Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Kabisa!

Yaani mtu anadhani kila alichokiona yeye mahali flani basi kila mtu atakiona kile kile, vile vile kama yeye.

Mentality ya ajabu sana hii!!
Wajuaji ndo hu discourage tellers wengi kuendelea na story wanaishiaga njiani tu make kila mtu anajifanya anajua utafikiri walikua nae, Mtu anataka msimuliaji asimulie mpaka chooni alikua anaenda mara ngapi, saa ngapi kwa siku na aina ya rangi ya kinyc alichokua anatoa


Tupunguzeni ujuaji wakuu..
 
SEHEMU YA KUMI NA TANO

Kuna Mdau mmoja amenikumbusha jambo la Msingi sana, ameniuliza niliwezaje kuongeza siku za kuishi South Africa wakati pale Boda BeitBridge nilipewa Mwezi mmoja tu wa kuishi. Ukweli siku zangu za kuishi ziliisha nikiwa bado nipo kule kwa Jamaa Y Pretoria. Kule nilikuta kuna utaratibu wa aina mbili, wapo watu ambao wenyewe toka wafike South Africa hawajawai kwenda kuongeza siku zao za kuishi mule. Wao wanaishi tu kama raia wengine, lakini inabidi usiwe umefanya Kosa, kama utafanya Kosa ukifikishwa kwenye vyombo vya sheria ndo mambo ya Passport yako iko wapi na Mambo mengine yataibuka.

Na wapo ambao wenyewe kila Passport zao zikiisha siku za kuishi (Visa Expired) wanakwenda kuongeza muda (Renew ). Kuongeza muda ni gharama kwa sababu inabidi uende mwenyewe mpaka Boda au Ofisi za Uhamiaji ukaongeze muda au umtume mtu akakugongee, kuna watu walikuwa wanapita mtaani kwetu, ni wabongo wenzetu tunawachangia nauli wanakwenda kutugongea Boda au kwenye Ofisi za Uhamiaji (Hii njia ya kutumia watu sio salama sana).

Changamoto ya kwenda kuongeza siku za kuishi kila zitakapoisha ni kwamba Je utakuwa unakwenda kuongeza mara ngapi? Maana Kila ukienda unaweza ongezewa mwezi mmoja au wiki au Miezi 3. Sasa Je utamudu gharama za kila mara kuwa unakwenda kuongeza siku? Unakuta inakuwa ngumu. Kwa hiyo mimi nilichagua kuishi bila kuongeza muda, Nilikuwa naomba tu lisitokee la kutokea. Ndo nilikuwa naishi hivyo, nilivunja sheria. Mambo ya siku ya kuondoka kwenye nchi hiyo nilifanyaje, Mimi Nilirudi kwa njia za panya. Nitaeleza huko mbele. Lakini wengine huwa wanaenda kule Pretoria kwenye Ofisi za Ubalozi wa Tanzania wanasema Passport zao wameibiwa kisha kuna Karatasi wanapewa wanarudi zao Bongo. Nadhan nimejibu hilo.

Tuendelee, Basi Kanya alikuwa ananiganda sana mpaka nikasema hapa nitapewa lawama Tu. Nitamla halafu baadae aje kukasirika akijua natoka na demu mwengine. Roho yangu ilikuwa inasita sana Kumla kwa kuogopa mitafaruku nchi za watu halafu mimi pale ni mgeni nimekwenda kutafuta maisha.

Kuna siku nikasema hapana, niliamka vibaya, Wanaume wenzangu najua nikisema niliamka vibaya mnanielewa, Nikasema iwe mvua, iwe jua Kanya lazima aliwe maana ndoto za kujichafua Usiku zilishaanza kuwa nyingi, nikamcheki Kanya akakubali kuja ghetto. Yan siku zote Kanya ni kama alikuwa ananisikilizia Mimi tu.

Kanya wakati anafika Thomas alikuwa hayupo, tukapiga zetu story kidogo nikamsogelea mpaka alipokaa. Wala hakuzingua tukaanza kufanya yetu. Hao tukavua nguo tukahamia Kitandani. Nilikuwa nimeshanunua kabisa Condom, nikavaa. Ebana Kanya ana bonge moja la Tako. Sijawai kupiga demu ana tako kama lile la Kanya maisha yangu yote mpaka leo. Halafu Kitu Laini OG, Unajua wale wanamakalio makubwa ya Asili. Ile naingiza Cha ajabu eti Kanya alikuwa Bikra. Nikasema dah nilishangaa kinoma. Moyoni nikajisemea huyu anataka kuniibia huyu. Hii Bikra kweli au Bandia? Lakini sikujali sana wala nini, nililazimisha hivyo hivyo tulihamia Chooni ili tusichafue mashuka ya Thomas . Nilimpiga hivyo hivyo huku analia kama Mtoto.

Kwa kuwa ilikuwa siku ya kwanza sikuinjoi sana, halafu ukizingatia natumia ghetto ambalo Thomas amejimilikisha kama lake basi nilikuwa na hofu Fulani hivi endapo Thomas angerudi. Kwa hiyo tuliwai kumaliza kabla Thomas hajarudi. Tulivyomaliza nilimsindikiza hadi kwenye nyumba waliyokuwa wanaishi.

Kile Kitendo kilizidisha ukaribu na mazoea sana na Kanya, Japo sikuwai kumtongoza lakini ndo ashakuwa demu wangu kilazima. Kanisani muda wote macho kwangu, akaanza mpaka kuwaambia rafiki zake kuwa Mimi ni mtu wake. Thomas nae kuzipata hizo habari nae akawa anasema ni kweli, Kanya kila siku anakuja kwetu. Thomas alikuwaga mmbea mmbea sna. Mimi najitahidi kumkwepa Kanya pale Kanisani lakini yeye hana habari muda wote anapenda kukaa karibu yangu. Hiyo hali ilikuwa inanivuruga sana akili.

Tatizo lilikuja kutokea siku moja kwenye Birthday Party ya Mchungaji wetu ilifanyika usiku nyumbani kwake. Tulifika waumini kama wote.Kulikuwa na Nyama choma kama zote. Sasa yule demu mrembo mwenye ndinga lake nae alikuwepo. Nikasema leo lazima nitumie nafasi vizuri. Party ilifanyika nje halafu kulikuwa na kigiza giza fulani hivi, Nikasema Leo natumia hii nafasi vzr, Nikawa napiga piga nae story pale, mara tunapiga piga picha pale, sikufanya makosa hadi tukabadilishana namba. Kosa nililolifanya ni kwamba baada ya kutoka pale zile Picha nakumbuka nilipost Facebook. Halafu Kanya sijawai hata siku moja kumpost. Ugomvi kati yangu na Kanya ulikuwa mzito. Ishu ya namna hii kwa Wanawake ni kubwa sana.
Tupatie username ya KANYA anayoitumi FACEBOOK.
 
Hongera Sana ukisikia wenye nyota ndo wewe Sasa, unatumia kile ulichonacho japo na wewe ulikuwa na uthubutu tu na wanao ukawabeba, ktk nchi za watu, Mungu mkuu njia zikafunguka,,


Watakuja wapiga debe hapa kusema wanawake tunapenda wenye pesa sijui Ni Nini!! Wakati hata kwenye biblia tunawasoma kina Easter alitumia uanamke kukomboa ndugu zake, nk
Asante. Nilisema watoto wangu siwaachi. Hao watu wanaosema eti wanawake tunapenda wanaume wenye pesa huwa nawatazama kwa dharau. Saivi wale walionidharau na kuninyanyasa wanaona wivu
 
Watu Kama nyie ulaya mnapigwa shaba.Unatusemea sisi au umelazimishwa kusoma. Kwani umelazimishwa???
Ulaya hawahimizi watu kuwa wavivu wa kufikiri. Kosa nini kukwambia utafute mchapishaji au unataka ushauri ambao unao tayari ila unatafuta kiki? Kama hutaki kushauriwa basi usiweke upuuzi wako humu. Katafute gazeti au mchapishaji utajua kama huo utumbo wako ni dili au mavi matupu senzi we vivu la kufikiri.
 
Mkuu mtoto wa mstaafu, Keagan Paul, naomba uniruhusu nicomment kidogo. Kuna vitu kwenye stori yako havipo sawa kidogo, naelewa huenda labda umeamua kuvifanya visiwe sawa kwa maksudi na si kwa bahati mbaya. Kuna sehemu nimekusoma unasema wale jamaa wanaomuuzia "nyaupe" jamaa Y wanafanya kazi kama punda. Hapo mzee umepindisha ukweli, Dizonga hakuna wabongo wanaokula bata kama wauza nyaupe. Kufanya kazi kama punda kwako wewe labda kuna tafsiri gani? Maana hao jamaa kazi yao ni kupokea simu tu na kupeleka mzigo location unapohitajika na akifika pale ni kitendo cha sekunde mbili keshamaliza kazi, haina hata kuhesabu hela, hela itahesabiwa baada ya kuondoka eneo la tukio, na wale wanunuzi ni waamifu sana hawatoi hela pungufu japo hamuhesabiani eneo la tukio. Zaidi ya yote jamaa wana usafiri hawasambazi kwa miguu, hata kama mtu ameanza kuuza leo haiwezi kumchukua zaidi ya mwezi hajapata usafiri, sasa unaposema wanafanya kazi kama punda kidogo kama umepindisha uhalisia. Pia umesema huwa wanaweka hizo kete mdomoni na polisi wakivamia wanazimeza, mzee hii pia sio kaka. huwezi kumeza madawa kizembe hivyo. Donga ndio zinamezwa wakati wa kuzisafirisha intercontinental lakini sio mzigo umeshafika ndani ya nchi bado mtu ameze. Hiyo risk hakuna mtu wa kuitake, kwanza ufungaji wa hizo kete sio imara sana uimeze halafu ubaki salama. Ufungaji wa donga ndio imara unaweza kumeza na ukasurvive lakini sio kete mkuu. Halafu mademu wa Gauteng yaani Joburg na Pretoria wana attitude flani tofauti na uliyoielezea tena kama hapo Midrands ndio kabisa. Nimekaa Randburg kama miaka 6 au 7, 209 Bellairs Drive, Banbury Cross, North Riding. Randburg nadhani kwa Johannesburg ni sehemu wanayokaa matajiri wa South Africa ukitoa Sandton na Fourways. Ninachotaka kusema hapa mademu wa kishua wa Gauteng nazijua attitude zao maana nimeishi nao. Pia umesema permit (viza) yako iliexpire ukiwa bado kwa bwana Y, sasa uliwezaje kutafuta kazi wakati tayari ulikuwa unaishi kinyume cha sheria maana kitu cha kwanza lazima wakuulize ID yako. Mind you Johannesburg na Pretoria ni miji ambayo kama huna permit ni ngumu sana kusurvive. Joburg hata ukiwa unatembea barabarani unaweza kushitukia tu unasimamishwa na police na kuombwa ID tofauti na miji mingine kama Durban, sasa wewe uliwezaje kutafuta kazi wakati hata permit yenyewe huna? sijui kama umenielewa? Na kwa Johannesburg misako ya kutafuta wahamiaji haramu ipo kila uchwao.
Naunga mkono hoja
 
Unataka kuingia South kaka.
Simple tu.
Olewa na mwanaume mwenzako utapata visa ya kuingilia kule mtaa umetulea
Unajua South wamehalalisha ndoa za jinsia moja mkuu...olewa, utapata kuingia kule, tumia utupu wako wa nyuma kwa faida mkuu, maana mbele kuna bamia na nyanya chungu tu ambazo hutaweza kuzitumia.
Ww jifanye mjuaji hivyo hivyo ipo siku chamoto utakiona maana humu JF unaifanya kama wote ni watoto wenzio narudia endelea kuropoka ujinga wako hivyo siku yenyew utajua kwann mtaa umetulea
 
Wanaume wa humu ukijipindua tu....wamejazana Pm.
Sijui wana kasumba gani aisee.
Anataka uhakika hapo ujue.
Makahaba wenzio ndio wanajazana huko usiseme wanaume wote kuwa na heshima beba mkoba wako muda wa kazin umefika sijui Leo utatega wap
 
Ww jifanye mjuaji hivyo hivyo ipo siku chamoto utakiona maana humu JF unaifanya kama wote ni watoto wenzio narudia endelea kuropoka ujinga wako hivyo siku yenyew utajua kwann mtaa umetulea
Wewe humfahamu Madame B ni moto wq kuotea mbali ,wema akiamua kukutunuku ni mtamu asali ikasome .long live Madame B
 

Similar Discussions

67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom