jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,830
- 10,093
- Thread starter
- #181
mbwa anakula mavi tena?Watu wamezoea wale mbwa koko wa uswahilini wanaokulaga mavi ya walevi
mbwa anakula mavi tena?Watu wamezoea wale mbwa koko wa uswahilini wanaokulaga mavi ya walevi
vipi kuhusu magonjwa?na process za kuwasafirisha pamoja na capital ya kuanzia?Kwasababu hufahamu faida zake.
Kwa upande wangu wangu napenda sana mbwa wa kisasa, ukitaka tukosane mpige mbwa wangu.
Mbwa waliwahi kunisaidia sana, nilikuwa nimehamia nyumba mpya na nikiwa mgeni wa mazingira, nilikuwa sijaimarisha ukuta, vibaka walikuja usiku wako zaidi ya 4, kilichowapata hawatasahau na walisababisha watu kuogopa kuja kwangu hata mchana japo huwa nawafunga.
Mimi nafuga kibiashara na hata polisi walikuwa wateja wangu.
Hawa viumbe wanalipa sana hasa ukiwa na mbegu bora na orginal.
Tahadhari, kama sio mzoefu usiingie kwenye biashara hii kichwakichwa utapoteza pesa. Upate washauri wakushauri mbegu bora.
Kulikoni kufuga koko wala mavi, fuga hawa mbwa wa kisasa ili wakizaa warudishe gharama na waendelee kujitunza
Mbona hii ya mwisho imekaa kaa kama kitimoto
Mbona hii ya mwisho imekaa kaa kama kitimoto




yani sasa siyo mbwa bali mizimu
1. Magonjwa yapo, lkn ukizingatia kinga 3 za awali na ukazingatia kuchanja kichaa kila mwaka, na kuwapa dawa za minyoo kila baada ya muda stahiki hutapata shida ya magonjwa.vipi kuhusu magonjwa?na process za kuwasafirisha pamoja na capital ya kuanzia?
Wengine siyo mbwa huwaga ndugu zao



na kweli maana kama watu vile
Yaani watu waliopigwa pesa au?Wengine siyo mbwa huwaga ndugu zao
hivi hiyo ni akili kweli?Ninao kumi ninawatunza kwa gharama kubwa kwa mwezi wanakula chakula cha 4m
nahis atakuwa na maana ya misukuleYaani watu waliopigwa pesa au?
Mbojo au?
Ni Ulaya pekee watalisha mbwa 10 kwa 4ml/month, hapa kaongezea chumvihivi hiyo ni akili kweli?
wenyewe wanaingiza shngp wakila msosi wa mil 4?
unafanya kazi gani mkuu?
na wewe unakula chakula cha shngp?
napatwa na ukakasi juu ya hili...
maana naona sifa za kijinga ndio zimetawala hapa..
alichokiongea jamaa yupo sahihi kabisa kaka tena kwa wengine inaweza kuwa bei rahis sana kutumia kwa mbwa hyo kwa mwezihivi hiyo ni akili kweli?
wenyewe wanaingiza shngp wakila msosi wa mil 4?
unafanya kazi gani mkuu?
na wewe unakula chakula cha shngp?
napatwa na ukakasi juu ya hili...
maana naona sifa za kijinga ndio zimetawala hapa..
Mmh kazidisha mkuualichokiongea jamaa yupo sahihi kabisa kaka tena kwa wengine inaweza kuwa bei rahis sana kutumia kwa mbwa hyo kwa mwezi
tembea ujionee ndugu sie tunalalamika maisha magumu wenzetu wanatucheka tuNi Ulaya pekee watalisha mbwa 10 kwa 4ml/month, hapa kaongezea chumvi
nataka kujua return of that feed to those beasts,what is his gain?alichokiongea jamaa yupo sahihi kabisa kaka tena kwa wengine inaweza kuwa bei rahis sana kutumia kwa mbwa hyo kwa mwezi
wengi huweka mbwa wa aina hizo kwenye nyumba zao ili ku avoid,kutafuta walinzi hasa wa mashirika ambao wengi huwa siyo waaminifu na kuiba mali za tajiri.nataka kujua return of that feed to those beasts,what is his gain?
Unalisha mbwa kilo 10 mchezona kweli maana kama watu vile
dah we acha tu tena ukimletea nyama mbovu anaweza kugoma kuilaUnalisha mbwa kilo 10 mchezo