Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Asante. Nilisema watoto wangu siwaachi. Hao watu wanaosema eti wanawake tunapenda wanaume wenye pesa huwa nawatazama kwa dharau. Saivi wale walionidharau na kuninyanyasa wanaona wivu

Sent from my moto g power using JamiiForums mobile app
😍😍😍 Lazima waone donge wanadanga miaka nenda rudi hawapati hata kuolewa wewe umeolewa tena na the king himself na wanao watatu😂😂😂aisee,, hongera mwaego best Itabidi nije piyemu unifunde ya kitanga
 
Kwa sasa nina ofisi mbili. Moja ipo Smit Street na Clein na nyingine ipo Edenvile hapa hapa J'burg. Mtaji wa mtu ni akili yake mwenyew, sio kila aishie kaburu ni muuza bangi au unga. Karibuni mapocho pocho wakubwa


View attachment 1757913
Hapa kweli unapata hata fedha ya kulipa pango kweli manake naona vitu vichache!!??
au ndio kwa nyuma unauza sembe
 
Wewe humfahamu Madame B ni moto wq kuotea mbali ,wema akiamua kukutunuku ni mtamu asali ikasome .long live Madame B
Hana lolote mshamba tu atawababaisha washamba wenzie hana lolote tako gan la mabonde mabonde ukiwa mshamba kwel utashoboka kwanz na dawa yake inachemka acha aingie kwenye 18 hawez kuja kuharb Uzi kijinga
 
kiukweli wengi tumepitia mazito mno pengine kushinda hata umri wetu,lakini tunapojaribu kuwafahamisha wenzetu ili iwe fundisho kwa tuliyopitia always atakuja mtu kukudscourage na maneno kibao ya dhihaka.

alafu baadae mtu huyo huyo anakufata dm umpe no ya mganga au mtu alokusaidia ya jf kuna watu wa ajabu mno
 
Ww jifanye mjuaji hivyo hivyo ipo siku chamoto utakiona maana humu JF unaifanya kama wote ni watoto wenzio narudia endelea kuropoka ujinga wako hivyo siku yenyew utajua kwann mtaa umetulea
Potea zako bhana wewe.
Usinitishe.
Wewe nani mpaka nikuogope....
Narudia tena, punguza genye kwenye post za watu.

Na kama unataka kunitafuta karibu...
Niko verified member, najulikana.....afu sijali lolote.
Tusitishane.
Huwezi kuita mtu mpuuzi ilhali unamjua via keyboard.
Narudia tena...peleka shobo zako akhera, duniani tumejaa.
Ukiona nakuboa...ni-ignore babu weeee....kwani sh ngapi?

Karibu uwanjani....
Nima bando la mwezi mzima
 
Back
Top Bottom