unamwandiko wa kiume. ila pole sanaZa uzima,,
Sikukuu kwa upande wangu haikua nzuri kabisa,mpaka sasa sielew kama nilisherehekea pasaka au sikukuu ya wajing.Ni hivi nmesex na ndugu yangu kabisa bila mimi wala yeye kujua.Huyu jamaa nilikua namzimia tangu zamani sasa pasaka ya juzi ikawa imetukutanisha akaomba "out". Tukasafir kwenda kijijin kwa bibi yake ambako alipanga akasherehekee .Tulifika salama na usiku "tukalalana".Mambo yakabadilika kesho yke mida ya usiku wakati tumekaa na bibi huku wao wakizungumza kilugha ambacho mimi sikielew sana, kati kati ya mazungumzo naikamsikia bibi kataja jina fulani ,moyo ukanilipuka nikauliza ili kuhakikisha jamaa akajibu kua huyo mtu ni babu yake.a. Nikahisi presha ya ghafla kwani huyo mtu ni baba yangu mimi( sio mzazi).
Baadae nilimwambia jamaa na akathibitisha kua ni kweli ila akawa hana la kufanya.
Kweli kbs. Walikutana night club dogo akazimikia flag akatupia ndoano ikanasa, wamekula na kunywa zao haooooo mgegedoni, fakamiana kisawasawa asubuhi mwanamke anamwambia ila we mtoto unayajulia ulijifunzia wapi na bado mdogo? Huku na kule kutambuana ayaaaa mtu na mama yake mdogo- ikabidi wapigane mikausho tuHii nikweli ndugu au utunzi?
Balaaa sana nduguHahahaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] uma......ya .....ukizidi mambo ndiyo hayo
Nasiku hizi watu hatuulizni hata kabila unamtamani tu hata mmeonana siku hiyo hiyo mnamalizana hapo nikulalana na ndugu kabisa jamaniBalaaa sana ndugu
Kwa hiyo waendelee tu mkuu si ndiyo??Haina noma hiyo mana mlikua hamjui alafu undugu wenyewe wa kumulika na tochi
Mnabebana hata majina yenu hamjuani [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] watu wanapitia visanga vya ajabu jamaniKweli kbs. Walikutana night club dogo akazimikia flag akatupia ndoano ikanasa, wamekula na kunywa zao haooooo mgegedoni, fakamiana kisawasawa asubuhi mwanamke anamwambia ila we mtoto unayajulia ulijifunzia wapi na bado mdogo? Huku na kule kutambuana ayaaaa mtu na mama yake mdogo- ikabidi wapigane mikausho tu
Hatari hatariNasiku hizi watu hatuulizni hata kabila unamtamani tu hata mmeonana siku hiyo hiyo mnamalizana hapo nikulalana na ndugu kabisa jamani
Dogo anakwambia aliyeyemeka kwa dakika kadhaa- Sema nae ni nunda sana na mama yake mdogo ndio balaa wee fikiria hadi leo hajaolewa ,hana mtoto wala nini na umri umeshamuenda sana tuMnabebana hata majina yenu hamjuani [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] watu wanapitia visanga vya ajabu jamani
Sijakuelewa nduguJinyonge hadi kufa ukapewe ushauri na rais wa malaika
Na mradhi kwa staili hii wala hayataisha jamaniHatari hatari
Hahahaha, hii si mchezoKweli kbs. Walikutana night club dogo akazimikia flag akatupia ndoano ikanasa, wamekula na kunywa zao haooooo mgegedoni, fakamiana kisawasawa asubuhi mwanamke anamwambia ila we mtoto unayajulia ulijifunzia wapi na bado mdogo? Huku na kule kutambuana ayaaaa mtu na mama yake mdogo- ikabidi wapigane mikausho tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hajampata wakumuoa waoaji wenyewe ni shidaDogo anakwambia aliyeyemeka kwa dakika kadhaa- Sema nae ni nunda sana na mama yake mdogo ndio balaa wee fikiria hadi leo hajaolewa ,hana mtoto wala nini na umri umeshamuenda sana tu
Ni MUNGU tu anatusaidia mkuu acha kabisaNa mradhi kwa staili hii wala hayataisha jamani
Maisha kitu yana misukosuko ya ajabu sana, vulituko, vitimbwi, visanga na kila aina ya visa. Binadamu akili zetu tunavozitumia tunajua wenyewe. Huwa nasema siku kuta za nyumba zikihadithia matukio tunayoyafanya tunapokuwa tumejifungia ndani aseeeeeee sijui ni nini tungeacha kuona hakiyanani lol!Na mradhi kwa staili hii wala hayataisha jamani
Itapendeza zaidi ila wakiwa na moyo mgumu kama wanguKwa hiyo waendelee tu mkuu si ndiyo??
BalaaHahahaha, hii si mchezo
Kwanza kwa umri wake na aina ya maisha alojichagulia kuishi asingeolewa na haolewi tena yule mama mdogo wake bwana mdogo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hajampata wakumuoa waoaji wenyewe ni shida
Yaani mpaka mtu aje kuolewa /kuoa mmmm mtihani bora zamani msichana akimaliza shule ni kuolewa lakini hivi mmm inabidi kujitahudi kwa watoto wetuMaisha kitu yana misukosuko ya ajabu sana, vulituko, vitimbwi, visanga na kila aina ya visa. Binadamu akili zetu tunavozitumia tunajua wenyewe. Huwa nasema siku kuta za nyumba zikihadithia matukio tunayoyafanya tunapokuwa tumejifungia ndani aseeeeeee sijui ni nini tungeacha kuona hakiyanani lol!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [HASHTAG]#mgegedoni[/HASHTAG] [HASHTAG]#fakamiana[/HASHTAG] kisawasawa...Kweli kbs. Walikutana night club dogo akazimikia flag akatupia ndoano ikanasa, wamekula na kunywa zao haooooo mgegedoni, fakamiana kisawasawa asubuhi mwanamke anamwambia ila we mtoto unayajulia ulijifunzia wapi na bado mdogo? Huku na kule kutambuana ayaaaa mtu na mama yake mdogo- ikabidi wapigane mikausho tu