FORBIDDEN HISTORY
Senior Member
- Jul 28, 2024
- 165
- 347
- Thread starter
- #21
๐๐๐
๐๐๐
๐๐๐
Kuna wengine niliwasikia wanadai maji ya siingie kwenye tundu la choo, ni kama kukinajisisha kifaa kitakatifu cha kuondoa bahati mbaya na mikosi , hivyo hutopata matokeo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ, nimesikia tu lakin.1. Chumvi unatajiwa iwe ya MAWE. Hii inauzwa sana sokoni. Achana na chumvi zile za pakti.
2. Chota kwenye ujazo wa kiganja chako
3. Weka hicho chumvi kwenye ndoo ya kuoga
4 . Nenda unachokitaka kwenye hayo maji
5. Subiri chumvi iyeyuke
6. Kaoge
7. Usijifute maji
Mshana Jr kama Kuna sehemu nimekosea ruksa kunisahihisha
Unaiogea huku unanuia, ukiitumia siku ya kwanza lazima uone mapicha picha kama kuna negative energy inaku-surround utahisi tu,Nisaidie boss wangu namna nzuri ya kuogea na kuleta matokeo chanya๐
Sasa si ndio msaada huu au unahisi ntasema nimuuzie maji na chumvi๐Utapigwa boya wewe!! Sasa kuogea chumvi mpaka akusaidie, akusaidie nini sasa zaidi ni kwamba unaweka kiasi cha chumvi kwenye maji.
Duuh!Yote ya yote pia Kuna tiba za asili ukiacha na chumvi Kuna SODATA FANYA ORANGE na mkojo pia
Inasikitisha sana mkuu,
Visaidizi vya nguvu ya MunguMkuu unamuamini Mungu?
2 Wafalme 2:21Maneno bila ushahidi ni kulishana upepo, kifungu tafathari.
Unaona sasa tofauti iliyopo, chumvi iliyotajwa humo ni chumvi ya kutia kwenye mboga na siyo chumvi yenu ya mawe mnayodai.2 Wafalme 2:21
Elisha akaenda kwenye chemchemi ya maji, akatupa chumvi hiyo ndani na kusema, โMwenyezi-Mungu asema hivi: Nimeyafanya maji haya kuwa yenye kufaa; tangu sasa hayatasababisha vifo au kutoa mimba.โ
Nakazia:1. Chumvi unatajiwa iwe ya MAWE. Hii inauzwa sana sokoni. Achana na chumvi zile za pakti.
2. Chota kwenye ujazo wa kiganja chako
3. Weka hicho chumvi kwenye ndoo ya kuoga
4 . Nenda unachokitaka kwenye hayo maji
5. Subiri chumvi iyeyuke
6. Kaoge
7. Usijifute maji
Mshana Jr kama Kuna sehemu nimekosea ruksa kunisahihisha
Shangaa.Duuh!
๐๐๐
Dini ni mfumo wa uganga ulioundiwa sera na sheriaUsiache kutumia mzee.
Hata yake maji ya baraka kule makanisani wanawekaga chumvi.
Hata maji ya ubatizo
Ngoja leo nikitoka kula ganja nitest sukari!Maneno bila ushahidi ni kulishana upepo, kifungu tafathari.
Ukishawahi kujaribu?Unaiogea huku unanuia, ukiitumia siku ya kwanza lazima uone mapicha picha kama kuna negative energy inaku-surround utahisi tu,
๐Utapigwa boya wewe!! Sasa kuogea chumvi mpaka akusaidie, akusaidie nini sasa zaidi ni kwamba unaweka kiasi cha chumvi kwenye maji.