Esayi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 355
- 147
Eti sijui anasemaje sasaKwahiyo ulikuwa unasemaje?!
Eti sijui anasemaje sasaKwahiyo ulikuwa unasemaje?!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] wahi kabla joto halijashuka mmmNaenda shoga angu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] wahi kabla joto halijashuka mmm
acha kabisaaa..ila watu tunadhambi...yaani kama vifua vyetu vingekuwa vinatoa siri zetu...nakwambia tungekuwa tunakimbianaHahahahaaa haya itoke wapi [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kukimbiana haswa wala si utaniacha kabisaaa..ila watu tunadhambi...yaani kama vifua vyetu vingekuwa vinatoa siri zetu...nakwambia tungekuwa tunakimbiana
Ukajilia vyako mkuuNilimla mtoto wa nje wa babangu mdogo kabisa bila kujua, nilimchunia baada ya kujua ila yeye sikumuambia na hajui kwanini nimekaa kimya,
Ila kwa mtoa mada nashauri km wana mipango endelevu waulize kwa ndugu zao kama kuna uwezekano wa kuendelea au haupo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Unatakiwa kujua kua nipo location na script yangu inasema niwe na moyo mgumu
Hahaaa, sa nifanye mkuu,Ukajilia vyako mkuu
Daaaj nimecheka mnoi[emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanaadhimisha kufufuka kwa kristo nyie mnagegedana huko kwa bibi yenu!
yaani uligundua kuwa nyinyi ni ndugu kivipi ili tuweze kukupa ushauri?Za uzima,,
Sikukuu kwa upande wangu haikua nzuri kabisa,mpaka sasa sielew kama nilisherehekea pasaka au sikukuu ya wajing.Ni hivi nmesex na ndugu yangu kabisa bila mimi wala yeye kujua.Huyu jamaa nilikua namzimia tangu zamani sasa pasaka ya juzi ikawa imetukutanisha akaomba "out". Tukasafir kwenda kijijin kwa bibi yake ambako alipanga akasherehekee .Tulifika salama na usiku "tukalalana".Mambo yakabadilika kesho yke mida ya usiku wakati tumekaa na bibi huku wao wakizungumza kilugha ambacho mimi sikielew sana, kati kati ya mazungumzo naikamsikia bibi kataja jina fulani ,moyo ukanilipuka nikauliza ili kuhakikisha jamaa akajibu kua huyo mtu ni babu yake.a. Nikahisi presha ya ghafla kwani huyo mtu ni baba yangu mimi( sio mzazi).
Baadae nilimwambia jamaa na akathibitisha kua ni kweli ila akawa hana la kufanya.
Huyo mtu alimtongozea gizani?Jamaa yangu alimt0mB@ mama yake mdogo kbs hivo hivo- asubuhi wakatambuana wakapigana biti kila mmoja ale pini
Duu matatizo hayo sasa baba yako huyo mdogo hata kuwatonya msije pitia dada yenu?Hahaaa, sa nifanye mkuu,
Baada ya tukio kwake naangalia albam yake ndio nkakuta picha nkamuuliza akasema ndio babaake mzazi,
Kuna baadhi ya maisha tunayoishi hutuingizia mikosi aisee nothing progress yani tuna jiloga wenyeweKwanza kwa umri wake na aina ya maisha alojichagulia kuishi asingeolewa na haolewi tena yule mama mdogo wake bwana mdogo
Hyo ni laana niliwahi kusoma bora asirudie mana hakujua kwanza uzinzi sio mzuricharrote kwa kuwa undugu upo mbali hapo hakuna kuoana Bali ni kufanya iwe siri yenu tu mkimisiana ndyo mnakutana kama kawaida tena mapenzi ya namna hiyo yananoga asali ni chamtoto.
Mwandiko wake wakiume hii story si kweliNaomba kujua wewe ni mwanamke au mwanaume....???
endelea tu kumpa papuch,,,Aaa nimesahau,,nilikua naomba ushauri,nifanyeje??
Wabibi wengine hawajiheshimu aisee na uzee wanawaza umalayaMie nilijua bibi anakukabidhi kabisa mke [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwahiyo bibi angekesha kwa kelele zenu duu [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Jamani shoga wangu ndo napata mda ngoja niende kwenye ule Uzi nimejua kumbe wanaume ni dhaifu licha yakuchepuka mwanamke ukichepuka nakumchunia anaweza kujiua loh. Ngoja niendeShoga hujambo! Siku nzima umeniacha napambana na midume humu wakiongozwa na Extrovert