba.
Mbona hatuelewani,faiza fox aliongea na mtu huko juu habari za Canada ndio nikamtania kuwa ameshawahi kupanda mwewe kama.mtu kafika Canada inamaana alipanda ndege,ni utani na sio kushangaa
 
Unaposema mtu huoni sura yake unamaanisha haipo au hiyo sura inakuwaje mpaka haionekani huku mwili ukionekana,nimejikita bado.kule k/koo uliposema kuna wengine sura zao ulikuwa huzioni
 
Nimekwambia kama wadigo wa Tanga, kama umeona wadigo wa tanga sio Waafrika kwanini tibishane kwa hilo? Sura sijui kwa sababu wanakuja kwa sura tofauti tofauti na tunapoongea mara nyingi hupenda kujiweka upande ambao hatuonani uso kwa uso. Mfano Arsis mpaka leo sijawahi kumshudia, naongea na sauti yake tu.
Simba.
Kama huwaoni sura inakuwaje unajua kama wanakuja kwa sura tofauti tofauti
 
Mbona hatuelewani,faiza fox aliongea na mtu huko juu habari za Canada ndio nikamtania kuwa ameshawahi kupanda mwewe kama.mtu kafika Canada inamaana alipanda ndege,ni utani na sio kushangaa
Labda uliandika bila kuni quote.
 
Simba naomba mshauri mume wangu cha kufanya kwenye upande wa rizki, anaweza kukaa hata mwaka mzima hajaingiza hata thumni.huu mzigo nimeubeba zaidi ya miaka 15 sasa bdo sijamkatia tamaa ila kibinadamu inachosha.....sisi ni wakristo lakini kwa maustadhi tumeenda sana na kwengine alienda mwenyewe! Hata kazi hapati wakati mwingine unaiona kazi hii hapa anafanya interview hapati. Tunajua ni uchawi na muhusika ni mtu wake wa karibu sanaa! Natamani umuelekeze afanye nini ili hii nuksi imtoke aishi km wanaume wengine japo watu wanaotuzunguka hawajui hali yake kwasbabu Mimi nafanya kazi na kuziba mapengo yote ila kuelemewa kupo kwasbabu kipato hakitoshi....natangulza shukrani zangu
 
Hatujabishana ndugu nimefanya tu hitimisho kwa kuseme tuseme ni waafrica maana swali langu lilijikita katika race in general na sio kikabila nikisema race namaanisha arab,Indian,African nk,ungenijibu tu kiafrica ingetosha kuliko kuingia hadi.kwenye udigo sikutaka hicho,kwahiyo ulivyoniambia wadigo ndio nikawaingiza kwenye kundi la waafrica na sio kubishana,nimeshangaa umekuwa mkali ghalfa
Race inazaa racism.

Huwa nakwepa sana maswali ya kibaguzi. Sasa mtu ushaona Mdigo halafu unauliza race. Chukulia alikua mzungu.
Simba.
 
Huu uzi umenifanya niwe na mtazamo tofaut kidogo na hawa wanawake na mishangazi na mabinti wanao jitanda tanda baibui au kuvaa mahijab na ma abaya..😂😂
Nimeanza kuwaona kama wana vuvuli vivuli tu vya majini kama vibuki flan hiv kila nikikutana nao, nakaa kwa tahadhari 😆😆😆.
Kuna mmoja leo chombo kikali almanusura ni make a move , ila kuona tu kavaa ushungi ,nikakumbuka hii stori nikajituliza 😅
 
Simba naomba mshauri mume wangu cha kufanya kwenye upande wa rizki, anaweza kukaa hata mwaka mzima hajaingiza hata thumni.huu mzigo nimeubeba zaidi ya miaka 15 sasa bdo sijamkatia tamaa ila kibinadamu inachosha.....sisi ni wakristo lakini kwa maustadhi tumeenda sana na kwengine alienda mwenyewe! Hata kazi hapati wakati mwingine unaiona kazi hii hapa anafanya interview hapati. Tunajua ni uchawi na muhusika ni mtu wake wa karibu sanaa! Natamani umuelekeze afanye nini ili hii nuksi imtoke aishi km wanaume wengine japo watu wanaotuzunguka hawajui hali yake kwasbabu Mimi nafanya kazi na kuziba mapengo yote ila kuelemewa kupo kwasbabu kipato hakitoshi....natangulza shukrani zangu
Pole sana.

Ushauri wa kwanza ni ibada na nyote kuacha maasi.
Simba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom