Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Konda makosa ya kiufundi hayo yanatokea....

May be kwa kuwa alikua mpya akawa anajua wanaficha mdomoni maana ndio alianza kujifunza.

May be ile kurudi usiku sana ndio maana akawa anasema wanafanya kazi kama punda. Kuna sehemu alisema walilala saa 11 alfajiri na kudamka saa 1 asubuhi.... Si mchezo...

Hadithi yake mpaka sasa haionyeshi kuwa ametimiza hata miezi mitatu hapo SA. Na inaonekana hakuwa na ABC za sheria za huko, na hata aliokutana nao hawakuwa wamempa tahadhari ya vibali. Inawezekana alianza kusambaza barua bila kujua anaweza kudakwa au tuseme kama alivyosema aliamua kujilipua tu maana ndio kilichompeleka. Inawezekana ilikua bahati yake kutodakwa mapema 40 hazikufika....

Kumbuka alijiingiza kwenye kanisa na elewa mara nyingi watu makanisani huwa wanaweka wahamiaji sana. Nenda hata makanisa yetu haya ya kilokole utakuta wakenya wanyarwanda kila taifa wapo wanaishi bila vibali....

MAPITO NI TOFAUTI EXPERIENCE YAKO SI YAKE.....
TUMPE MUDA AELEZEEE KWA NAMNA ALIVYOISHI....

Ila pia KUDOS kwako umempa hint pale palipokua sio sawa.....

Jamhuri ya JF.... story iendeleeeee
Yaap unemuelewesha vxr Sana konda msafi mnk yey anamchallenge tu ili kuprove labda Ni chai makonda anatulisha ila umeweka sawa


Jamuhuri ya jf ......story iendeleee
 
Konda Msafi

Naomba niwe upand wa Mtoto wa mstaafu kwa hoja mbili

1. Mkuu kusema kuwa mademu wa hadhi fulani unawajua hiyo statement iko too general na kwa namna moja ama nyingine haina uhalisia..ni kama vile sisi wabongo tunapowazungumzia wakenya utasikia tunasema 'wakenya wenzetu wako active sana kwenye kazi kuliko sisi tuna uvivu mwingi', at same time wakenya nao watakuwa wanatuzungumzia kuwa sisi watz tuko so active sana kwenye kazi kuliko wao...hizo ni general statements ila kiukweli kuna wavivu ndani ya nchi zote mbili.

2. Kiufupi tu mi naona story teller yupo sahihi..inabidi tuelewe story kama ilivyoletwa na tukitaka kupitia neno hadi neno tutakua tunakosea.. So mkuu konda msafi hizo statement zako ni too general na haziapply kwa wote. Pengine wabongo uliowaona ndio walikuwa wanakula bata ila walioonwa na Keagan Paul wenyewe wanafanya kazi kama punda. Hakuna kati yenu aliyewaona wabongo wote, au aliyewaona wahamiaji haramu wote wanaoishi south au aliyeishi na warembo wote..so statement uliyotoa bwana Konda ni sahihi kwa watu uliowaona ila haiapply kwa wote.

Ni kama vile weweau mtoto wa mstaafu mnavyotuambia mademu wa south ni wazuri kinoma ila kiuhalisia hiyo ni general statement na sio uhalisia kwa wote. mmeitoa hiyo statement kwa kufanya reference kwa watu wachache mliowaona ila kiuhalisia mademu wengine na wengi tu ni wakawaida kama hao tunaowaona kila siku kwenye isdingo, kipindi cha kombe la dunia na kwenye taarifa ya habari.

kiufupi tuielewe story kama ilivyoletwa tusije na generalized arguments ambazo hazijawa proven.
Umeongea vizuri mkuu. Nadhani tujaribu kupunguza ujuaji mwingi na tumuache msimuliaji asimulie alichokiona.
 
Unakaa pia hapa bila ramani halafu mwisho wake??? Si bora uende sehemu mpya bila ramani kuliko kuzeekea ulipo bila ramani?
Isiwe shida tafuta nchi tunzoweza kwenda kama ilivyo south africa, bila visa and then unaendelea kujilipulia nje kwa nje...sio unajilipua upo jf. Sometimes unakuwa smart. Kama huyu ndg anavyeti vyake anaweza anapata kibarua anafanya akasomasoma aka volunteer volunteer kama church huko mara unaenda roma italy...oooh tusibakie jf tukilalama.

Tatizo alivyoanza ngono lol niksi
 
SEHEMU YA KUMI NA TANO

Kuna Mdau mmoja amenikumbusha jambo la Msingi sana, ameniuliza niliwezaje kuongeza siku za kuishi South Africa wakati pale Boda BeitBridge nilipewa Mwezi mmoja tu wa kuishi. Ukweli siku zangu za kuishi ziliisha nikiwa bado nipo kule kwa Jamaa Y Pretoria. Kule nilikuta kuna utaratibu wa aina mbili, wapo watu ambao wenyewe toka wafike South Africa hawajawai kwenda kuongeza siku zao za kuishi mule. Wao wanaishi tu kama raia wengine, lakini inabidi usiwe umefanya Kosa, kama utafanya Kosa ukifikishwa kwenye vyombo vya sheria ndo mambo ya Passport yako iko wapi na Mambo mengine yataibuka.

Na wapo ambao wenyewe kila Passport zao zikiisha siku za kuishi (Visa Expired) wanakwenda kuongeza muda (Renew ). Kuongeza muda ni gharama kwa sababu inabidi uende mwenyewe mpaka Boda au Ofisi za Uhamiaji ukaongeze muda au umtume mtu akakugongee, kuna watu walikuwa wanapita mtaani kwetu, ni wabongo wenzetu tunawachangia nauli wanakwenda kutugongea Boda au kwenye Ofisi za Uhamiaji (Hii njia ya kutumia watu sio salama sana).

Changamoto ya kwenda kuongeza siku za kuishi kila zitakapoisha ni kwamba Je utakuwa unakwenda kuongeza mara ngapi? Maana Kila ukienda unaweza ongezewa mwezi mmoja au wiki au Miezi 3. Sasa Je utamudu gharama za kila mara kuwa unakwenda kuongeza siku? Unakuta inakuwa ngumu. Kwa hiyo mimi nilichagua kuishi bila kuongeza muda, Nilikuwa naomba tu lisitokee la kutokea. Ndo nilikuwa naishi hivyo, nilivunja sheria. Mambo ya siku ya kuondoka kwenye nchi hiyo nilifanyaje, Mimi Nilirudi kwa njia za panya. Nitaeleza huko mbele. Lakini wengine huwa wanaenda kule Pretoria kwenye Ofisi za Ubalozi wa Tanzania wanasema Passport zao wameibiwa kisha kuna Karatasi wanapewa wanarudi zao Bongo. Nadhan nimejibu hilo.

Tuendelee, Basi Kanya alikuwa ananiganda sana mpaka nikasema hapa nitapewa lawama Tu. Nitamla halafu baadae aje kukasirika akijua natoka na demu mwengine. Roho yangu ilikuwa inasita sana Kumla kwa kuogopa mitafaruku nchi za watu halafu mimi pale ni mgeni nimekwenda kutafuta maisha.

Kuna siku nikasema hapana, niliamka vibaya, Wanaume wenzangu najua nikisema niliamka vibaya mnanielewa, Nikasema iwe mvua, iwe jua Kanya lazima aliwe maana ndoto za kujichafua Usiku zilishaanza kuwa nyingi, nikamcheki Kanya akakubali kuja ghetto. Yan siku zote Kanya ni kama alikuwa ananisikilizia Mimi tu.

Kanya wakati anafika Thomas alikuwa hayupo, tukapiga zetu story kidogo nikamsogelea mpaka alipokaa. Wala hakuzingua tukaanza kufanya yetu. Hao tukavua nguo tukahamia Kitandani. Nilikuwa nimeshanunua kabisa Condom, nikavaa. Ebana Kanya ana bonge moja la Tako. Sijawai kupiga demu ana tako kama lile la Kanya maisha yangu yote mpaka leo. Halafu Kitu Laini OG, Unajua wale wanamakalio makubwa ya Asili. Ile naingiza Cha ajabu eti Kanya alikuwa Bikra. Nikasema dah nilishangaa kinoma. Moyoni nikajisemea huyu anataka kuniibia huyu. Hii Bikra kweli au Bandia? Lakini sikujali sana wala nini, nililazimisha hivyo hivyo tulihamia Chooni ili tusichafue mashuka ya Thomas . Nilimpiga hivyo hivyo huku analia kama Mtoto.

Kwa kuwa ilikuwa siku ya kwanza sikuinjoi sana, halafu ukizingatia natumia ghetto ambalo Thomas amejimilikisha kama lake basi nilikuwa na hofu Fulani hivi endapo Thomas angerudi. Kwa hiyo tuliwai kumaliza kabla Thomas hajarudi. Tulivyomaliza nilimsindikiza hadi kwenye nyumba waliyokuwa wanaishi.

Kile Kitendo kilizidisha ukaribu na mazoea sana na Kanya, Japo sikuwai kumtongoza lakini ndo ashakuwa demu wangu kilazima. Kanisani muda wote macho kwangu, akaanza mpaka kuwaambia rafiki zake kuwa Mimi ni mtu wake. Thomas nae kuzipata hizo habari nae akawa anasema ni kweli, Kanya kila siku anakuja kwetu. Thomas alikuwaga mmbea mmbea sna. Mimi najitahidi kumkwepa Kanya pale Kanisani lakini yeye hana habari muda wote anapenda kukaa karibu yangu. Hiyo hali ilikuwa inanivuruga sana akili.

Tatizo lilikuja kutokea siku moja kwenye Birthday Party ya Mchungaji wetu ilifanyika usiku nyumbani kwake. Tulifika waumini kama wote.Kulikuwa na Nyama choma kama zote. Sasa yule demu mrembo mwenye ndinga lake nae alikuwepo. Nikasema leo lazima nitumie nafasi vizuri. Party ilifanyika nje halafu kulikuwa na kigiza giza fulani hivi, Nikasema Leo natumia hii nafasi vzr, Nikawa napiga piga nae story pale, mara tunapiga piga picha pale, sikufanya makosa hadi tukabadilishana namba. Kosa nililolifanya ni kwamba baada ya kutoka pale zile Picha nakumbuka nilipost Facebook. Halafu Kanya sijawai hata siku moja kumpost. Ugomvi kati yangu na Kanya ulikuwa mzito. Ishu ya namna hii kwa Wanawake ni kubwa sana.
Kama nakuona vile aisee wanawake wa South wanawivu sana anaweza kukuua kabsa usiombe ikukute wenyewe hawepend mapenz ya janja janja
 
Konda makosa ya kiufundi hayo yanatokea....

May be kwa kuwa alikua mpya akawa anajua wanaficha mdomoni maana ndio alianza kujifunza.

May be ile kurudi usiku sana ndio maana akawa anasema wanafanya kazi kama punda. Kuna sehemu alisema walilala saa 11 alfajiri na kudamka saa 1 asubuhi.... Si mchezo...

Hadithi yake mpaka sasa haionyeshi kuwa ametimiza hata miezi mitatu hapo SA. Na inaonekana hakuwa na ABC za sheria za huko, na hata aliokutana nao hawakuwa wamempa tahadhari ya vibali. Inawezekana alianza kusambaza barua bila kujua anaweza kudakwa au tuseme kama alivyosema aliamua kujilipua tu maana ndio kilichompeleka. Inawezekana ilikua bahati yake kutodakwa mapema 40 hazikufika....

Kumbuka alijiingiza kwenye kanisa na elewa mara nyingi watu makanisani huwa wanaweka wahamiaji sana. Nenda hata makanisa yetu haya ya kilokole utakuta wakenya wanyarwanda kila taifa wapo wanaishi bila vibali....

MAPITO NI TOFAUTI EXPERIENCE YAKO SI YAKE.....
TUMPE MUDA AELEZEEE KWA NAMNA ALIVYOISHI....

Ila pia KUDOS kwako umempa hint pale palipokua sio sawa.....

Jamhuri ya JF.... story iendeleeeee

Naona umeweka vidole kama vya kigogo huko jamhuri ya twitter
 
Stori ya Khumbu hakuna hata kipande kimoja chenye utata, sana sana kuna mambo mengi sana sikuyaongelea maana ningeyaongelea yote nadhani mpaka sasa stori ingekuwa inaendelea. By the way nimemuomba Keagan Paul nitoe tu kicoment changu na wala sikuwa na nia mbaya mkuu.
Konda acha kumkoroga jamaa alete story.

Tena story yako ilikuwa na utata kabisa maana ulituletea kumbu fake
Screenshot_20210301-052156.jpg
 
Umeongea vizuri mkuu. Nadhani tujaribu kupunguza ujuaji mwingi na tumuache msimuliaji asimulie alichokiona.
Wajuaji ndo hu discourage tellers wengi kuendelea na story wanaishiaga njiani tu make kila mtu anajifanya anajua utafikiri walikua nae, Mtu anataka msimuliaji asimulie mpaka chooni alikua anaenda mara ngapi, saa ngapi kwa siku na aina ya rangi ya kinyc alichokua anatoa


Tupunguzeni ujuaji wakuu..
 
Back
Top Bottom