Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Konda makosa ya kiufundi hayo yanatokea....

May be kwa kuwa alikua mpya akawa anajua wanaficha mdomoni maana ndio alianza kujifunza.

May be ile kurudi usiku sana ndio maana akawa anasema wanafanya kazi kama punda. Kuna sehemu alisema walilala saa 11 alfajiri na kudamka saa 1 asubuhi.... Si mchezo...

Hadithi yake mpaka sasa haionyeshi kuwa ametimiza hata miezi mitatu hapo SA. Na inaonekana hakuwa na ABC za sheria za huko, na hata aliokutana nao hawakuwa wamempa tahadhari ya vibali. Inawezekana alianza kusambaza barua bila kujua anaweza kudakwa au tuseme kama alivyosema aliamua kujilipua tu maana ndio kilichompeleka. Inawezekana ilikua bahati yake kutodakwa mapema 40 hazikufika....

Kumbuka alijiingiza kwenye kanisa na elewa mara nyingi watu makanisani huwa wanaweka wahamiaji sana. Nenda hata makanisa yetu haya ya kilokole utakuta wakenya wanyarwanda kila taifa wapo wanaishi bila vibali....

MAPITO NI TOFAUTI EXPERIENCE YAKO SI YAKE.....
TUMPE MUDA AELEZEEE KWA NAMNA ALIVYOISHI....

Ila pia KUDOS kwako umempa hint pale palipokua sio sawa.....

Jamhuri ya JF.... story iendeleeeee
Umefafanua vyema Mkuu
 
Anazingua ngojaa nimjibie mletaa mada kuhusu kukaa bilaa Passport alisemaa mwanzon walikuwa wanaongezaa mudaa wa kuishi hata mwezi baadae akaamuaa kuachana na iyoo michongo, afui kutafuta kazii kwenyewe alikuwa anasubmit tu vyetii bila kusubiri majibuu.....
Hakika, alishatolea ufafanuzi hapo juu
 
Konda Msafi

Naomba niwe upand wa Mtoto wa mstaafu kwa hoja mbili

1. Mkuu kusema kuwa mademu wa hadhi fulani unawajua hiyo statement iko too general na kwa namna moja ama nyingine haina uhalisia..ni kama vile sisi wabongo tunapowazungumzia wakenya utasikia tunasema 'wakenya wenzetu wako active sana kwenye kazi kuliko sisi tuna uvivu mwingi', at same time wakenya nao watakuwa wanatuzungumzia kuwa sisi watz tuko so active sana kwenye kazi kuliko wao...hizo ni general statements ila kiukweli kuna wavivu ndani ya nchi zote mbili.

2. Kiufupi tu mi naona story teller yupo sahihi..inabidi tuelewe story kama ilivyoletwa na tukitaka kupitia neno hadi neno tutakua tunakosea.. So mkuu konda msafi hizo statement zako ni too general na haziapply kwa wote. Pengine wabongo uliowaona ndio walikuwa wanakula bata ila walioonwa na Keagan Paul wenyewe wanafanya kazi kama punda. Hakuna kati yenu aliyewaona wabongo wote, au aliyewaona wahamiaji haramu wote wanaoishi south au aliyeishi na warembo wote..so statement uliyotoa bwana Konda ni sahihi kwa watu uliowaona ila haiapply kwa wote.

Ni kama vile weweau mtoto wa mstaafu mnavyotuambia mademu wa south ni wazuri kinoma ila kiuhalisia hiyo ni general statement na sio uhalisia kwa wote. mmeitoa hiyo statement kwa kufanya reference kwa watu wachache mliowaona ila kiuhalisia mademu wengine na wengi tu ni wakawaida kama hao tunaowaona kila siku kwenye isdingo, kipindi cha kombe la dunia na kwenye taarifa ya habari.

kiufupi tuielewe story kama ilivyoletwa tusije na generalized arguments ambazo hazijawa proven.
Ufafanuzi Mzuri Mkuu
 
Lazima waone donge wanadanga miaka nenda rudi hawapati hata kuolewa wewe umeolewa tena na the king himself na wanao watatuaisee,, hongera mwaego best Itabidi nije piyemu unifunde ya kitanga
Asante sana shoga huu mchezo una mbinu zake, yani nilikuwa naingia youtube, nasoma vitabu kama the art of seductio, natazama shows za wanawake waliopata wanaume wenye pesa walikuwa wanafanyaje plus na mbinu zangu za kitanga etc. Hawa wanaume wenye pesa na career zao humpati tu kizembe zembe lazima uwe na game plan. Wanakutana na wanawake wazuri na warembo wenye career zao daily...
 
Konda Msafi

Naomba niwe upand wa Mtoto wa mstaafu kwa hoja mbili

1. Mkuu kusema kuwa mademu wa hadhi fulani unawajua hiyo statement iko too general na kwa namna moja ama nyingine haina uhalisia..ni kama vile sisi wabongo tunapowazungumzia wakenya utasikia tunasema 'wakenya wenzetu wako active sana kwenye kazi kuliko sisi tuna uvivu mwingi', at same time wakenya nao watakuwa wanatuzungumzia kuwa sisi watz tuko so active sana kwenye kazi kuliko wao...hizo ni general statements ila kiukweli kuna wavivu ndani ya nchi zote mbili.

2. Kiufupi tu mi naona story teller yupo sahihi..inabidi tuelewe story kama ilivyoletwa na tukitaka kupitia neno hadi neno tutakua tunakosea.. So mkuu konda msafi hizo statement zako ni too general na haziapply kwa wote. Pengine wabongo uliowaona ndio walikuwa wanakula bata ila walioonwa na Keagan Paul wenyewe wanafanya kazi kama punda. Hakuna kati yenu aliyewaona wabongo wote, au aliyewaona wahamiaji haramu wote wanaoishi south au aliyeishi na warembo wote..so statement uliyotoa bwana Konda ni sahihi kwa watu uliowaona ila haiapply kwa wote.

Ni kama vile weweau mtoto wa mstaafu mnavyotuambia mademu wa south ni wazuri kinoma ila kiuhalisia hiyo ni general statement na sio uhalisia kwa wote. mmeitoa hiyo statement kwa kufanya reference kwa watu wachache mliowaona ila kiuhalisia mademu wengine na wengi tu ni wakawaida kama hao tunaowaona kila siku kwenye isdingo, kipindi cha kombe la dunia na kwenye taarifa ya habari.

kiufupi tuielewe story kama ilivyoletwa tusije na generalized arguments ambazo hazijawa proven.
Kiufupi konda msafi alitaka kujifanya yeye mzulu
 
Asante sana shoga huu mchezo una mbinu zake, yani nilikuwa naingia youtube, nasoma vitabu kama the art of seductio, natazama shows za wanawake waliopata wanaume wenye pesa walikuwa wanafanyaje plus na mbinu zangu za kitanga etc. Hawa wanaume wenye pesa na career zao humpati tu kizembe zembe lazima uwe na game plan. Wanakutana na wanawake wazuri na warembo wenye career zao daily...
Heheheheeee pele limepata mkunaji, Asante mpenzi kwa msisitizo nimescreeshot hii comment yako manake si mchezo hao watu kama usemavyo ushindani Ni mkubwa hudanganyi hebu nijisogeze piemuni rasmi😍😍
 
Back
Top Bottom