Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Mkuu Arsis, mimi ninaye Dada yangu anateswa na tatizo la kuanguka kifafa.

Tatizo hili limemuanza akiwa mkubwa. Kwa maelezo yake yeye, anadai kuna siku alikuwa anafua nguo zake huko ziwani akatokea ndege jamii ya mwewe akampiga na mbawa zake!
Akawa ameanguka na akapoteza fahamu!

Sasa tangu siku hiyo, tukio la kuanguka na kupoteza fahamu limekuwa likijirudia. Ni zaidi ya miaka kumi sasa Dada yangu anateswa na hii hali.
Tumezunguka sehemu nyingi kutafuta tiba ya ndugu yetu lakini hali hutulia kidogo lau kwa miezi miwili tu lakini wa tatu ataanguka tena...!

Hali hii inamnyima raha Mama yetu. Make hakubali mwanae aishi katika haya mateso. Bado hachoki kutafuta tiba...!
Sisi kama familia tulimshauri apumzike tu amwachie Mungu make uzee nao ushaanza kumsumbua, amebaki kutulaumu kwamba tumemtelekezea mwanae...!

Mkuu nimekuja kwako. Nakuomba utusaidie kumtibu dada yetu aondokane na haya maladhi na Mama yetu apate kutulia.
Kwa sasa yupo Mwanza ila kama inabidi kumsafirisha sisi tupo tayari.
Msihangaoike sana, hilo tatizo dogo sana. Aende hospitali. Kifafa kinatibiwa au kuzuiliwa na kidonge kimoja tu kwa siku, tena kidogo sana na wala hakina side effects za kumstua mtu mzima.

Aanze kukutumia hivyo bila kuacha baada ya mwezi uje kutupa jibu hapa, hali inaendelea au vipi? Tutazama mengine ya kufanya.

Samahani nilikua sijaliona hili swali kabla ya leo.
Simba.
 
Halipo kwenye Qur'an. Hapo ni kama unasewma nikwambie Adam sio mtu wa kwanza kuumbwa duniani, wakati hajasemwa kua mtu wa kwanza kuumbwa duniani.

Taweheed ni nini zaidi ya uzushi, ni ubunifu wa watu tu. Hata maana ya hilo neno amabalo halipo kwenye Qur'an umedanganywa. Maana ya yawheed nijuavyo mimi ni kukusanya vitu kiwe kimoja, kama mzigo wa kuni, una kuni nyingi zikikusanywa, zinaitwa kuni vile vile., lakini kuna msobaro humohumo, kunwa mwenbe, kuna mkorosho.

Sasa nyie mmekusanya nini kuifanya Tawheed?
shida yako ni NENO TAWHEED au yanayofundishwa ndani ya tawheed?
 
Halipo kwenye Qur'an. Hapo ni kama unasewma nikwambie Adam sio mtu wa kwanza kuumbwa duniani, wakati hajasemwa kua mtu wa kwanza kuumbwa duniani.

Taweheed ni nini zaidi ya uzushi, ni ubunifu wa watu tu. Hata maana ya hilo neno amabalo halipo kwenye Qur'an umedanganywa. Maana ya yawheed nijuavyo mimi ni kukusanya vitu kiwe kimoja, kama mzigo wa kuni, una kuni nyingi zikikusanywa, zinaitwa kuni vile vile., lakini kuna msobaro humohumo, kunwa mwenbe, kuna mkorosho.

Sasa nyie mmekusanya nini kuifanya Tawheed?
Tawheed maana yake nishakuelezea sasa kama watu kujifunza upekee wa ALLAH kuzijua sifa zake ili wajiepushe na shirki ni uzushi basi kila kitu kitakuwa uzushi kwenye dini.
Jifunze kwa nidhamu ndugu usije kukufuru elimu inataka utulivu mkubwa.
 
Allah hadithi zkae zipo ndani ya Qur'an, za nje ya Qur'an sio zake. Usisahau.

Unajua Qur'an ina hadithi na visa zaidi ya 60% ndani yake?

usiwe na jazaba ukaanza kuchanganya mada. Mada ulioianzisha wewe ni tawheed.
Simba.
Kuna kitu unajichanganya ndugu uliwahi kuulizwa hapa unavyosali magharib rakaa 3 wapi quran imesema uswali rakaa 3? hukujibu embu fikiria huu mfano utapata jibu ya kinachokusumbua.
 
kama uunakiri hakuna, kwanini hufundishi yaliomo? Unajua elimu za kufundisha ni zipi, ziliomo kwenye Qur'an?

Nakuhahakishia hutayamaliza kabla hujabuni mapya yasiokuwamo.
Simba.
Kama unataka kujifunza twende taratibu ni jibu swali langu shida yako ni nini kati ya neno tawheed na yanayofundishwa ndani ya tawheed?
 
Kuna kitu unajichanganya ndugu uliwahi kuulizwa hapa unavyosali magharib rakaa 3 wapi quran imesema uswali rakaa 3? hukujibu embu fikiria huu mfano utapata jibu ya kinachokusumbua.
Sala na na mada ulioianzisha ya neno Tawheed vina husiana nini?
Simba.
 
Sala na na mada ulioianzisha ya neno Tawheed vina husiana nini?
Simba.
unakimbia eeeee ha ha ha ..ni mfano jibu mbona huwa nakujibu mara nyingi tu Arsis alitoa mfano wa mbu hatukumuuliza mfano wa mbu na adam vina husiana nini? unajua kwanini sikumuuliza ? kwasababu najua mifano ndio njia bora ya kujifunza.
nadhani kupitia mfano huo ushapata majibu haya unaswali lingine ?
 
Nipo hapa kutoa elimu, futa kabisa neno kukimbia katika ufahamu wako unapojadili mada na mimi. Mimi napenda sana "challenges" nsdio maana mara kwa mara nasisitiza, kila mmoja aseme anachokijua yeye kwa namna yake,mimi nafahamu ndio fursa hio ya kumuelekeza niavojua mimi, mwisho wa siku ni yeye na nafsi yake au akubali elimuanayoipata au akatae.

Arsis hakutoa mfano wa mbu, ametoa aya ya mbu iliopo kwenye Qur'an. Tena bado hajamaliza kuielezea. Nalifahamu sana hilo la mbu, ni mada nzuri na ndefu, kila Muislam anatakiwa aelewe kwanini kuna aya ya mbu mwanzo mwanzo tu wa Qur'an? Inamaanisha nini?

Mfano upi huo? Sijakuelewa.
Simba.
 
Wewe usilolielewa uliza tu, dini zinahusiana na mapepo, majini, mashetani na yanyaohisiana nayo, huwezi kuvitenganisha.
Simba.
Sina swali lolote siamini dini yoyote lakini naamini Mungu yupo
 
Nipo hapa kutoa elimu, futa kabisa neno kukimbia katika ufahamu wako unapojadili mada na mimi. Mimi napenda sana "challenges" nsdio maana mara kwa mara nasisitiza, kila mmoja aseme anachokijua yeye kwa namna yake,mimi nafahamu ndio fursa hio ya kumuelekeza niavojua mimi, mwisho wa siku ni yeye na nafsi yake au akubali elimuanayoipata au akatae.

Arsis hakutoa mfano wa mbu, ametoa aya ya mbu iliopo kwenye Qur'an. Tena bado hajamaliza kuielezea. Nalifahamu sana hilo la mbu, ni mada nzuri na ndefu, kila Muislam anatakiwa aelewe kwanini kuna aya ya mbu mwanzo mwanzo tu wa Qur'an? Inamaanisha nini?

Mfano upi huo? Sijakuelewa.
Simba.
Namaanisha ulikuwa unakimbia hoja yangu na mfano niliokupa sio kukimbia mada.
Kwa maana wewe siunataka mpaka kitu kitajwe kwenye quran ndio nimekupa mfano wa sala ya magharibi ni rakaa 3 na hazijtajwa kwenye quran ila mbona tunasali point yangu ni kuwa ukitaka kila kitu kitajwe kwenye quran utakuwa unapinga vitu kwa kigezo tu hakijatajwa bila kuangalia undani wake na usahihi wa kinachoelezwa.
Sasa kwakuwa ulikuwa unajificha kwenye kichaka cha mpaka quran itaje ndio jambo kwako linakuwa sahihi nikaona nifyeke kwanza kichaka hicho kisha ndio tuendelee.
Sasa baada ya kufyeka kichaka ulichokuwa unajificha turudi darasani sasa, Shida yako hasa nini ? Je ni neno tawheed au yanayofundishwa ndani ya tawheed.
 
Wataalamu kwema jamani, hivi kuna dawa ya kuondoa chumvi kwenye kisima cha maji?
hakuna dawa hio, utaibiwa. Kuna mashine, inafanya reverse osmosis, hio unainunua kwa kiasi cha lita unazotaka kusafisha kwa siku.

Ni nzuri sana tena sana ni teknolojia tu. Inakutolea maji safi unaoweza kunywa hata ya shimo la choo.
Simba.
 
Msihangaoike sana, hilo tatizo dogo sana. Aende hospitali. Kifafa kinatibiwa au kuzuiliwa na kidonge kimoja tu kwa siku, tena kidogo sana na wala hakina side effects za kumstua mtu mzima.

Aanze kukutumia hivyo bila kuacha baada ya mwezi uje kutupa jibu hapa, hali inaendelea au vipi? Tutazama mengine ya kufanya.

Samahani nilikua sijaliona hili swali kabla ya leo.
Simba.
Mkuu hivyo vidonge keshatumia sana!
Tulimpeleka BUGANDO akaanzishiwa hizo dawa lakini baada ya kuvitumia kwa muda mwingi, mgonjwa alianza kukonda sana japo kweli hali ya kuanguka ilikoma, kama familia tulimwonea huruma tukamsitishia hizo dawa.

Sasa tangu tumstishie dozi, hali yake inasikitisha sana na inatia huzuni kumwona akiteseka ilhali sisi nduguze tungalipo!

Fanya mpango mkuu ndugu yetu apate kuondokana na hii hali.
 
Kwa hiyo Waarab ndiyo majini yenyewe na ndiyo maana Waislam pekee ndiyo wanakuwa na majini, si ndiyo? Sijawahi ona mtu aliye safi wa kiroho akawa na majini ni waislam tu pekee. Waafrika tunapigwa changa la macho hapa, tuwaachie Waarab na majini yao.
Nenda rukwa ndio utakua nenda kwa wakinga huko makete Kama utawaona waislamu alafu ulizia majini tembeeni sio mnaishi kwa shemeji zenu tu huko BUZA
 
hakuna dawa hio, utaibiwa. Kuna mashine, inafanya reverse osmosis, hio unainunua kwa kiasi cha lita unazotaka kusafisha kwa siku.

Ni nzuri sana tena sana ni teknolojia tu. Inakutolea maji safi unaoweza kunywa hata ya shimo la choo.
Simba.
Oya simba weekend hii shusha vitu!!

Au ndio uko bize na magari yako gereji
 
Mkuu hivyo vidonge keshatumia sana!
Tulimpeleka BUGANDO akaanzishiwa hizo dawa lakini baada ya kuvitumia kwa muda mwingi, mgonjwa alianza kukonda sana japo kweli hali ya kuanguka ilikoma, kama familia tulimwonea huruma tukamsitishia hizo dawa.

Sasa tangu tumstishie dozi, hali yake inasikitisha sana na inatia huzuni kumwona akiteseka ilhali sisi nduguze tungalipo!

Fanya mpango mkuu ndugu yetu apate kuondokana na hii hali.
Mlimsitishia dawa kwa ushauri wa daktari au mliamua wenyewe tu?

Kama mliamua wenyewe kosa, nawashauri mrudi kwa daktari muanze tena dozi, hilo la kukukonda mngelirudish kwa daktari kabla hamjachukua uamuzi.

Subiri nikufahamishe kitu; Ugonjwa wa kfiafa upo kwenye ubongo, ubongo unakua kama umepigwa shoti fulani ya umeme, tiba yake ni hio ya muda mrefu, ukiiacha unarudi. Wachache sana huwaondoka kabisa hio hali. Sasa ile shori kwa kua ni ua umeme wa chini sana, haiwi kama umeme wa tanesco, ikikupiga badala ya kuyaona haya tunayoyaona, ubongo unaleta majegajega kwa wengine, zinafumuka memory mbalimbali, hata huyo kunguru pengine hakuwepo ni ubongo tu unafanya majegajega.

WaathirikahHuwajia mambo tofauti tofauti, ambayo mimi nayaita majegajega, . Sayansi unalijua hilo tatizo, hakuna siri, mpelekeni hospitali. Siku hizi kuna vipimo wanajua mpaka kwenye athari ni wapi.
Simba.
 
Oya simba weekend hii shusha vitu!!

Au ndio uko bize na magari yako gereji
Vitu vitakuja usijali, gereji siku hizi kuna vijana wanafanya, mimi nawaelekeza tu, mdio maana unaona saa zote nikiwa na nafasi napandisha vitu.
Simba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom