Nilipata ajali na Mungu akaninusuru

Nilipata ajali na Mungu akaninusuru

Asanteni Sana Ndugu zangu. Katika mazingira ya kazi Kuna mengi. Mwaka wa Jana nilifanikiwa kukamata Pamba Tani 11 na ikataifishwa. Waliokuwa wameificha pamba walikamatwa! Mwaka huu watu wale wale wamenifanyia hivi. Nafikiri Kama nilikosea kusimamia ukweli. Wamenibeba kwenye gari lao wakanitupa barabarani gari likiwa linatembea. Nimepata shida Sana. Mungu amesema niendelee kuwepo kuwepo kwanza. Nadhani nimepata nafasi ya kurekebisha makosa yangu hapa DunianiView attachment 1752185View attachment 1752186View attachment 1752187View attachment 1752188View attachment 1752194View attachment 1752196
Pole sana kamanda wa zamani. Vp wana ccm wenzako walijitokeza walau kukupa pole na kamchango ka-matibabu?
 
Asanteni Sana Ndugu zangu. Katika mazingira ya kazi Kuna mengi. Mwaka wa Jana nilifanikiwa kukamata Pamba Tani 11 na ikataifishwa. Waliokuwa wameificha pamba walikamatwa! Mwaka huu watu wale wale wamenifanyia hivi. Nafikiri Kama nilikosea kusimamia ukweli. Wamenibeba kwenye gari lao wakanitupa barabarani gari likiwa linatembea. Nimepata shida Sana. Mungu amesema niendelee kuwepo kuwepo kwanza. Nadhani nimepata nafasi ya kurekebisha makosa yangu hapa DunianiView attachment 1752185View attachment 1752186View attachment 1752187View attachment 1752188View attachment 1752194View attachment 1752196
Mungu anisamehe..nasema UKOME...WATU WALIKUPAMBANIA SANA HAPA JF ukawasaliti..SHENZYTYP wewe .
Elli Mshana njoo umuuguze mdogo wako🤣
 
Pole Sana Kwa Ajali Hiyo
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Mpaka Sasa Hivi Afya Itaimarika
 
Back
Top Bottom