Vionjo vya Arsis 5-12 Majini ya Kibuki - Unguja.
nilivyokutanishwa na majini ya Kingazija (Comoros) na Kipemba Kojani.
Tukaagana pale, tukatoka mimi na kijana wa Sheikh alienoleta na K mumewe Bi S tukatoka nae.
K. Siku nyingine Simba ukija na gari tutakufungulia uiweke ndani, si unaona ndani nafasi kubwa sana, hata gari ishirini zinaingia na nafasi inabaki.
Mimi: Nimeona, ahsante.
K; Bi S, inaonesha mnaelewana sana, mimi sijawahi kukuona hapa.
Mimi; Anaelewana nawazazi wangu.
K; Mtu wa wapi wewe Dar?
Mimi; Ndio.
K haya jamaa karibuni sana, hiuyo mwenzako maaruf sana, tunajuana miaka mingi, tokea mjoini huko mambo ya kibaharia.
Tukaondoka.
Kijana; Huyu mzee kamal alikua bahjaria miaka mingi, yule Bi S mumewe alikua jamaa mmoja, sasa hivi mtu mzima, mtu wa UWT, alikua bpodigadi wa mzee karume, sema baadae yeye akapewa awe nao huyu Amani na Ali, ndio alikua akifatana nao sana zamani.
Mimi" Wewe umejuaje?
Kijana: Hizo story mimi kwa umri wangu nimehadithiwa lakini Unguja hii hakuna asiejua ya hawa watu maarufu, Ungujs Simba sote twajuana. Hata nikipika nini leo mji utapata habari. Si unaona mfano wewe mgeni wa Sheikh na tupo pamoja na mimi, wagtu washajua mpaka gtunapoenda. Ndio Unguja hii Simba, watu hawana kazi za kufanya, kazi maneno maneno tu. Huyo Mzee maarufu sana,ukitaka hata leo tunakwenda kumuona, siku hizi ana ofisi pale Hoteli ya Bwawani. Sasa Simba mtu amabe haupo matawi unafikiri utapata kupewa ofdisi opale?
Mimi; Kweli, nimekuelewa. kwa hio Kamal, mume wa pili?
Kijana; Ndio, tena siku nyingi ana watoto nae, sijiui wangapi. Na huyu mama Mwenyewe hizi shughuli zingine anazuga tu, huyu lazima ni hjaohao watu wa siri wa serikalini. Hakuna asiemjua huyu Bi S. Unguja hii, hata huko bara anajulikana, vibuki wapo mpaka huko, huwa wale matajiri wenye vibuki wanamleta huko. Unaambiwa hakuna jini mwenye gharama zaidi yake na walionao wakiwapa ada zao na wao wanazidi kutajirika. Vipi, Simba na wewe unae nini?
Mimi; Hapana, babako anataka nitembee niijue dunia labda anataka nijuane na watu maarufu hawa.
Kijana; Baba ndio zake hizo, ngoja wewe, akikupenda atakujullisha wazee wote wa baraza la mapinduzi toka la mwanzo lile, waliopo hai, mpaka wa sasa wanamjua, wazee wa zamani hawa.
Mimi; Safi sana.
Tukafika kwao, tukapiga [oigs story tukaend akusali Ijumaa, tulipomaliza, tukarudi kula kwao na wageni wageni wengine. Pamechangamka, tukajulishan pale, mimi nikapiga simu niletewe gari ya hoteli, nisimuangaishe kijana wa babu.
Nikwamuaga Sheokh pale, akasema unaenda wapi, kaa utaenda jiponi. Nikamwambia hii biriani ulionilisha leo, inanitia usingizi, wacha nika[u,mzike, tutaonana kesho, leo nitatembea mitaa ya kule kule jirani na hoteli.
Sheikh; Sawa, ukitaka kwenda mahali huna haja ya rukhsa yangu, kijana mwenzako mshazoeana sasa, mwambie tu wakati wowote.
Mimi; sawa, wala asihangaike leo, nimeshaagiza gari ya hoteli, mwache na yeye apumzike, biriani heavy hili.
Sheikh; Kwanini unajitia hasara bwana, gari zao ghali sana ukizitumia.
Mimi; Usijali, ni ofa hii, silipii.
Sheikh; Sawa bwana. Sisi tupo kwa ajili yako.
Nikatoka, kijana akanitoa nje, trukakuta gari ya hoteli imeshafika, wanajuana na dereva wakaongea pale tukaondoka.
Dereva: Bro bahati sana mimi nilikua bandarini nilipopigiwa, hakuna abiria, nikaona niwahi kuja kukuchukua.
Mimi: Ahsante.
Tulipofika hotelini nikaenda zangu chumbani moja kwa moja, kwanza nikapumzika, usingizi mzito ukanipitia kustuka 12 na jioni. Nikaamka nikakoga koga pale, nikaona kahawa wacha nikanywe nje huko, kwenda kunywa kahawa mara Meneja na yeye kaja. Tukakaa nae tunakunywa kahwa wote.
Meneja; Vijana washakujua hoteli, wananambia ndugu yako yuko huku anakunywa kahawa, ndio nimekuja.
Mimi; Ahasangte, nisikuharibie kazi zako, mimi nipo OK kabisa.
Meneja; Hapana, mimi nilikua natembea tembea, kuna wageni kutokea Dar kina mama wawili tunawategemea.
Mimi; Wagtanzania au wageni wa nje?
Meneja: Watanzania, jamaa zangu kwa mbali hao, unajua mimi mngazija. Na wangazija sote ndugu kwa namna moja au nyengine. Kuna Watanzania wanafikia sana hapa, sio wageni wa nje tu, bei zao kidogp zinatofautiana na wa nje na Watanzania wanalipa kwa shillingi wageni wa nje mara nyingi wanakuja package yao wameshalipi hukohuko kwa ma agent wao, hapa wakitumia vitu extra tu amabavyo havipo kwenye package. Mfani wana ziara ya kwenda na kurudi mjini huko mara mbili kila siku, moja day time moja night time, hii ya usiku inakwenda forodhani, hii inatusaidia sana sisi kupunguzaa gharama.
Mimi; Kwanini? kwa sababu sisi hapa tunakua tayari gharama mpaka za kula asubi, usiku na mchana, sasa wakienda stone town wanakula huko wengi wao hawali tena hapa, inakua tumeshusha gharama sana.
Mimi; Oooh, nimeelewa.
Meneja: hapa mimi kazi yangu kubwa ni kuhakikisha nashusha gharama za matumizi ya hoteli bila kiushusha ubora, ndipo faida kubwa itaonekana.
Meneja; hawa kina mama wa Kingazija wana mila na ada zao, ukiwaona wanakuja ujue kuna sherehe yao. sherwhe yao mara nyingi hua Jumamosi, na hawa watakuepo siku tagtu hapa, leo, keshoi na keshokutwa lazima wana sherfehe yao.
Mimi: Wewe umeshaona sherehe zao?
Meneja: Utotoni tu, ukianza kukua kua huruhusiwi kabisa mwanamme, hta ufanye nini. mambo yao ya mashetani shetani.
Mimi; Kwanini wanagfanya siri?
Meneja: hata sielewi wala sitaki kuelewa, hayo y mashetani ni hatari sana, samahani Simba, mimi hata kuyataja naogopa, bituko walivyokua wanagtufanyia hapa Hoteli? Mimi isingeaku Babu yako nilishasema na kwenda kujaribu mara ya mwisho, mambo hyakiendendelea nawacha kazi hapa natafu mengine ya kufanya.
Mimi; Ilikua serious sana?
Meneja; Ngoja nikshawapokea wageni wakitulizana niakupa stoiry, yetena itakua voizuri maana mengine hata babu yako nilikua sijamuelezea. Kwa hio wewe sikufichi kitu, niahidi utamfikishia babu yako.
Mimi; Si yamekwisha?
Meneja; Nashukuru yamekwisha lakini ngoja nitulizane nitakuja kukuhadithia au unatoka?
Mimi; Niende wapi usiku huu?
Maeneja: Aaah kuna disko hapa hotelim na kuke nbeke kidogo kuna disko, sema hili la hapa liko kule uoande wa pili, hili letu limechangamka sana, mimi nilifanya mpango na wenyeji wawe wanakuja, lakini soi wote wale wenye poesa zao tu, ili isiwe fujo. Tembelea huko usiku pazuri sana, utapenda, utapata kuiona Unguja by Night, utakuta wagtoto wa Kiunguja wale nyumba za kitajiri wanakuja kujirusha, wale awa kufugwa kama majini.
Mimi; Unanitamanaisha.+Meneja,; Huko kuanzia saa sita usiku moaka saa kumi alfajiri ndio kumekucha, kabla ya hapo wageni wageni tu wazungu, kwa kua linaanza saa tatu usiku. Mimi huwa natembelea huko kutazama tazama kama wageni zangu wapo salama na huduma zinapatikana bvvizuri.
Mimi: Nitatizama, kama sijachoka nitaenda nikajionee badala ya kuhadithiwa.
Tukaagana pale meneja akaenda zake, nikapiga kahawa yangu tena nikarudi chumbaini kwangu. Nikawaza, nikajua meneja hajaeewa kua na mimi nipo kwa ajili ya huyo kibuki.
Nikampigia babu, baada ya kusalimiana.
Mimi: babu leo nimemuona bi S wa kibuki. Nikamwelezea babu yote niliokumbana nayo
Babu: hayo muulize Arsis atakueleza, mimi naamini hakuwepo Simba hapo, hao hawawezi hata kuja, kwani tunamikata nao tayari lakini muulize Arsis.
Mimi; Sawa, nikamuelea nilichoongea na Meneja. Babu akacheke sana.
Babu: Mimi siku na haja ya kumsikiliza mengi, wewe msikilize kijana mwenzio huyo. Mimi nilijua likimalizwa tatizo moja yote yatakwisha, aliemaliza tatizo huko Bakora, kwa majani na mitishamba yake tu. Na mimi Alhamdulillah nilisoma sana Qur'an, imekua kubuli.
Mimi; Okay, najua nani atanipa mkasa wote.
Babu; Vipi lakini unaonaje tripu yako?
Mimi; Mpa sasa poa.
Babu; Utai[enda tu Unguja, anagalia usibaki huko, akacheka.
Mimi: Mbina unanitisha babu?
Babu; Sikutishi wenyewe wana msemo wao wanasema, Unguja ni njema atakae na aje.
Mimi: babu kwaheri.
Tukaagana pale.
Simba.
...13
Nikaingia chumbani kwangu nikakoga koga nikavaa kashual tu ile sijatoka Simu ikaita, kupokea Jini 1. Tukasalimiana pale.
Jini1; Simba leo umekua mtu mkubwa sana Unguja.
Mimi; Kivipi tena?
Jini 1; Utaogopewa Unguja nzima, wewe utanambia. Ngoja kesho kutwa, utanambia.
Mimi; Kwanini?
Jini 1; Wewe huoni jinsi mkubwa wa vibuki vya Ndama Mulaki alivyokunyenyekwea?
Mimi; Akiona kuna simba, nilikua nataka kumuuliza Arsis hilo.
Jini1; Wala haina haja ya kumuuliza Arsis, yeye anasikia maonhgezi yetu. Kwanza mimi sikukupigia kwa hilo. Lakini kwa kua tumeshalianza nakuja kwako, nije?
mimi; Njoo.
Hata sekunde haijachukua mlango ukagongwa, kufungua Jini 1 kafungua ananukia udi halafu kapendeza huyo kavaa na abaya.
Mimi; kwema?
Jini 1; Kwema, mambi ya Unguja haya, ukiwa Unguja lazima uwe Muunguja, kwani nimechukiza?
Mimi; umependeza lakini wewe sura yako hutaki niione mika yote, kwanini?
Jini1; Wewe nae huchoki kuniuliza hilo, achana na hilo, mie ukiniona utakua hunikaribushi kwako au utakua hutaki nindoke.
Mimi: haya nambie kilichokuleta.
Jini 1: Kwanza ngoja tumalize swala la leo kwa Bi S. Bi S, kulikua hakuna simba wala jinni la Simba. Bi S. kawekewa picha tu kwa teknolijia ya kisasa, ile niliwahi kukwambia sijui Arsis anitaje na kizungu chenu. Hio hata wewe Simba huipati hio, sisemi mengi.
Sasa ile picha ya Simba aliwekewa na wewe ulipokua unaongea alipopandisha yeye, na jini lake likaogopa sana, wanamjua Simba, tena huyo aliewekwa picha kwako ndio baba lao. Ndama akaogopa akawa na anamwalaumu sana Bi S, kafikia mpaka kumwambia siku nyingine ukimakribiusha mtu mkubwa namna hii lazima tujue iki tumkaribishe kwa hadhi yake. Usirudie tena, lazima apewe heshima zote Simba. Huyo ni mkubwa sana kwetu sote sisi. Kwanza kakaufanyia heshima kubwa sana kuja, huyo haji bure bure tu. Kwa hio jichunge sana na kauli zako na mambo yako kwake. Muhheshimu huo kuliko mimi.
Jini 1: hayo ndio aliambiwa Bi S. Sasa mimi hayakunileta hayo, yamenileta nikupe umbea. Wageni walikuja leo hapa Hoteli, wameshafika huko. Wanajuana na Dokta, si unajua Wangazija wote wanajuana, wao walikua hawajui kama kaja hapa, Bi S ndio aliwaambia wana shughuli ya mtu wa hukohuko kwao Dar, wakauliza nani alipowaelekeza, wakamwambia gtunamjua sana, mtoto wa fulani yule. Akawajulisha kua mwenzao ndio shughuli yake ya kwanza. Waksema hii sio ya kuikosa, huyo tuwe nae, maana hapa Dar hapatikani sana, lakini tukijuana nae huko huku sasa itkua wepesi kuwa nae karibu.
Jini 1; hayo ndio yalioongelewa, mengine umbea wa kike tu sina haja ya kukwambia.
Mimi; Sasa inanihusu nini?
Jini1: Na wewe si umbea tu, unakua unajua kinachoendelea.
Mimi; haya Ahsante kwaheri.
Jini 1; Unaona upuuzi nilichokwambia, utakuja kukifurahia siku moja. kwaheri, akafungua mlango akaondoka zake.
Sijakaa sana, simu ya hoiteli ikaita, nikaipokea.
Meneja: Njoo bwana, umeshakula?
Mimi; bado ndio nilikua nafikiri maana leo nilialikwa biriani la nguvu njimini huko.
Meneja; basi vizuri kama haujala, niliwaalika hawa kina mama waliokuja chakula cha usiku, nikaona na wewe uje mpate kujuana. Watyu wa Dar hawa, labda mnajuana. Njoo bwana ni watu muhimu sana kujuana nao, utawapenda, wachesi sana.
Mimi; basi nakuja.
Meneja; kama nusuu saa watakua washakuja, unaweza kuja mapema tukapiga stroty, watatukuta.
Mimi; Poa.
Nikaona wacha nipige simu kwa wanangu Dar maana inaweza kua usiku nikakosa kuongea nao, nikawapigia nikaongea na wofe nikaongea na wanangu. Nikampigia mother na Mzee. Nikafikiria nikampigia na mshikaji. Ile kupokea tu.
Mshikaji: Ilikua nikupigie leo hata saa kumi usiku? Nambie dokta uko poa huko?
mimi: Sijamuona lakini nategemea kumuona kesho.
Mahikji; nambie kweli, unakwenda Unguja kitu kama kile huna habari nacho?
Mimi; Sasa yule si umesema demu wako? Nikuvunjie heshgima Mshikaji wangu?
Mshikjai: Wewe mwana nakujua, huna mazzagazaga siku hizi. Ingekua enzi zako, kwani anagefika hata Unguja yule, wadamganye wengine. Ingekua sijamuona kupanda boti na wewe inhgekua sijaenda kukupeleka bandarini, ningejua saa hizi umemficha sehemu, ile hoteli yenu ya kisenge mliokwenda kukaa sabam halafu sisi washikaji wako hatukupewa kadi.
Mimi; Nimekupigia kukusalimia na kukuuliza gari yake vipi.
Msshikaji: Mwanangu, dingi wako mchaawi wa magari hakuna siju cha kkompyuta zako wala nini, tumnehangaika sisi tumesagfisha tanki la mafuta, tamki lilikua safi kama jipya, mafut asafi, filter zote mpya, tukiitest gari iko vile vile.
Mwanangu dingi wako akasema fungueni boneti, tukafungua, dah, yule mzee sijui ananusa ugonjwa ulipo? Akatazama pale akasema washa gari ile kuwashwa, akaipiga resi kwa mbele, akasema zima gari. Mwanagu yule mzee noma. Kuna kidude hichoi kina paipu ndogoi ndogo na miwaya waya, akakichomoa mwenyewe dakika sifuri tu, akkaikupiza upoanda mmoja kisha akakipyuliza upande mwingine, akasema hii mixer sensor sijui kaita jina gani pale, ndio tatizo, akanambia mimi nkamletee ile sporay haitoki juu ya meza yake,kuoleta, akakipachua akakaippulizia akasafisha vizuri, akakirudishia akaki[puliza tena, akakpachika kwenye gari, cha kupachika pahika tu, hakihitaji hata spana. Ingekua wewe pale ungeitish spana za gereji nzima. Akacheka. Basi mwanagu kupiga stati, steringi mimi hapo, gari kam mpya, unaihisi gonjwa limekwisha, Dingi akasema haya kapige raundi uje usseme kama imebadilika au bado.
Mshikaji; Mwanagu, yule dingi wacha mikampuni imeletee migari yao, wanajua yule mchawi wa magari, yule ukisafiri hulali porini.
Nkaona huyu hanyamazi leo.
Mimi; Hoyaa, kwa hio gari iko poa.
Mshikaji: tena kutoka hapo nimeifanyia mwenyewqe usafi mwanzo mpaka mwisho. Yule Dokta mwenyewe akiiona ataisahau. Halafu mwanagu si nilikwambia yule mtu wa ndumu? Kaacha vizibiti kibao kwenye eshtrei, nimekuta vipisi vitatu, vile bvua mwisho kabisa, halafu yule anaonesha anapiga kavu kavu bila miksi bila nini, vipisi vimejaa asali.
Mimi: Hoyaa, poa bas nyamaza, nilitaka kujua hilo tu. Mie kabla ya kuja nitakupigia unifate.
Mshikaji; Lini mwananhgu, unajiua Unguja vifaa vinauzwa rahisi, mwananhgu nichukulie mziki mmoja mnene, wale nyokjko pale nyumbani wananiringishiavimziki vyao, nataka wakiwasha nikiwasha wangu wote wanazima.
Mimi; Nakuahidi mioana na Dokta nakuletea mimi zawadi ya mziki, lakini wewe si Sheikh siku hizi mziki mnene wa nini?
Mshikaji: Ule niwazime wale tu kelele zao, tutasikiliza Qur'an mule saa zote.
Mimi; Kwa heri. Nikajiweekaaweka swa nikatoka kwenda kwenye msosi.
Nikamkuta meneja, yupo nje ya chumba cha msosi, boitra umeytokea wewe kwanza, hawajafika bado, lakini hawachelewei, ilikua waje dakika 15 nyuma, mara ananamibia hao.
Meneje; Karibuni, karoibuni utafikiri mmeambizana na Simba hapa. Huyu ndie niliwaambia na yeye katokea Dar. Anaitwa Simba, Simba huyiu Bi H na huyu Bi H, wote majina yao yanaanzia na H lakini ni majina tofauti, nitawaita Hw na H2.
H 1: Jina lako linatisha, Simba wapo ngorongoro huko.
Mimi: usiotishike ni jina la ukoo tu, jina langu noi...
H2: hilo Simba ndio zuri zaidi, nimelipenda.
Meneja; Mimi nilichagua tukae pale te)wendeni, najua myatapapenda, alichagua meza amabyo unakiona chumba kizima cha chala.
Tukaenda kukaa pale akaja mhudumu akaleta menu.
H1; Weewe ndio umetualika chakula sasa tuchague tena, wewe tuagizie, wewe ndio unavijua zaidi.
Meneja: Pengine mna miiko ya chakula.
H2: Mimi sina mwiko kwenye kula kasoro kiwe cha halali tu.
H1; hata mimi, labda mwenzetu DSimba hapa.
;Mimi; Meneja mimi sina mwiko kama hawa mabibie hapa. Watachukula nwao na mimi nakula.
Meneja, basi poa, tutaanza na light salad ya kaa, pamoja soup ya Kithailanda inaitwa TomTun Gong, hiyo wenyewe wa Thai wanasema Ni Mfalme wa supu zote duniniani. mtaiependa sana, halafu tutaleta chakula mchanganyiko kidogo kidogo, kila mtu aatakula apendacho na njaa yake. Akacheka.
H1; Njaa nilonayo si ndogo.
Mimi nikakumbuka code yangu na wife nikataka kucheka nikajizuia, lakini H1 alishaniona nikitabasamu.
H1; mbona umefurahi Simba na wewe una njaa?
Meneja huku ananyanyuka, msiwe nashaka kuleni muwezvyo kama hamjatosheka semeni tu kinakuaja, mimi dakika tatu narudi.
H1; Simba umesikia, kula tani yuako kama hujatosheka ongeza tu.
Nikajua huyu bibie kishaipata code.
H2; Mimi ninhgepayta na wine ingekua traha kweli, wine inazisidisaha njaa.
H1; Una yako tu wewe, akanyoosha mkono.
Mhudumu kuona mkono akaja mbio mbio.
H1; Mna red wine zzuri kwa chakula? Zipo aina nyingi lkakini mimi na recommned, akataja jina gani sijui, kwa sababu naoana hio ndio wageni wengi wanaipenda.
H1: Wanaipenda pengine kwa bei rahisi.
Mhudumu; Mama hapa wine zote bei moja tu, niz zuri.
H1p haya tuletee.
Ikaletwa wine kwanza )tukaoneshwa, ikafunguiwa mbele yetu, akatia kwenye glass moja kidogo tuonje, H1 akasema mpe DSimba atuonjee. Mimi nikawaambia pass.
H1: Mpe huyo cha pombe alietaka wine.
Akapewa H2 akaionja kimadaha, akasema iko fresh sana, nitilie akatiliwa, akawa anakunywa peke yake.
Mhudumu; Kama nyinyi mtapenda niwaletee sparkling water ni nzuri kwa chakula.
H1; Wewe unajua mambo, leta hio.
Mhudumu alivyoondoka kuleta.
H2: hajui, sema kweli, angekuletea mambo yako yale, saa hizi ungem hug.
H1; Bado muda wake, subiri nione mazingira hyamekaaje kwanza.
Meneja akarudi na muhudumu akaja kaleta maji mara ikaletwa bakuli kubwa la salad ndogo ndogo nikaona imechangwa na nyama ya kaa. Meneje akaanza kutaka kuwapakulia, kina mama. Wakasema wewe tia chako, sisi tutati wenyewe, ahsante mwanangu. We simba huyu mamake na mimi babu yetu mmoja. kwa hio mimi mwanangu huyu.
Simba.
...113