bernabella
Senior Member
- Apr 4, 2021
- 168
- 246
Heli angebaki Chadema hayo yote yasingemkuta usaliti ni mbaya sana
Daaaaahhhh Aiseeee huwa tunaparuana humu ndani ila kwa kitendo walichokufanyia hao watu inabidi watafutwe maana hawastahili kuwa uraiani.
Pole sana.

na bado !Heli angebaki Chadema hayo yote yasingemkuta usaliti ni mbaya sana
rushwaPole sanaaa... japo stori yako ina maswali mengi?
Why mwaka huu upande gari ya uliokamata pamba yao mwaka jana? Ulikuwa unaenda nao wapi?
Huyu mjinga tamaa na mafanikio ya faster faster yamemponza.Mungu anisamehe..nasema UKOME...WATU WALIKUPAMBANIA SANA HAPA JF ukawasaliti..SHENZYTYP wewe .
Elli Mshana njoo umuuguze mdogo wako🤣
Napendaga micomments yako🤣🤣🤣 ya kibabe magufuli akasome🤣🤣Huyu mjinga tamaa na mafanikio ya faster faster yamemponza.
Kina Pole pole walimdanganya, halafu akahongwa utendaji wa kata huko usukumani.
Sasa hivi wote pole pole na Bashiru hawawezi kumsaidia tena.
Kigoma ni mkoa ambao haujawahi kuangusha vyama vya upinzani. Hata huyu takataka akiporwa tu kura. Ila ni tamaa tu na haya ndio matokeo yake
Oky siku 2 zinaisha kesho mkuu. Tunasubiri aseme au utasema wewe.Kuna kitu anaficha Kama asiposema mm nitakisema Nampa siku 2 nilikuwepo huo ukanda wakat wa Hilo sakata la ukamataji wa hizo pamba
Hebu funguka tu .usiogope kitu hayati ashatutoka hakuna wogaKuna kitu anaficha Kama asiposema mm nitakisema Nampa siku 2 nilikuwepo huo ukanda wakat wa Hilo sakata la ukamataji wa hizo pamba
😂😂😂kwa ugumu ule wa kilimo cha pamba ulivyo halafu mtu uje tu utaifishe pamba zao!. Hata mimi nisingekubali mkuu lazima ningekurudia tu na hii habari ingeletwa na mwanajf mwingine kama tanzia