Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,932
- 34,916
Wewe kuwa mwananchi kama mimi, yeyote akizingua unamchana!![emoji3][emoji3][emoji3] mi sio CCM bwana, bali nasapoti wagombea wao kwasababu nyie chadema mmeshindwa kusimamisha mgombea anae eleweka.
Sisi wananchi tuna mahitaji yetu ambayo ni tofauti kabisa na ya wanasiasa.