Endelea kujifunza kwanzaMtoa mada hii chai imepoa asee
Eti mbwa walikula mtu? Hakuna mbwa anaeweza kula mtu asee
Dah..!
Nilitegemea kukutana na koment kama hii..ukiangalia na hizo picha za passport size za hivo vijibwa yaani nimecheka mpaka bar nzima wananitazama![]()
![]()
![]()
![]()

Mkuuu unamambo weweMbona hii ya mwisho imekaa kaa kama kitimoto
na hauta isha leo wala keshohivi ujinga wa kuita vituo vya mafuta sheli bado unaendelea huko bongoland
dah kweli wewe wakuja ndugu,unatokea shamba gan?Mtoa mada hii chai imepoa asee
Eti mbwa walikula mtu? Hakuna mbwa anaeweza kula mtu asee
Naona kuna watu wabishi wabishi apa ingieni Instagram msearch page hii
natty dogs
Hii ni dog park iko Kilimanjaro jamaa wana zalisha/tunza na kuuza hii mijibwa
[HASHTAG]#GSD[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Caucasian[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Rottweiler[/HASHTAG]
etc...
Tatizo hapo ni kukosa uaminifu ukidhani wanyama hawatasema unachowafanyia, mbwa waliamua kula shea yao aliyoila.Tarehe 26, mwezi wa 4 mwaka huu nilikwenda mkoa wa Morogoro kwaajili ya kumpatia tiba mgonjwa wangu ambae alinitaka niende kwake.
Asubuhi niliianza safari na kufika msamvu stendi mida ya saa 9,nakuja kupokelewa na mgeni wangu.Pale kwa mwenyeji wangu maeneo ya jirani, kulikuwa na sheli(jina kapuni)ambayo mmiliki wake alikuwa anaishi nyumba kama ya 5 kutoka sheli kwake.
Wakati nimefika kwa mwenyeji wangu mida ya jioni, niliwaona mbwa wakubwa mno wa 2 wakiwa ndani ya fensi baada ya kuulizia nikaambiwa wanaitwa german shephard lakini wakati huo kuna mbwa wengine 3 wao walikuwa wamefungwa kwa mujibu wa wenyeji wangu walisema wale mbwa huwa hawafunguliwagi nikawa na shauku kubwa ya kutaka kuwajua na hata kuwaona japo mimi na mbwa ni kama chui na paka.
Basi mida ya usiku huwa kuna mzee anaingia lindo nyumba ile na yeye ndo huwa anawalisha chakula cha usiku.
Muda mwingi huwa anapenda kukaa nje akijinywea zake kahawa basi nilimfata na kuongea nae mengi tu na kuwajua kuwa wale mbwa wanaitwa rock teller na kunambia kuwa thamani ya kila mmoja ni shilingi milioni 7.
Nilishangaa lakini kwa ukubwa wa maumbile yao na jinsi walivyo sikushangaa sana but nilikuja kuchoka baada ya kuambiwa kuwa huwa anawapa chakula ambacho ni nyama mpaka kilo 10 kwa wakati mmoja.
Sasa yule mzee kumbe alikua na tabia ya kuwapa kilo 6 mpka 7 hivyo wakawa hawashibi, sasa kuna siku kawapelekea msosi hawakushiba, ile anataka kuondoka wakamvuta shati na kumla mpaka wakambakisha kichwa tu.
Asubuhi Mwarabu anaamka anawakuta rock teller wako uani akapiga simu fasta polisi ndo wakaja wakawadunga sindano kumtafuta mlinzi kabaki macho tu, lakini kwa nguvu ya pesa ya Mwarabu aliwajengea nyumba familia ya marehemu na kusomesha watoto wake.
Usia wangu;
Tuangalie vya kufuga huwezi fuga simba ambae baadae atakuja kukuwinda wewe mwenyewe
Nimemkatalia kwa facts sio kweli
Rotweiller ni mbwa hatari hasa akiwa na njaa kutafuna mtoto ni jambo dogo, fuatilia kabla hujapingaItakuwa story ya kutunga ,yaani mtu aliwe na mbwa isiwe story iliyotrend?haiwezekani hii itakuwa chai tu.
ndugu huwezi kujua kila linalotokea na kumbuka kuwa kila siku watu wanakufa,lau kma vifo vyote vingekuwa vinaandikwa hata huyo diamond usingemjuaItakuwa story ya kutunga ,yaani mtu aliwe na mbwa isiwe story iliyotrend?haiwezekani hii itakuwa chai tu.
Rotweiller ni mbwa hatari hasa akiwa na njaa kutafuna mtoto ni jambo dogo, fuatilia kabla hujapinga
naomba nikuulize kwanza umaisoma thread yangu vizuri kuhusu nini muarabu amewafanyia ndugu?swali la mwisho unaijua nguvu ya pesa?nakuuliza tena unaijua nguvu ya pesa?ukishaijua nguvu ya pesa ndo utaelewa kuwa unaweza kupigwa sahaba na mtoto wa tajiri then mzee wako akapigwa 200m,then akaenda kupoza ndugu zake kwa kusema ni mipango ya mungu hata wakimpeleka jela wewe maiti huwez kurudiNafahamu mkuu,isipokuwa mimi ambacho kinanipa shaka kuhusu hii stori,ni kuhusu tukio zima lilivyotokea halafu vyombo vya dola vinalimaliza hilo suala kama vile aliuawa alikuwa mtu asiye na ndugu au jamaa,sidhani hili jambo lilipaswa kuisha kirahisi kihivyo,ilipaswa mwenye mbwa awekwe ndani ili uchunguzi ufanyike na ikiwezekana afikishwe mahakani ili mahakama iamue kuwa ana kesi ama la,na kwa hakika hii ingekuwa bonge la habari kwa vyombo vya habari nchi nzima kama ilivyo habari ya Mwalimu Ayubu.
Samahan mkuu mm kuna kitu sijaelewa kwenye uzi wakoTarehe 26, mwezi wa 4 mwaka huu nilikwenda mkoa wa Morogoro kwaajili ya kumpatia tiba mgonjwa wangu ambae alinitaka niende kwake.
Asubuhi niliianza safari na kufika msamvu stendi mida ya saa 9,nakuja kupokelewa na mgeni wangu.Pale kwa mwenyeji wangu maeneo ya jirani, kulikuwa na sheli(jina kapuni)ambayo mmiliki wake alikuwa anaishi nyumba kama ya 5 kutoka sheli kwake.
Wakati nimefika kwa mwenyeji wangu mida ya jioni, niliwaona mbwa wakubwa mno wa 2 wakiwa ndani ya fensi baada ya kuulizia nikaambiwa wanaitwa german shephard lakini wakati huo kuna mbwa wengine 3 wao walikuwa wamefungwa kwa mujibu wa wenyeji wangu walisema wale mbwa huwa hawafunguliwagi nikawa na shauku kubwa ya kutaka kuwajua na hata kuwaona japo mimi na mbwa ni kama chui na paka.
Basi mida ya usiku huwa kuna mzee anaingia lindo nyumba ile na yeye ndo huwa anawalisha chakula cha usiku.
Muda mwingi huwa anapenda kukaa nje akijinywea zake kahawa basi nilimfata na kuongea nae mengi tu na kuwajua kuwa wale mbwa wanaitwa rock teller na kunambia kuwa thamani ya kila mmoja ni shilingi milioni 7.
Nilishangaa lakini kwa ukubwa wa maumbile yao na jinsi walivyo sikushangaa sana but nilikuja kuchoka baada ya kuambiwa kuwa huwa anawapa chakula ambacho ni nyama mpaka kilo 10 kwa wakati mmoja.
Sasa yule mzee kumbe alikua na tabia ya kuwapa kilo 6 mpka 7 hivyo wakawa hawashibi, sasa kuna siku kawapelekea msosi hawakushiba, ile anataka kuondoka wakamvuta shati na kumla mpaka wakambakisha kichwa tu.
Asubuhi Mwarabu anaamka anawakuta rock teller wako uani akapiga simu fasta polisi ndo wakaja wakawadunga sindano kumtafuta mlinzi kabaki macho tu, lakini kwa nguvu ya pesa ya Mwarabu aliwajengea nyumba familia ya marehemu na kusomesha watoto wake.
Usia wangu;
Tuangalie vya kufuga huwezi fuga simba ambae baadae atakuja kukuwinda wewe mwenyewe
Leo niko hapa msamvu nitatumia ujuzi wangu kuja kuthibitisha uongo wa jamaa Natenga kupoteza massa mawili hapa ili kutegua hiki kitendawili niko na private car nitasafiri muda wowote ila kwanza nikafukue udambwidambwi kuanzia Mafisa mpk msamvu yote niifanyie reking nitaleta ukweli mtupu mleta story kama hata Jali aseme ni sheli ya kuelekea upande upi Dodoma dar iringa au moro mjini maana njia zote zina sheli atoe location kurahisisha kaziRotweiller ni mbwa hatari hasa akiwa na njaa kutafuna mtoto ni jambo dogo, fuatilia kabla hujapinga
usiwe mvivu wa kusoma ndugu soma kwanza then ndo uulizeSamahan mkuu mm kuna kitu sijaelewa kwenye uzi wako
Hapo naona hyo mzee anakusimulia alafu badae analiwa na bwa anabakia macho tu
Niweke sawa mkuu