balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,513
- 15,153
Praise team ,ungefuatana na uliyemuunga tu
Bro ungesema basi kuwa unaweka na picha ambazo ni sensitive,..dah!!! Wengine nyoyo zetu tunazijua wenyewe,.. afu usiku huu![]()
haka kapumbavu wangekaua kabisa ili kakaunge vizuri juhudi za meko huko kaburiniMungu anisamehe..nasema UKOME...WATU WALIKUPAMBANIA SANA HAPA JF ukawasaliti..SHENZYTYP wewe .
Elli Mshana njoo umuuguze mdogo wako🤣
Ndio malipo ya usaliti uliowafanyia wapiga kuraAsanteni Sana Ndugu zangu. Katika mazingira ya kazi Kuna mengi. Mwaka wa Jana nilifanikiwa kukamata Pamba Tani 11 na ikataifishwa.
Waliokuwa wameificha pamba walikamatwa! Mwaka huu watu wale wale wamenifanyia hivi. Nafikiri Kama nilikosea kusimamia ukweli. Wamenibeba kwenye gari lao wakanitupa barabarani gari likiwa linatembea.
Nimepata shida Sana. Mungu amesema niendelee kuwepo kuwepo kwanza. Nadhani nimepata nafasi ya kurekebisha makosa yangu hapa DunianiView attachment 1752186View attachment 1752194
View attachment 1752196
Du una roho ngumu never imagined (usilipize ubaya kwa ubaya)Ah wapi best .nna sumu sana moyoni kuhusu walivyotufanyiaga kipindi cha jpm..afe tu ..au avunjike kiuno
Polee!@Mhariri tafadhali weka angalizo la picha kwenye tittle
ZImenisababishia msongo wa mawazo
Mccm unaniambia nn ww! Wangap wameteswa na hawa maccm uchwara😏Du una roho ngumu never imagined (usilipize ubaya kwa ubaya)
...Nawe utakuwa in Wale Wale tu! Unaona MTU ha kusema anachopaswa kusema halafu bado unampa Siku Mbili Akiseme!!Kuna kitu anaficha Kama asiposema mm nitakisema Nampa siku 2 nilikuwepo huo ukanda wakat wa Hilo sakata la ukamataji wa hizo pamba
waambie mwenye roho ngumu ni yule aliyempiga ben mpaka akafa kisha akauteketeza mwili wakeMccm unaniambia nn ww! Wangap wameteswa na hawa maccm uchwara😏
Eti naskia aliuawa ikulu mle mlewaambie mwenye roho ngumu ni yule aliyempiga ben mpaka akafa kisha akauteketeza mwili wake