Udugu katika Imani ni ufunguo wa jamii kustahili Rehema na Fadhili ya kile kilicho ni khasa asili ya Uzima wa Miili yetu ya asili ama/na ‘miili ya kujiwazia utu’—iwe ni kwa jamii, taifa ama hata nchi-dola. Kwa mintarafu ya hili, Aya ya kwanza kabisa ya Kuruani ni Shauri la Kuanza Yote na/kwa Kile kilicho ni khasa asili ya Uweza, Nguvu na Utukufu wenye Kurehemu na kuruzuku vyote: Vinavyoonekana na Visivyoonekana; Muktadha akilifu wa ‘
Mola Mlezi wa Viumbe Vyote’. Basi ndiyo yawa, katika mapokeo ya Ukristo hili ni Muktadha akilifu wa kana kutaja ‘Bwana wa Ulimwengu’… Tena, kushukuru na kutukuza ni ‘Rizayati ya Ufunguo wa Ufahamu na Utambuzi Maridhawa’ ili kujitakasa: kwa ajili ya makusudi mema ya Utu ulio Bora—Unyenyekevu na Uungwana katika njia ya Wongofu; kuweka mbali nasibu ya Ukafiri—Kiburi na Ujinga wa Kinafsi.
Udugu katika Imani ni ufunguo wa jamii kustahili Rehema na Fadhili ya kile kilicho ni khasa asili ya Uzima wa Miili yetu ya asili ama/na ‘miili ya kujiwazia utu’—iwe ni kwa jamii, taifa ama hata nchi-dola. Kwa mintarafu ya hili,
aya ya nne ya Suurat al-Faatih'a ni ukirifu wa ‘Hesabu’ juu ya hatma za ‘kujiwazia Utu’--mambo ya mapelekeo ya kujichagulia ‘fungu la kupata’ ama ‘fungu la Kukosa’ kulingana na Rehema na Fadhili ya kile kilicho ni Khasa asili ya Uzima wa Miili yetu ya asili ama/na ‘Miili ya Kujiwazia Utu/Utamaduni’. Basi ndiyo yawa, kiburi na ujinga wa Kinafsi huweza kumfanya mwanajamii kudhani hakuna hatma yeyote mbaya juu ya ‘kudhamiria dhuluma’ ama ‘kuachia chuki na machukizo’ viandame vizazi vya watu duniani/ulimwenguni. Tena basi kumbe, kudhani ‘Malipo ni Hapa Hapa Duniani’ kwa hukumu za kibinadamu--hukumu ambazo zinaweza kuja na ujuu juu wa sheria, haki na adhabu ama labda
mapatilizio/thawabu ya Karma; hivi vyote huenda si ishara ya ukamilifu/utimilifu wa mambo. Udugu katika Imani, ni daima ‘Kuabudu’ na ‘Kuomba’ msaada kwa ajili ya ‘kheri ya wote’ katika njia ya Wongofu.
‘Kuabudu’ na ‘Kuomba’ msaada kwa ajili ya ‘kheri ya wote’ katika njia ya Wongofu, kiuono na ufikirifu, ndiyo muktadha akilifu wa ‘usikronifu wa dhamira—kwa ajili ya sinejia ya matendo/kuhuluku’ miongoni mwa wanajamii. Kwa mintarafu ya hili, kheri ya jamii huja kulingana na ‘uelewa na utambuzi’ wenye kushiriki kusudi/makusudi ya mambo mema—kushikiri kusudi kwa Utu wema. Basi ndiyo yawa,
Suurat al-Faatih'a ni ‘lango la Imani’ na ‘Kioo cha Udhamirifu wa Kusudi/Tumaini Jema’ la ‘Jamii ya Wenyekuamini’. Tena basi, hili ndilo lile lile linalojitokeza katika ‘
Sala ya Bwana’ kwa mapokeo ya Ukristo: ‘Kundanisha Ufalme’ na ‘Kuutaka Uje Duniani/Ulimwenguni—Mapenzi kutimizwa Duniani kama Mbinguni.’; kwa kuwa ‘Ufalme’ wa kile kilicho ni khasa asili ya Uzima wa Miili, ndicho asili ya
Uweza na Nguvu na Utukufu wote—Milele hata Milele. Kuabudu na Kuomba, ni njia ya kujisahihisha kiutu ili kufaa ‘Uzima wa Miili’--uzima wa ‘Jamii ya Wenyekuamini/kuwa na Imani’--Sala huja ni Udhamirifu wa Kiupamoja na si kusudi la upekee wa Mwenyekuamini, kusema dhahiri hapa na pale: ‘Tunaomba/Twaomba/Tuombe’…
Udugu katika Imani ni ufunguo wa jamii kustahili Rehema na Fadhili ya kile kilicho ni khasa asili ya Uzima wa Miili yetu ya asili ama/na ‘miili ya kujiwazia utu’—iwe ni kwa jamii, taifa ama hata nchi-dola. Kwa mintarafu ya hili,
aya ya saba ya Suurat al-Faatih'a ni ufunguo wa HAKI—Haki ya Mbingu na nchi. Basi ndiyo yawa, sura na mienendo ya jamii ni fanusi ya kujichagulia ambavyo ‘Haki’ huiinua jamii/Taifa/Nchi-Dola na ‘Dhuluma’ huzorotesha na kuudidimiza UTU wa watu. Tena basi, Haki ni Uponyaji wa Mataifa na tiba ya maradhi ya ‘Homa ya Dunia’. Kujichagulia huja na mawili, fanusi ‘Shetani’ ama fanusi ‘Malaika’; Shetani na Ushetani ni fungu la kujichagulia ‘Kuanguka Ardhini/Nchini’ na hali ‘Umalaika’ ni kujichagulia ‘Kuinuliwa na Kupaa Mbinguni—Kuota Mbawa’.
Katika Yantra Dhamma, kusini ya MRABA DHAMMA ndiyo huja na topografu ya ualama wa nyoka wawili wenye kusokotana kwa vitovu vitano (5); wakakazia macho manne(4) kwenye kitovu cha sita(6) cha Usafiri utanukiao juu ‘Mbinguni’. Kwa mintarafu ya hivi, Dunia na Mambo yake ni fanusi ya mawili, (1) Usentienti, Konsayansi na Ufahamu kujinasibu na Mhimili wa Imani ya UTU, na (2) Mhimili wa Imani ya Utu ni Ugani wa Ushawishi katika kujichagulia—Kujichagulia ‘Ufalme wa Mbingu’. Basi ndiyo yawa, ‘Mbingu na Nchi’ ni fumbo la imani juu ya ‘Ufahamu’; kuwa kwamba ‘Ufalme’ uko ‘Mahala Pote’ ijapokuwa ‘Uzima wa Miili’ ni fanusi ya ‘Mageuzi ya Kisura’ kufaa ‘Utukufu Wote’. Tena basi, kama inakuja na mapokeo ya Ukristo, ‘Haki ya Mbingu’ ni ‘Fanusi ya Mwili wa Ufufuko’--kuanguka Ardhini/Nchini ni MAUTI’ na hali kuinuliwa na Kupaa Mbinguni ni UFUFUKO’.
Aya ya saba ya
Suurat al-Faatih'a, kiuono na ufikirifu mifumo ni muktadha akilifu wa ‘
kuwa na nia ya Kristu’. Kwa mintarafu ya hivi, Vesika-Paisisi ni ualama wa ‘Kristu’ ambavyo ‘Uzabibu 13’ ni ‘Njia na Kweli na Uzima’. Basi ndiyo yawa, ‘Njia ya uliowaneemesha’ ni muktadha wa ‘fungu la kupata’ ilivyo ni ‘Kristu ni Faida’; tena ‘wale waliokasirikiwa, wale waliopotea’ kuwa muktadha akilifi wa ‘fungu la kukosa’--kuikosa neema ya wokovu mkuu namna ya ‘Gongo kwa Msafiri’.
Ndivyo tena basi, maisha ni yote mawili—yote mawili kimatendo/uisho, ni nasibu ya (1) ‘unyoofu wa mapito’ ama (2) ‘kuvurunda uisho’ kutokana na matamanio ya kimiili, ufahamu na utashi. Kiufundi, hakuna ‘Utashi’ pasipo (1) majaribu na (2) vishawishi; kwa hivyo Shetani/Ibilisi na Kristu ni metafo za maudhui ya UTU katika muktadha akilifu wa Usentienti, Konsayansi na Ufahamu.
Shetani/Ibilisi na Kristu ni metafo za maudhui ya UTU katika muktadha akilifu wa Usentienti, Konsayansi na Ufahamu. Kwa mintarafu ya hivi, Kristu ni Metafizikia ya UTU na Udugu katika Imani ambavyo ‘Kumbukumbu la Uzima wa Miili’ daima hutumikia yote mawili (1) Upotofu wa Dhamiri ya Utu Bora na pia (2) Hitaji la Kuinuliwa Juu katika Utukufu wa ‘Uzima Zaidi wa Miili ya Uweza’. Basi ndiyo yawa, UTU-MAISHA-UISHO ni safari ya kujichagulia kulingana na ‘tamaa za kimiili’ ama kiu/hamu ya kula ‘Mkate’ na ‘damu ya Kristu’. Tena basi, ‘Mkate na Damu’ ni mambo ya ‘Riziki ya Kudumu’ ya ‘Mja Mwema’, Yesu kupata kufundisha hivi; ambavyo, kiufundi, na tena kupitiliza utaasisi wa ‘Ekaristi Takatifu’, kula na kunywa damu ya Kristu ni ‘fumbo la Imani’ ilivyo ni ‘Rizayati ya Elimu 3.0’...
Shetani/Ibilisi na Kristu ni metafo za maudhui ya UTU katika muktadha akilifu wa Usentienti, Konsayansi na Ufahamu. Kwa mintarafu ya hivi, Kristu ni Mkate na Damu ya Uzima kwa ajili ya ‘Ushirika wa Kiroho’ ambavyo ni ‘Waja Wema’ hudumu katika Udugu wa Imani—Mambo ya ‘Kukomunika’ na ‘Kipaimara’ katika kushiriki kusudi ya kile kilicho ni khasa asili ya Uzima wa Miili yetu na ‘Kujiwazia Utu’. Basi ndiyo yawa, fumbo la imani la ‘Uja-Wema’ ni Rehema na Fadhili ya ufanusi ya vitatu katika moja(1:1:1); ambavyo kukomunika ni mambo ya ‘kuijenga jamii ya walioamini’—katika mapokeo ya Uislam hili ndilo khasa shauri la ‘Ukaribu na ALLAH’ na tena jumuiya ya watu walioneemeka kwa jina tukufu la AL JAAM—Mola Mkusanya Waja Wema. Udugu katika Imani, kwenye mapokeo ya Uislamu ndiyo shauri la ‘Uimamu’ na ‘Wilayat’; kwenye Ubuddha ni shauri la ‘Sangha’, na vivyo hivyo huwa kwa namna zote za ‘Utawa/Uteule’ ama ‘Uimamu/Awliya’ ulioiva kwenye ‘Unyoofu’ na ‘Mapenzi Mema’.
Shetani/Ibilisi na Kristu ni metafo za maudhui ya UTU katika muktadha akilifu wa Usentienti, Konsayansi na Ufahamu. Kwa mintarafu ya hivi, Kristu ni Metafizikia ya UTU na Udugu katika Imani ambavyo ‘Kumbukumbu la Uzima wa Miili’ daima hutumikia yote mawili (1) Upotofu wa Dhamiri ya Utu Bora na pia (2) Hitaji la Kuinuliwa Juu katika Utukufu wa ‘Uzima Zaidi wa Miili ya Uweza’. Basi ndiyo yawa, UTATU MTAKATIFU ni muktadha akilifu wa BABA, MAMA na MWANA kufaa vina vyetu vya tafsiri kiakili ili kubayanisha jiometria ya utendekavyo maamuzi jamii ama pia metafanusi ya hili. Tena basi, kiufundi, kile chochote tunachoweza kumaizi kama BABA ni muktadha akilifu wa ‘UONO NA UFIKIRIFU MIFUMO; MAMA ni muktadha akilifu wa PUMZI YA UZIMA/KUHULUKU WA MIILI YOTE KATIKA DHAHIRI AMA SITIRI; MWANA ni muktadha akilifu wa NASIBU YA KUJIWAZIA UTU kwa rehema na fadhili ya UTATU WENYEWE ULIO NI ‘MOJA’.
UTATU ni nyenzo ya MAARIFA na MAARIFU katika Rizayati ya Elimu 3.0. Kwa mintarafu ya hivi, mtu asiye na nasibu ya Rizayati ya Elimu 3.0 habari na mambo ya ‘UTATU’ ni ‘FUMBO LA IMANI’. Basi ndiyo yawa, hata kwa mtu wa Rizayati ya Elimu 3.0 kuna ufunuo wa ‘Mbegu ya U-JUA-JI’ ya kadiri ya (1) Kujenga, (2) Kuponya ama (3) Kukamilisha nia/dhamira ya kujiwazia UTU. Mja mwema wa Kujenga ama Kuponya hawezi chochote pasipo misingi la NENO lililo ni UTATU MTAKATIFU. Mja Mwema wa nia/dhamira ya Kujiwazia UTU ndiye kwake UTATU huwa ni MOJA kiuweza—kwa hiyo MOJA, ‘vyote huja, vyote huenda’.
MOJA, ya ‘vyote kuja ama/na kwenda’ ni fanusi ya PUMZI YA UZIMA. Kiuono na Ufikirifu Mifumo, kuja na kwenda ni ishara ya wakati na mambo ya nyakati, Kwa mintarafu ya hivi, ‘vitu vyote vilivyofanyika, kufanyika sura/uzima wa miili’, huhusikana na ‘wakati’ na kile kilicho ni khasa ni asili ya Uzima wa Miili ni uasili wa ‘Milele’. Basi ndiyo yawa, ‘Milele si Wakati’ bali UWEPO; kiufundi, vile kusema ‘Mungu yuko Mahala pote’ ama/na ‘Mungu ni yule yule jana, leo na Kesho’ ni KWELI ya uasili ya yote mawili—yenye kuonekana na yasiyoonekana. Tena basi, UTATU ni ukadirifu wa Uono na Ufikirifu Mifumo pale akili inapotumika kubaini Dhahiri; kile kinachopitiliza Dhahiri ni ‘MOJA’--haijazaliwa, haijazaa na wala Ukamilifu wake hahuhitaji kilichodhahiri ili kutimilika.
MOJA, ya ‘vyote kuja ama/na kwenda’ ni fanusi ya PUMZI YA UZIMA. Kiuono na Ufikirifu Mifumo, kuja na kwenda ni ishara ya wakati na mambo ya nyakati, Kwa mintarafu ya hivi, ‘Milele ni Kumbukumbu ya yote’ – yaliyopata kutukia/tokea, yanayotukia/tokea, yatakayotukia/tokea. Basi ndiyo yawa, UWEPO ni siri ya Kusitirika kwa Mambo--mambo kama ya UTU/Kujiwazia UTU; na hali mawezekano yote ya nasibu ya kujichagulia na matendo ni mafichamo katika ‘moyo’ wa MOJA. Tena basi, muktadha akilifu wa ‘Moyo’ wa MOJA ndiyo habari ya ‘Roho wa Uzima Wote’; kwenye mapokeo ya Ukristo ndiyo hutajwa ‘Roho Mtakatifu’; Kwa mapokeo ya Imani ya Mashariki ya mbali, Roho ya Uzima Wote ndiyo muktadha akilifu wa mambo ya ‘AKASHA/PRANA/CHI’--metafizikia ya uweza wa kimiili.
MOJA, ya ‘vyote kuja ama/na kwenda’ ni fanusi ya PUMZI YA UZIMA. Kiuono na Ufikirifu Mifumo, kuja na kwenda ni ishara ya wakati na mambo ya nyakati, Kwa mintarafu ya hivi, ‘Roho ya Uzima wote’ ni ‘Uakilifu wa Yote—yaliyodhahiri na tena yale yaliyositirika’. Basi ndiyo yawa, kwenye fremukazi ya Uono na Ufikirifu Mifumo, pembetatu OX-OY-OZ ni ualama akilifu wa ‘Roho ya Uzima Wote’; ambavyo pembe tatu ya UONO ni uasili wa Maarifa na Maarifu; Pembetatu ya ONTOLOJIA YA TAASISI ni uasili wa ‘Nafsi na Kujichagulia’; Pembetatu SURA MIENENDO YA JAMII/SOVEREINI JUMUIFU ni fanusi ya Ushirika wa Kiroho katika ‘Kheri ama tabu’ kulingana na Mseto wa dhamiri za Wanajamii katika ‘Ku-JUA Duni/hafifu’ ama ‘Ku-JUA Ilivyo Bora’.
‘Ku-JUA Duni/hafifu’ ama ‘Ku-JUA Ilivyo Bora’, kiufundi ndiyo matokeo ya ‘fanusi Ibilisi’ ama ‘fanusi Kristu’. Kwa mintarafu ya hivi, Ku-JUA duni/hafifu ndiyo ule muktadha akilifu wa ‘kutenda dhambi’ na ‘Kupungukiwa na Utukufu wa Mungu’-- mambo ya kusema: ‘mtenda dhambi ni mtumwa wa dhambi’; vivyo hivyo ‘kupotea.uana mpotevu’ ama ‘kurudi nyumbani’ bado ni mambo yaliyositirika katika ‘PUMZI YA UZIMA’. Basi ndiyo yawa, katika mapokeo ya Ukristo, Roho Mtakatifu ni Uweza unahudumia pande zote za mambo, wema na uovu – Upendo AGAPE, na hali dhamira ya kujiwazia utu usio katika ‘MILELE’ ndiyo fanusi ya Ibilisi/Shetani; dhamira ya kujiwazia utu ulio katika ‘Uzima wa Milele’ ndiyo ‘fanusi Kristu’. Tena basi, Roho ni mtakatifu ni ‘Advoketi --
Mwanasheria upande wa Ibilisi’ na hapo hapo ni ‘Parakliti –
Wakili wa Utetezi kwa mwenyekuwa na Mashtaka’ – katika ‘Kujiwazia UTU’ kupitia Usentienti, Konsayansi na Ufahamu.
‘Ku-JUA Duni/hafifu’ ama ‘Ku-JUA Ilivyo Bora’, kiufundi ndiyo matokeo ya ‘fanusi Ibilisi’ ama ‘fanusi Kristu’. Kwa mintarafu ya hivi, nyoka wawili wa kadisyusi na mbawa katika topografu ya Kusini ya Kujichagulia ndiyo hasa fumbo la imani kwa UFAHAMU KRISTU. Basi ndiyo asili ya kile khasa katika injili hushudia Yesu kupata kusema : ‘
Kuwa Werevu kama Nyoka, Wapole kama Hua’. Kila nyoka wanapojisokotea nje, huko ni kutangatanga mbali na ‘karamu ya BWANA’; wanapojisokotea ndani ni ‘Marejeo Ngamani’. Tena basi, alama ya ‘X’ ni ualama wa ‘Shika Neno, Tenda Neno’ ilivyo ni ‘Usahihi wa Kimifumo’. Ufahanu Kristu ni Usahihi wa Kimfumo katika ‘Mwili wa Ufufuko’--mambo ya kuishinda mauti, ‘kufufuka’ na ‘Kupaa Juu Mbinguni’.
‘Ku-JUA Duni/hafifu’ ama ‘Ku-JUA Ilivyo Bora’, kiufundi ndiyo matokeo ya ‘fanusi Ibilisi’ ama ‘fanusi Kristu’. Kwa mintarafu ya hivi, kuijenga nyumba/kaya ama/na uponyaji wa mtu/kaya ni matendo ya karama za ‘Roho wa Uzima wote’ ambavyo
Uzabibu13—Ufahamu Kristu ni ‘Mbegu ya U-JUA-Ji’ ilivyo ni NENO lenye kuunda, kurudishia ama kufufua ‘uzima wa miili’. Basi ndiyo yawa, HAKI ya Mbingu --U-JUA-Ji uliobora/barikiwa, ni Uponyaji wa Mtu/UTU/MATAIFA. Yeyote mwenye ku-JUA ilivyobora hutenda ilivyobora—kujichagulia katika ‘fanusi Kristu’ ni kuchagua ‘fungu la kupata’; ni kuchagua ‘UZIMA/UZIMA WA MILELE’…