Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Alafu hao hao.wanaoponda single moms kuutwa kuomba omba vielfu 10 kwa hao singleparent .mie nachekaga sana jamani...! Mtu hana msos siku 2 lakini huku anavyojimwaga sasa kuwachana single mom! Jion anaomba kwa hao hao single mom...uehehehee

Hivi unadhani kuna mwanaume mwenye maisha na mishe za kueleweka atawaponda wanawake? Wengi wa watukanaji jua hao ni broke kwa sababu mtu asie broke anawaza kua na furaha na kamwe hafuatilii yasiyomuhusu
 
L

Haaah haaah!!!mwana acha hizo,wewe mwenyewe kwenye story yako ya KHUMBU kuna mambo kibao yalikuwa yanaleta utata kwa watu wanaoijua South vizuri ila tulitulizana tu mpaka mwisho,sasa muache jita amalize story yake naye!!!
Binafsi nimeshangaa kweli wakati uzi wake ulikua na mavumba kibao ila tukamkaushiaga tu leo yeye anaibuka tu huku.
 
Hivi mkuu unapajua mpyagula , unaweza kupitia igunga au nzega, haya sio maisha kule mama ntilie wanauza 500 unapata ugali na kambale mkubwa, kuna mabasi wa waraabu koko yanaenda kule basi mtu kule anakuhadithia huku ukituliza hela unatoboa unamchek kiaina unasema ni kweli Boss, funguo za chumba chako lodge anakaa nazo mwenye nyuma, ukitakA kutoka anaitwa kufunga mlango ukirudi kijana anaenda kumwita akufungulie Bongo nyoso acha tu
Napaelewa Sana kwenda mpaka mwamabondo, Loya huko mbele mbele yalikuaga mapori yangu hayo 2014 niliwahi kutembea kwa miguu kutoka mpyagula mpaka Loya saa 12 jioni naanza safari njiani mvua imenyesha ila maisha haya!!!! Acha tu yaani😭😭😭😭
 
Tatizo lilikuja kutokea siku moja kwenye Birthday Party ya Mchungaji wetu ilifanyika usiku nyumbani kwake. Tulifika waumini kama wote.Kulikuwa na Nyama choma kama zote. Sasa yule demu mrembo mwenye ndinga lake nae alikuwepo. Nikasema leo lazima nitumie nafasi vizuri. Party ilifanyika nje halafu kulikuwa na kigiza giza fulani hivi, Nikasema Leo natumia hii nafasi vzr, Nikawa napiga piga nae story pale, mara tunapiga piga picha pale, sikufanya makosa hadi tukabadilishana namba. Kosa nililolifanya ni kwamba baada ya kutoka pale zile Picha nakumbuka nilipost Facebook. Halafu Kanya sijawai hata siku moja kumpost. Ugomvi kati yangu na Kanya ulikuwa mzito. Ishu ya namna hii kwa Wanawake ni kubwa sana.

poor reasoning
Utatupatia better reasoning yako tuchambue.

Ukiwa nje ya uwanja unaona makosa vizuri sana ila ingia uwanjani tuone utakavyopangua ...
 
Huenda yupo jela kwa kosa la kuzurura bila vibali, maake nchi hii ni mshike mshike kwenda mbele. Wabongo wengi vibali vyao vikiisha muda waliopewa wanavitupa ndan tu
Nadhani kuna sehemu moja kasema alirudi nchini so yuko TZ wakati anaandika hii kitu
 
Back
Top Bottom