ChipeTungi Jr
Senior Member
- Sep 21, 2018
- 104
- 251
Kabisa!
Yaani mtu anadhani kila alichokiona yeye mahali flani basi kila mtu atakiona kile kile, vile vile kama yeye.
Mentality ya ajabu sana hii!!
Yaani mtu anadhani kila alichokiona yeye mahali flani basi kila mtu atakiona kile kile, vile vile kama yeye.
Mentality ya ajabu sana hii!!
Wajuaji ndo hu discourage tellers wengi kuendelea na story wanaishiaga njiani tu make kila mtu anajifanya anajua utafikiri walikua nae, Mtu anataka msimuliaji asimulie mpaka chooni alikua anaenda mara ngapi, saa ngapi kwa siku na aina ya rangi ya kinyc alichokua anatoa
Tupunguzeni ujuaji wakuu..