Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Hornet Darling, hujawahi kuingia wanapojifunguliaga ni zaidi ya huyu mbwiga alivyochakaa.
Nimeingia sijawahi kukutana na haya mapicha mie,
Mwenzangu ulivyoingia ulikutana nayo?
Hornet Darling, hujawahi kuingia wanapojifunguliaga ni zaidi ya huyu mbwiga alivyochakaa.
SafiiiiKarma imemkuta msaliti
Bro ungesema basi kuwa unaweka na picha ambazo ni sensitive,..dah!!! Wengine nyoyo zetu tunazijua wenyewe,.. afu usiku huu 😔😔
Kiswahili kinazidi kupotea![]()
Safiiii
Uliunga Juhudi,ukakamata Pamba ya Watu Tani 11 ukijifanya kiherehere,haohao uliowatia hasara ukapanda gari lao!!Mimi nisingekutupa tu,ningekufira kabisa



Ah wapi best .nna sumu sana moyoni kuhusu walivyotufanyiaga kipindi cha jpm..afe tu ..au avunjike kiunoHahaaa alituudhi sana ila kwa hili muonee huruma Wangari.
Kwa sasa ninachoweza kusema ni POLE, mengine tutaongea ukipona.Asanteni Sana Ndugu zangu. Katika mazingira ya kazi Kuna mengi. Mwaka wa Jana nilifanikiwa kukamata Pamba Tani 11 na ikataifishwa. Waliokuwa wameificha pamba walikamatwa! Mwaka huu watu wale wale wamenifanyia hivi. Nafikiri Kama nilikosea kusimamia ukweli. Wamenibeba kwenye gari lao wakanitupa barabarani gari likiwa linatembea. Nimepata shida Sana. Mungu amesema niendelee kuwepo kuwepo kwanza. Nadhani nimepata nafasi ya kurekebisha makosa yangu hapa DunianiView attachment 1752185View attachment 1752186View attachment 1752187View attachment 1752188View attachment 1752194View attachment 1752196
Ah wapi best .nna sumu sana moyoni kuhusu walivyotufanyiaga kipindi cha jpm..afe tu ..au avunjike kiuno
DuhAh wapi best .nna sumu sana moyoni kuhusu walivyotufanyiaga kipindi cha jpm..afe tu ..au avunjike kiuno
Wanataka akajiunge na mwendazakeDuuh pole sana mkuu.
Story yako bado ina walakini mwingi.
By the way si uliunga mkono juhudi?nini kimetokea huko CCM
sasa huyo katibu kata atanisumbua tuHahahhaaa..kumbe una kumbukumbu..aliniboa balaa
Erythrocyte njoo huku mami uuguze hap
Mtendaji wa Kata tulikuonya kwamba Usaliti ni laanaAsanteni Sana Ndugu zangu. Katika mazingira ya kazi Kuna mengi. Mwaka wa Jana nilifanikiwa kukamata Pamba Tani 11 na ikataifishwa.
Waliokuwa wameificha pamba walikamatwa! Mwaka huu watu wale wale wamenifanyia hivi. Nafikiri Kama nilikosea kusimamia ukweli. Wamenibeba kwenye gari lao wakanitupa barabarani gari likiwa linatembea.
Nimepata shida Sana. Mungu amesema niendelee kuwepo kuwepo kwanza. Nadhani nimepata nafasi ya kurekebisha makosa yangu hapa DunianiView attachment 1752186View attachment 1752194
View attachment 1752196
Unaogopa vidonda tu!!!Bro ungesema basi kuwa unaweka na picha ambazo ni sensitive,..dah!!! Wengine nyoyo zetu tunazijua wenyewe,.. afu usiku huu![]()
Kuunga mkono juhudi ni kuchagua ubaradhuliUnaishi kwenye nchi ambayo ubaradhuli no sifa kuu ya wenye nacho